morogoro

  1. Gea1

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyopimwa Bagamoyo Mjini na Morogoro Msamvu

    Karibuni, viwanja vipo Bagamoyo karibu na ofisi za mradi wa malaria kwa mkoa wa pwani. na km 1 kutoka bahari ya Hindi. MOROGORO, vipo Morogoro Kwa mkundi makunganya.. bei kwa square metre ni sh 10000 Jirani na ENGEN PETROL STATION. UMEME UPO. BARABARA YA KWENDA DODOMA,, hata kiwanja cha kujenga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu awasha moto Morogoro: Umma wampokea kwa kishindo

    Vijana walisema kitimutimu kimeingia leo, kwenye myumba ya Shetani Mwendawazimu kaingiaje? Kweli msemo huo wa vijana ulikuwa na maana pana ya kifalsafa ndani yake. Jana Tundu Lissu katia timu katika ngome ya CCM ya Morogoro mjini na kisha kwenye Jimbo la Mikumi lililo chini ya profesa J na...
  3. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nalipongeza Jeshi la Polisi kwa 'fair play' ya leo kwenye mkutano wa Tundu Lissu mjini Morogoro

    Nimefurahishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kutimiza wajibu wake bila upendeleo. Leo kwenye hadhara ya kutafuta wadhamini, mgombea urais kwa tiketi ya chadema, Bw. Tundu Antipas Lissu akiwa mkoani Morogoro, askari wa Jeshi la Polisi walionekana wakiimarisha ulinzi na kuhakikisha Bw. Tundu...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu, mjini Morogoro leo

    Mikumi kata ya Ruaha
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ajali Morogoro, watu kadhaa wabanwa na gari la mizigo

    Watu kadhaa wamebanwa ndani ya gari ndogo aina ya costa baada ya gari kubwa la mizigo kuliangukia gari hilo Ajali hiyo imetokea maeneo ya Nanenane Morogoro, Polisi wanaendelea kuokoa walioathiriwa na ajali hiyo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Wilbroad Mutafungwa amesema kuwa jumla ya...
  6. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Petrol stations Morogoro Road ni kero sana

    Sisi tunaotoka Kiluvya kuja mjini hakuna vituo vya mafuta njiani, wajenzi wa barabara wameziba njia zote za kuingilia vituoni. Mfano kituo cha Henry Filling Station kilichopo Chuo cha St. Joseph kuingia hadi upite Luguruni utembee rough road kama 1km to & from ndio uendelee na safari. Oilcom...
  7. flulanga

    JamiiForums Tanzania Soko la samaki wa chumvi Morogoro

    Habarini wapendwa katika Bwana. Nauliza kama kuna wanaofahamu soko lasamaki wadogo nchi 2, nachi 2¼ wakukaangwa namafuta yamawese pamoja nachumvi, Samaki wakutoka tabora ugala. Kama kuna anayefahamu soko lake morogoro na sehemu nyinginezo naomba anijuze.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapacha wa CHADEMA nao washinda kura za maoni majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoa wa Morogoro

    Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA. Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe. Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo...
  10. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Morogoro litazame eneo la nane nane. Ni kero kwa foleni

    Kwaujumla watumiaji wa barabara ya morogoro eneo kuanzia Chuo Kikuu cha Jordan mpaka oilcom kumekuwa na foleni kubwa sana inayofanya watumiaji wakifika hapo kupoteza muda mwingi sana. Hakuna utaratibu mzuri uliowekwa ambao ungeruhusu magari yasiyo ya mizigo kupita kwa urahisi bila kero...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa pembezoni mwa barabara ya Morogoro jirani na kituo cha Polisi Urafiki, mbele ya ofisi za Shabiby Line, vitakuja kusababisha ajali

