Usikimbilie kumtambulisha mpenzi wako soma kwanza mchezo

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,377
Sikuizi mapenzi ni kusomana sana tena kwa umakini wa hali ya juu, unaweza mpeleka mpenzi wenu kwenu akakuta mambo sivyo na
alivyo kuwa anategemea so tarajia atabadilika mana mategemeo yake ni tofauti na alicho kuta kwenu au kwa ndugu zako

SOMA MCHEZO
Unaweza ukamtambulisha mpenzi wako kwenu kisa penzi limenoga na mnapendana sana kumbe, wala hana mpango na wewe yeye alikutambulisha kwa rafiki zake wewe ukamtambulisha kwa wazazi

SOMA MCHEZO

Kabla ujamtambulisha jiangalieni sikuizi kutambulishwa si tiketi ya kwamba utaolewa au kuowa unaweza ukakosa hatua za mwisho alafu ukaja huku JF UNALIA
 
SOMA MCHEZO
Usije mtambulisha mpenzi wako kumbe kawasha VPN aonekane ni mwema akija kuzima VPN rangi zake halisi utaziona😂😂
 
A we mi akininogea tu namtambulisha hayo mengine ya kuja tu.. Sasa unakutana na pisi kali anaifinyia kwa ndani Yani unanogeshwa na kunogewa maji ya kuoga hachemshi bali anayapika kwanini nisitete komamanga la watu..😂
 
mimi kuna pisi nilikua nna future nayo nusura nianze kuitambulisha juzi kati si imekojoa kitandani alafu inajifanya kunisingizia kumbe alikimbia sebuleni akavulia chupi kule akaiacha mi asubui kupita nikaiona nikamwambia chupi yako iko sebuleni anajifanya mbona hujaniletea yani nilimuangalia yani mi nibebe mikojo yake
 
KUNA MMOJA HAPA NILIKUWA NA MIKAKATI YA KUMTAMBULISHA, ILA NIMESITISHA MCHAKATO FASTA BAADA YA KUBAINI KUWA ANA KADI YA YUVIFISIEM!!!
HILI NI TATIZO KUBWA SANA KWANGU HILI!!!!
 
Sikuizi mapenzi ni kusomana sana tena kwa umakini wa hali ya juu, unaweza mpeleka mpenzi wenu kwenu akakuta mambo sivyo na
alivyo kuwa anategemea so tarajia atabadilika mana mategemeo yake ni tofauti na alicho kuta kwenu au kwa ndugu zako

SOMA MCHEZO
Unaweza ukamtambulisha mpenzi wako kwenu kisa penzi limenoga na mnapendana sana kumbe, wala hana mpango na wewe yeye alikutambulisha kwa rafiki zake wewe ukamtambulisha kwa wazazi

SOMA MCHEZO

Kabla ujamtambulisha jiangalieni sikuizi kutambulishwa si tiketi ya kwamba utaolewa au kuowa unaweza ukakosa hatua za mwisho alafu ukaja huku JF UNALIA

Shikamooo mweka mada hii mada imenigusa haswaaaa
 
Tusipangiane...Mimi ukitongoza tu...
Ukaniita tuongeee...nakuja na Wazazi na wajomba
 
Back
Top Bottom