Swali; Baba watoto hao wanacheza mpira?

passion_amo1

JF-Expert Member
Dec 3, 2023
1,578
3,148
wakuu habari za uzima?

Nipo hapa na mwanangu tunaangalia mpira.kipindi unaanza aliona hawa watoto wanaoingia pamoja na wachezaji akaniuliza.

Baba hao watoto na wao wanacheza, nikamjibu hapana.
Akauliza sasa wanafanya nini humo, imebidi nidanganye kwamba hao ni baba zao wamewasindikiza.

Kwa kweli mimi si mpenzi sana wa mpira sifahamu Hivi vitu.
Wenye ujuzi mtusaidie wale watoto huwa ina maana gani?

CAPE VERDE 🇨🇻 VS MOZAMBIQUE 🇲🇿

karibuni.
 
Ni watoto ambao wanaambatana na wachezaji kwa lengo maalumu inaweza kuwa ni wachezaji wa timu za watoto kwaiyo ile moment ya kuingia uwanjani iwe kama chachu ya kuwafanya waongeze juhudi nao kufikia kuwa wachezaji wa kulipwa, sometimes wanatumika kutangaza charitable communities n.k
 
Wenzetu wanapenda Sana michezo, kwenye soka kinacho fanyika taasisisi zinazo shughulika na mpira zika tengeneza mazingira ya ushawishi na vile vile kikawa chanzo Cha mapato.

Wale watoto wanalipiwa na wazazi ili kupata kiu ya watoto au wazazi kwa kumuona mtoto wake anaingia na timu, yaani Kuna namna mzaizi/mtoto wanahisi Hali flani kama anakwenda kuwakilisha timu aipendayo na anaonekana live.

Wenzetu wanalipia fedha nyingi ili mtoto wako aingie na zile timu akiwa ameshikwa mkono na ma staa wa timu husika.

Ata Tff wangeanzisha utaratibu uo wangepata fedha za kutosha.
Mfano mtoto shabiki wa Yanga anaingia uwanjani ameshikwa mkono na Pacome ilo ni swala mtoto anayependa soka hatolisahau kirahisi.
Ni mpango ulionanzishwa na UNICEF na FIFA kwa pamoja kuwafanya watoto wawe karibu na wachezji wawa pendao katika tukio husika.
 
Afu kwl mkuu, kama ile ya messi na dj khaled.
Dj khaled akaenda kumpeleka mwanae asad kwa messi na kipindi wapo uwanjani mtoto akaanza kulia cjui ilkuwa furaha
 
Wenzetu wanapenda Sana michezo, kwenye soka kinacho fanyika taasisisi zinazo shughulika na mpira zika tengeneza mazingira ya ushawishi na vile vile kikawa chanzo Cha mapato.

Wale watoto wanalipiwa na wazazi ili kupata kiu ya watoto au wazazi kwa kumuona mtoto wake anaingia na timu, yaani Kuna namna mzaizi/mtoto wanahisi Hali flani kama anakwenda kuwakilisha timu aipendayo na anaonekana live.

Wenzetu wanalipia fedha nyingi ili mtoto wako aingie na zile timu akiwa ameshikwa mkono na ma staa wa timu husika.

Ata Tff wangeanzisha utaratibu uo wangepata fedha za kutosha.
Mfano mtoto shabiki wa Yanga anaingia uwanjani ameshikwa mkono na Pacome ilo ni swala mtoto anayependa soka hatolisahau kirahisi.
Ni mpango ulionanzishwa na UNICEF na FIFA kwa pamoja kuwafanya watoto wawe karibu na wachezji wawa pendao katika tukio husika.
Hili ndo jawabu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali dogo hilo unalialia je ukiulizwa naswali yanayohusu gravitation force
Nimekumbuka tangazo fulani redioni mtoto alikuwa anamuuliza baba yake namna gani ndege inapaa, cha kushangaza dingi anamwambia dogo atumie chandarua asing'atwe na mbu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom