mpenzi

  1. Mboka man

    Ulijuaje mpenzi uliyenaye sio wa kwako tena lakini bado mpo penzini?

    nakumbuka kuna manzi wangu mmoja miaka ya 2016 tulikuwa tunapendana sana ila nilivyoona 1.kila siku asubuhi mimi ndio naanzisha good morning na nisipoanzisha mpka inafika saa 5 mchana hajanicheki nilijua huyu sio wangu tena japo naitwa niliopo penzini 2.ikifika usiku najikausha mpaka inafika...
  2. sabuwanka

    Kwanini huwa ni vigumu kurudisha pesa uliyokopeshwa na mpenzi au mwanandoa?

    Wanajukwaa la MMU habarini za mapambano dhidi ya magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa. Binafsi huwa nikipata shida na kukopa pesa kwa marafiki huwa nipo faster Sana kurudisha mkopo, bora nipitie kipindi kigumu lakini pesa zirudi....kosa nikipitia niliyomkabidhi shemeji yenu ya...
  3. Da Vinci XV

    Ushawahi potezana na mpenzi wako bila ya ugomvi?

    Wasalaam Kama kichwa kinavyojishulisha hapo juu wakuu Miaka miwili hapo nyuma, 2018 , ilikuwa green city nlikutana na pini moja kali chotara ya kimwambao Huyu mdada alikuwa mrembo kwelikweli, alikuwa na sifa zote isipokuwa sifa moja tu ambayo machotara na watoto hawa kiarabu wanaikosa WOWOWO...
  4. Mkaruka

    Kama unaumia ukiombwa pesa na Mpenzi wako akiwa na shida, Je, utafurahia akisaidiwa na 'baharia' mwingine?

    Ningependa kujua hili. Kwasababu kwa kawaida mtu akikwama mtu wa kwanza kumwambia ni yule wa karibu. Ni nini mtazamo wako?
  5. Adriel Vin

    Je, unaweza kaa na mpenzi wako weekend nzima ndani?

    Binafsi haya mambo ya kugandana kila mahali tuko wote, ikitokea tuko ndani basi weekend nzima tupo tu tumegandana mi huwa siwezi kwakweli yani ntajikuta nadanganya kuwa naenda kuangalia mpira ili nipate some space kukaa na mwananmke muda zaidi ya masaa 12 siwezi kabisa. Sijui wenzangu kwemu...
  6. Mpongolo

    Natafuta mpenzi (Mke)

    Awe na sifa zifuatazo: Umri 20-25 Muislam Mweupe Mwenye elimu yeyote Mchapakazi Mkazi wa Dar es salaam Umri wangu 26 Nmejiajiri fundi AC Naishi Tegeta Njoo pm kma upo tayari
  7. Kipenzi Changu

    CEO Simba SC: Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi

    "Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi. Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi. Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado...
  8. sky soldier

    Ulijuaje mpenzi wako anaku-cheat, na kwanini?

    Binafsi nakumbuka nlikuwa na girl friend ambae tulidumu, Nlizani nimepata kumbe nimepatikana (kwa sauti ya msanii 20% 😁). Enzi hizo nlikuwa nasoma chuo cha uhasibu pale Arusha (I.A.A) mitaa ya Njiro huko kwa matajiri wa Arusha. Nlikuwa mtu wa watu sana, washkaji kama wote na hiki ndicho...
  9. Miss Zomboko

    Binti ajaribu kujiua baada ya Wazazi wake kutaka kumwachanisha na mpenzi wake

    Mkazi wa Magoweko wilayani Goweko mkoani Morogoro, Secilia Ching’unyau (22) amenusurika kifo akijaribu kujiua kwa kunywa sumu ya kuhifadhia mahindi aliyoichanganya na pombe aina ya Vodka-Cuca kwa madai ya wazazi kutaka kuvunja mahusiano kati yake na mpenzi wake. Akizungumzia tukio hilo leo...
  10. J

    Vidokezo vitano vya kufuata ikiwa unaamua kutafuta mpenzi mtandaoni

    Unapoanza kuwa na hisia na mtu, kumbuka kwamba ikiwa hamjawahi kuonana ana kwa ana, hisia hizo sio halali. Kwa kuwa akili yako haina habari na taswira halisi kuhusu mtu huyo, kama ambavyo ungekuwa kama mngeonana ana kwa ana. Usijihusishe tu katika mahusiano ya kimtandao. Ni sawa kuanza kumjua...
  11. Mtu Asiyejulikana

