Baada ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, Tanzania hawajui mpira kabisa

Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
7,416
18,856
Wake pole na habarini za zenu.

Hivi ni mimi peke yangu ndio nimeona kwenye ile mechi ya Morocco dhidi ya Taifa stars? Maana sio kwa mpira mbovu vile aisee. muda Wote wachezaji wetu wanapiga pasi kwenye eneo letu tu mpaka unajiuliza Hivi hawa kweli walifuzu kihalalli kweli, maana kama algeria walituachia kwa sababu ya kocha wetu ni malgeria?

Kukaba vizuri hatujua mpaka unajiuliza hawa wamefikaje fikaje hapo mashindanoni? timu haiwezi kufanya pressing ,maana hawawezi kupiga pasi hata 7 tu kwenye neo la adui na wakati sasa hivi kila kitu utapata ukitaka.

Morocco sawa ni timu kubwa kimpira ila jamani tuseme ukweli tu taifa stars wachezaji wetu hawana akili ya mpira kabisa na ligi Yetu inaendeshwa kwa ujanja ujanja ,kipa wetu manula yaani mashuti akipigiwa yote anashindwa kuushikilia mpira lazima ateme maana wachezaji wa morocco ni professional.

Safari hii taifa stars anaenda kuaibika na Dunia itatujua sisi hatujui mpira kabisa, maana kule hakuna janja janja za marefa na upendeleo sijui tupange mechi mchana ndio tuwakomeshe.mosimane kwenye uchambuzi anasema sisi wageni kwenye mashindano hayo na wachezaji wetu wengi wanacheza ligi ya ndani ndio hivyo na marefa wetu tunaona sifa kukomoana.

Tumekuwa tunafarijiana hata spain na argentina walifungwa mechi ya kwanza, lakini hawakufungwa goli tatu bila, kutopiga shot on target hata moja na kucheza mpira mbovu kama wa taifa stars. Lakini pia hizo timu zilifungwa na timu ndogo. Sisi tungemfunga morocco ndio ingekuwa sawa kwa morocco kusema hivyo lakini sio sisi.

Bongo mpira wa ukweli bado sana, bado tunampira wa mdomoni sana, wenzetu sasa hivi wamewekeza kwenye data wanafanya data analytics kwenye football wanatumia machine learning kwa ajiri ya kupredict na kuona wanachezaje wenzao na sisi tuchezeje sasa, baada ya hapo sasa kocha ndio aumize akili na cheti chake atumie.namba(data) nziongee.

Kuna mtu sehemu nimeona kacomment nimesoma anasema amefurahi eti bora tumefungwa maana tungeshinda pongezi angepewa mama saa 100.

Tuwewazalendo kwa kuishauri na kuikosoa timu yetu siku moja ifike tunapopataka.

Ni hayo tu wakuu.
 
Wachezaji wetu walipaswa wapambane wakacheze ligi zenye ushindani zaidi ya ligi yetu ili wapate uzoefu.

Sasa kila wakipata fursa ya kucheza nje wanaenda mwaka mmoja tu wanarudi na visingizio kibao.

Rejea shaban chilunda, farid musa, yahya zaidi, shiza kichuya,kibabage, adam adam, kapombe wote hawa walipata fursa kwenda kucheza nje na wakarudi na visingizio visivyo na kichwa wala miguu.

Na jinsi ninvyoona kevin john hana muda mrefu tutaanza kumuona kwenye ligi ya bongo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Wake pole na habarini za zenu.

Hivi ni mimi peke yangu ndio nimeona kwenye ile mechi ya morocco dhidi ya taifa stars? maana sio kwa mpira mbovu vile aisee. muda Wote wachezaji wetu wanapiga pasi kwenye eneo letu tu mpaka unajiuliza Hivi hawa kweli walifuzu kihalalli kweli, maana kama algeria walituachia kwa sababu ya kocha wetu ni malgeria?

kukaba vizuri hatujua mpaka unajiuliza hawa wamefikaje fikaje hapo mashindanoni? timu haiwezi kufanya pressing ,maana hawawezi kupiga pasi hata 7 tu kwenye neo la adui na wakati sasa hivi kila kitu utapata ukitaka.

Morocco sawa ni timu kubwa kimpira ila jamani tuseme ukweli tu taifa stars wachezaji wetu hawana akili ya mpira kabisa na ligi Yetu inaendeshwa kwa ujanja ujanja ,kipa wetu manula yaani mashuti akipigiwa yote anashindwa kuushikilia mpira lazima ateme maana wachezaji wa morocco ni professional.

safari hii taifa stars anaenda kuaibika na Dunia itatujua sisi hatujui mpira kabisa, maana kule hakuna janja janja za marefa na upendeleo sijui tupange mechi mchana ndio tuwakomeshe.mosimane kwenye uchambuzi anasema sisi wageni kwenye mashindano hayo na wachezaji wetu wengi wanacheza ligi ya ndani ndio hivyo na marefa wetu tunaona sifa kukomoana.

Tumekuwa tunafarijiana hata spain na argentina walifungwa mechi ya kwanza, lakini hawakufungwa goli tatu bila, kutopiga shot on target hata moja na kucheza mpira mbovu kama wa taifa stars. Lakini pia hizo timu zilifungwa na timu ndogo. Sisi tungemfunga morocco ndio ingekuwa sawa kwa morocco kusema hivyo lakini sio sisi.