    Ukiwa hapa urafiki karibu na kituo cha Polisi, mbele ya ofisi za mabasi ya SHABIBY line, Kuna vibanda vimepangwa barabarani na wafanyabiashara, Hali inayopelekea sisi madereva kukosa njia ya kupita kwa usalama na kunusurika Mara kadhaa kuvigonga vikiwa na wafanyabiashara ndani. Mwanzo sisi...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Babu Tale achukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia CCM katika jimbo la Morogoro

    Meneja wa Diamond na WCB, Babu Tale mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Morogoro Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kasi ya Rais Magufuli imemshinda Abood, anaweza asipitishwe kugombea Morogoro Mjini

    Serikali ya Awamu ya 5 inajitahidi sana kufanya miradi mikubwa ya kimkakati ndani ya muda mfupi kwa gharama kubwa. Miradi hii inatosha sana kuiuza Serikali na CCM kwa wananchi kama wawakilishi wake wangekuwa wanamsaidia vizuri Rais kuitangaza na kuifafanua kwa wananchi Miongoni mwa miradi...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various job opportunities at Nanguji Memorial Hospital - Morogoro

    Jobs Opportunities at Nanguji Memorial Hospital Morogoro July 2020. In its comprehensive plan to expand the health care base in the country, the leadership of Nanguji Memorial Hospital located in Morogoro Municipality, John Mahenge street announces vacancies in the following fields. Deadline...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

    Hii ni aibu kubwa sana kwa Mtu mzima ambaye ni juzi tu ameteuliwa kutoka ccm Arusha na kuwa RC wa Morogoro .
  16. Uda

    JamiiForums Tanzania Waliofanya kampuni ya SINO huko Morogoro ni tip of the Iceberg!

    Tanzania imekumbwa na wimbi la wageni kutoka nje ambao huja na ulaghai kwa viongozi wa vijiji na vitongoji na kujimilikisha ardhi kilaghai. Wengi wa wageni hasa kutoka magharibi wanakuja na gia ya kujenga shule au zahanati au mradi wa maji katika sehemu ndogo ya ardhi inayoombwa kwa vijiji...
  17. Kawe Alumni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aweka Jiwe la Msingi Mahandaki Reli ya Kisasa

    Anatatua shida za Wananchi kijiji kwa kijiji Pia ataweka jiwe la msingi ujenzi wa reli ya kisasa kutoka kilosa hadi makutupora === Rais Magufuli amekwishafika eneo la uwekaji wa jiwe la msingi ambapo amepewa maelezo ya kina juu ya Mahandaki hayo na namna ambavyo yatakavyofanya kazi. Rais...
  18. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mafuta yaanza kuadimika, vituo vingi havina mafuta bei yafika 3000 huko ifakara, igunga, morogoro vijijini

    Mafuta petroli na dizel yamepotea kuanzia Mji mdogo wa Ruaha hadi Ifakara. Lita moja ya petrol twauziwa shs 3,000/ kwenye chupa. Yaani ni shida tupu. Ewura saidia please.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani kwa Morogoro mjini ni mazuri, tulivu na salama kwa kuishi?

    Wakuu, Habari zenu nyote. Nimehamishiwa Moro kikazi, bado sijaripoti na vile JF ni jumuiya ya watu wengi naomba kupata msaada wa kufahamu maeneo mazuri na salama ya kuishi kwa mkoa wa Morogoro. Nina familia hivyo nahitaji maeneo ya mazingira salama kwa vile mda mwingi majukumu yangu...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mzumbe na SUA Morogoro wa miaka yà 90-2000 mnamkumbuka Shayo Bichwa?

    Kwa waliosoma Mzumbe na SUA miaka ya nyuma watakuwa wanamjua huyu jamaa chek-bob. Wajihi wake Mrefu Mweupe Bichwa kubwa Sana lenye kipara Miwani juu ya kichwa Jinsi muda wote Makalio makubwa Huyu jamaa alikuwa ànapatikana kwenye Bar za Morogoro Mjini 24/7. Alikuwa mishen town na mtoto wa...
Back
Top Bottom