    Sijui kama nitapata mpenzi kama huyu tena. Ameniachia mateso makubwa sana

    Mwaka jana tulikuwa kikazi mkoa flani katikati ya pori. Mimi na wenzangu kadhaa. Tulikuwa tumeenda na tents na vyakula, maji na mahitaji yote muhimu maana tulikaa kwa muda wa week 6. Huyu dada mzuri sana nilianza fahamiana naye huko na ilitokea yeye alipanda gari niliyopanda mimi. Nikampa uhuru...
  12. Mfalme Daudi

    Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Nimekuwa Kwenye Mahusiano na Huyu Binti Kwa Miaka 6 sasa! tumebahatika kupata Mtoto mmoja! ila hatujaoana. Kwa Sasa Yeye anaishi Dar Mimi niko kikazi Mikoa ya kaskazini! Mwanzo Nilianza Kufuata Taratibu za kumuoa nikatoa mpaka posa kwao tatizo likaja kwenye kikwazo cha dini! ikabidi tuweke pozi...
  13. Dam55

    Kwako Mpenzi Bite, "nisamehe mpenzi wangu wa moyo"

    Ni miaka 5 sasa tangu tutengane lakini bado nakupenda na nakukumbuka sana. Mapenzi yangu kwako hayajawahi kuisha na kwamwe hayatoisha kwasababu nakupenda kwa dhati toka uvungu wa moyo wangu. Mi ni binadamu na sijakamilika ninamakosa mengi na kweli nimekukosea Sana japo sijawahi kukili mbele...
  14. sky soldier

    Usikubali mpenzi wako awe karibu sana na 'best friend' wake wa jinsia tofauti

    Kuwa na mrarafiki wa jinsia tofauti au mpenzi wako anapokua na marafiki wa jinsia tofauti ni suala zito sana mnapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi. Unakuta mpenzi wako kila muda anatumia kisingizio " ni bestfriends wangu wala usiwaze" kila kinapotokea chchote nje ya ukawaida wa u best friend...
  15. N

    Msaada: Mpenzi wangu anatokwa na damu ukeni

    Habari zenu jamani, Nina mpenzi wangu siku zote tunafanya mapenzi bila shida yoyote. Lakini sasa imetia wiki tangu aingie period lakini tukifanya mapenzi anatokwa damu.
  16. Mtamba wa Panya

    Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

    Nina zaidi ya 30yrs lakini sijawahi kuwa na mpenzi kamwe. Binafsi sina uoga wa kutongoza lakini kila ninayejaribu hunijibu "nina mtu wangu" au "sihitaji mpenzi". Nikiwacheki hao wanaume wengine ni wa kawaida tu kulinganisha na mimi lakini wanapata wanawake na wanawazalisha kama kuku. Nikiwa na...
  17. Faith

    Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Nina mtoto wangu wa kike ana mwaka mmoja na miezi sita, kila alalapo huwa anakoroma sana yaani unaweza ukahisi ni mtu mzima huo mkoromo wake! Je, hii husababishwa na nini? Naweza kumsaidiaje mwanangu aache kukoroma alalapo, maana hata...
  18. Joo Mtangazaji

    Natafuta Mchumba/Girtlfriend (Age around 20) Niko Dodoma

    Hello, mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27 niko Dodoma, nahitaji mchumba/girlfriend mwenye age 18 - 25 ambaye yupo serious na ana real love coz nitampenda na kumpa nafasi anayostahili. Anicheki kwa 0782 855 136.
  19. Miss Zomboko

    Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

    Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8 Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe...
  20. M

    Kuwa na mpenzi "mtoto" inahitaji ujasiri sana

    Wakubwa habari zenu? Leo naleta mada hapa ila kiukweli nina amani na furaha tele ingawa jana nimepigwa kibuti. Huyu jamaa kwa kweli haeleweki. Yeye mwenyewe pia hajielewi anataka nin katika haya maisha. Ni kijana wa miaka 31, ameajiriwa na amepanga chumba kimoja. Tumefahamiana naye muda mrefu...
Back
Top Bottom