Bongo mpira wa ukweli bado sana, bado tunampira wa mdomoni sana, wenzetu sasa hivi wamewekeza kwenye data wanafanya data analytics kwenye football wanatumia machine learning kwa ajiri ya kupredict na kuona wanachezaje wenzao na sisi tuchezeje sasa, baada ya hapo sasa kocha ndio aumize akili na cheti chake atumie.namba(data) nziongee.

kuna mtu sehemu nimeona kacomment nimesoma anasema amefurahi eti bora tumefungwa maana tungeshinda pongezi angepewa mama saa 100.

Tuwewazalendo kwa kuishauri na kuikosoa timu yetu siku moja ifike tunapopataka.

Ni hayo tu wakuu.
hii thread soon wataifuta
 
Wachezaji wetu walipaswa wapambane wakacheze ligi zenye ushindani zaidi ya ligi yetu ili wapate uzoefu.

Sasa kila wakipata fursa ya kucheza nje wanaenda mwaka mmoja tu wanarudi na visingizio kibao.

Rejea shaban chilunda, farid musa, yahya zaidi, shiza kichuya,kibabage, adam adam, kapombe wote hawa walipata fursa kwenda kucheza nje na wakarudi na visingizio visivyo na kichwa wala miguu.

Na jinsi ninvyoona kevin john hana muda mrefu tutaanza kumuona kwenye ligi ya bongo.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wanaogopa ushindani maana lazima Uko uperform tu.
 
Ukiona wamerudi maana yake hawatakiwi huko walipoenda viwango vibovu sasa unataka waendelee kubaki wacheze wapi? Labda wabaki wawe wabeba maboksi.
 
Wake pole na habarini za zenu.

Hivi ni mimi peke yangu ndio nimeona kwenye ile mechi ya Morocco dhidi ya Taifa stars? Maana sio kwa mpira mbovu vile aisee. muda Wote wachezaji wetu wanapiga pasi kwenye eneo letu tu mpaka unajiuliza Hivi hawa kweli walifuzu kihalalli kweli, maana kama algeria walituachia kwa sababu ya kocha wetu ni malgeria?

Kukaba vizuri hatujua mpaka unajiuliza hawa wamefikaje fikaje hapo mashindanoni? timu haiwezi kufanya pressing ,maana hawawezi kupiga pasi hata 7 tu kwenye neo la adui na wakati sasa hivi kila kitu utapata ukitaka.

Morocco sawa ni timu kubwa kimpira ila jamani tuseme ukweli tu taifa stars wachezaji wetu hawana akili ya mpira kabisa na ligi Yetu inaendeshwa kwa ujanja ujanja ,kipa wetu manula yaani mashuti akipigiwa yote anashindwa kuushikilia mpira lazima ateme maana wachezaji wa morocco ni professional.

Safari hii taifa stars anaenda kuaibika na Dunia itatujua sisi hatujui mpira kabisa, maana kule hakuna janja janja za marefa na upendeleo sijui tupange mechi mchana ndio tuwakomeshe.mosimane kwenye uchambuzi anasema sisi wageni kwenye mashindano hayo na wachezaji wetu wengi wanacheza ligi ya ndani ndio hivyo na marefa wetu tunaona sifa kukomoana.

Tumekuwa tunafarijiana hata spain na argentina walifungwa mechi ya kwanza, lakini hawakufungwa goli tatu bila, kutopiga shot on target hata moja na kucheza mpira mbovu kama wa taifa stars. Lakini pia hizo timu zilifungwa na timu ndogo. Sisi tungemfunga morocco ndio ingekuwa sawa kwa morocco kusema hivyo lakini sio sisi.

Bongo mpira wa ukweli bado sana, bado tunampira wa mdomoni sana, wenzetu sasa hivi wamewekeza kwenye data wanafanya data analytics kwenye football wanatumia machine learning kwa ajiri ya kupredict na kuona wanachezaje wenzao na sisi tuchezeje sasa, baada ya hapo sasa kocha ndio aumize akili na cheti chake atumie.namba(data) nziongee.

Kuna mtu sehemu nimeona kacomment nimesoma anasema amefurahi eti bora tumefungwa maana tungeshinda pongezi angepewa mama saa 100.

Tuwewazalendo kwa kuishauri na kuikosoa timu yetu siku moja ifike tunapopataka.

Ni hayo tu wakuu.
kwakeli jana tumedhalilisha sana east africa sio kwa mpira ule..!
 
Brazil alikula hizohizo kwa Morocco,juzi tu
 
Rejea shaban chilunda, farid musa, yahya zaidi, shiza kichuya,kibabage, adam adam, kapombe wote hawa walipata fursa kwenda kucheza nje na wakarudi na visingizio visivyo na kichwa wala miguu.
Katika wote hao mtoe Farid Musa ambaye atleast alipambana japo alikutana na changamoto za ubaguzi lakini yeye alikaa muda mrefu kwa kuvumilia tofauti na hao wengine.
 
Back
Top Bottom