Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki.
Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza.
Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa.
Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili.
Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za...
Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini
Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick...
Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara itakuendea vizuri sana.soda moja unapiga faida Mpaka 500 hakuna bia yenye faida hiyo.
Kama Yanga tunakerwa na utangazaji wa Baraka Mpenja wa Azam TV basi kuna korona la nazi linaitwa Ibrahim Masoud, no football knowledge or commentary professionalism at all from the man.
Yan tangu dakika ya kwanza ya mchezo hadi sasa dk.80 anarudia tu kauli yake kuwa haamini kama Yanga atapata...
Kwanza kabisa mikakati yangu ingekua ni kuifanya Taifa starts ijitegemee kwa kujiingizia kipato chake yenyewe.
Ningefanyeje kufanikisha hilo ningeomba bajeti kwaajili ya Taifa stars ijenge vyuo (Football academies) vya mpira wa miguu kila wilaya. Vyuo vitakavyo fundisha soka kwa watoto wadogo...
Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba alicheza sana mpira.
Kwenye mpira kucheza/kumiliki mpira dhidi ya mpinzani wako kunaweza kutokea...
Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea.
Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli.
Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na...
Wakuu bila kuwafunga waarabu hawataacha kutudharau watu weusi.
Sasa ni dhahili Yanga atacheza finally na Al Ahly ili kumlipiza na kuwatoa waarabu kabisa kwenye ramani ya mpira Africa ili wawe na heshima.
Young African will beat AL Alhly hii ni baada ya ushindi wa gori tatu kesho.
Kumekuwa na utata juu ya gharama za ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini arusha, wananchi wamehoji sana na kuonekana kutokukubalina na gharama na hasa wakilinganisha na gharama za Uwanja wa Benjamin Mkapa uliojengwa kipindi cha nyuma 2007 ukiwa na uwezo wa kubeba watu 60,000 kwa gharama ya 64...
Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani.
Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
UBUNTU BOTHO
Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza .
1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari.
2)Uchache...
Ukubwa wa mamelod ni upi?
Timu ambayo toka mwaka 2016 haijawai kuchukua ubingwa wa Africa?
Mamelod anayeishia robo na nusu fainali kila siku?
Kuna wajinga wanasema hata wachezaji wa al ahly eti hawaingii kwenye kikosi cha mamelodi bangi au?
Mamelodi kazidiwa mafanikio na
Al ahly
Wydad...
Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa.
Sikiliza hapa.
Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka.
Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.