Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
Gertrude Ngoma (26) amefungua kesi akidai kupotezewa muda na kuchoka kusubiri kuolewa na Herbert Salaliki ambaye wamekuwa kwenye Uhusiano wa kimapenzi kwa miaka 8

Getrude amelalamika pamoja kuwa na mtoto na Salaliki lakini bado alikuwa anaishi na wazazi wake badala ya kuungana na mumewe.

"Mheshimiwa, hajawahi kuwa 'serious' ndio maana nimemleta mahakamani kwa sababu ninastahili kujua mbele na future yangu nae.

Katika utetezi wake, Salaliki aliiambia mahakama kuwa angelipenda kumuoa Getrude lakini hana pesa ya kufanya hivyo. Pia aliiambia mahakama kwamba hakukuwa na mawasiliano baina yao kwa sababu mpenzi wake Getrude hajawahi kumpa 'attention'

=========

WOMAN of Mushili in Ndola has sued a man she was engaged to for reconciliation after complaining that he had taken eight years without marrying her.

Gertrude Ngoma, 26, bought the matter before Kabushi Local Court accusing Herbert Salaliki, 28, of taking long to marry her despite promising to do so.

Ngoma complained that she had a child with Salaliki but she was still living with her parents instead of joining her husband.

She told the court that the two had never stayed together despite dowry being paid.

โ€œYour honour, he has never been serious that is why I bought him to court because I deserve to know the way forward and my future with him,โ€ she said.

Ngoma also told the court that Salaliki was involved with another woman whom he exchanged texts with.

In defence, Salaliki told the court that he wanted to marry Ngoma but had no money to do so.

He also told the court that there was no communication between the two because, Ngoma, never gave him attention.

Presiding magistrate Evelyn Nalwize advised the woman to sue for breach of marriage contract and further advised her that the court could not do anything because there was no marriage though dowry was paid.
She said reconciliation is for people in marriage.

(Source: Sunday Times of Zambia)
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ngoma is very right...how come Salaliki paid dowry and hesitates the marriage by giving such weak excuses that he got no money for consecutive 8 years,yet they got a kid,yet they "meet as usual"?!! hilarious ๐Ÿคฃ

Jamaa hayuko serious na manzi....hataki commitment mjinga huyo ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Hajawahi kupewa attention yoyote so muacheni jamaa wa watu ..kwanza Hana pesa Kesha sema atamlisha mtoto wa watu nyasi

My take huo utaratibu usije Bongo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
26 - 8 =18, ukitoa miaka 2 ya kuiba mapenz home 16yrs, dah huyu alizidi maharagwe ya mbeya.

Ukiomba no wanaringa njiani kumbe wana uchu sana wa kuolewa hawa dada zetu
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Hajawahi kupewa attention yoyote so muacheni jamaa wa watu ..kwanza Hana pesa Kesha sema atamlisha mtoto wa watu nyasi

My take huo utaratibu usije Bongo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
uje tu Kuna watu wanaingia wanatoka ๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Hajawahi kupewa attention yoyote so muacheni jamaa wa watu ..kwanza Hana pesa Kesha sema atamlisha mtoto wa watu nyasi

My take huo utaratibu usije Bongo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
......๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tatizo mapenzi yao...hawako open minded..yote kwa sababu ya UONGO kati yao...UONGO ni kitu kibaya....huondoa UHURU....budaa alitakiwa kuwa wazi...na demu awe muelewa wa apeche alolo ya mwana.....

Demu anaona anazeeka...huku ameshapigwa "MUHURI WA MOTO" wa mtoto...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ That's life Compatriot...๐Ÿ‘
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Jokajeusi alisema humu wanawake wanapenda sanaa na wanachukia Sayansi .(Sanaa Ni uongo na Sayansi Ni ukweli uhalisia) ... Hivyo Basi Kama jamaa angekuwa muwazi kwa huyo binti asingempata
 
Back
Top Bottom