morogoro

  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Managing Director at Morogoro Urban Water Supply and Sanitation Authority (MORUWASA)

    MORUWASA is an expanding autonomous Urban Water Supply and Sanitation Authority, which is responsible for supplying clean, safe water as well as provision of wastewater disposal services in Morogoro Municipality, Kilosa and Mikumi Towns. The general policies and guidelines to run the Authority...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Housegirl wa Rais Karume alivyoniokoa soko la Sabasaba Morogoro wakati tunatoka Malawi. Dada, barikiwa popote ulipo - uliniokoa

    Duniani bado kuna watu wema. Nakumbuka Housegirl wa mh Rais Karume tulipanda basi toka Malawi. Miaka ya 2007/8. Nilimpigisha Sana story njiani mpaka akafurahi sana. Tulipofika Msamvu usiku kabla stend mpya haijajengwa wakaja wahuni wengi including vibaka. Yule dada kwa kutambua hatari iliyokuwa...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mbaroni kwa kufungua akaunti ya Corona Facebook na kupotosha Umma

    Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Manispaa ya Morogoro Awadhi Lugoya anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani morogoro kwa tuhuma ya matumizi mabaya ya mitandao kwa kufungua akaunti kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook inayofahamika kwa jina CORONA VIRUS TANZANIA na kutoa taarifa za upotoshaji za ugonjwa...
  4. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Morogoro Mjini Tshs Milioni 3

    Ninauza Kiwanja number 36 kilichopo Mkundi, Morogoro mjini, umbali mita miambili toka Dodoma road. Kina hati rasmi, siyo squatter. Gharama ya kubadilisha jina la hati itakuwa juu yako ambayo haizidi laki mbili na nusu. Ukubwa wa kiwanja ni 400 mita za mraba ( 20 kwa 20) . Bei ni Milioni tatu...
  5. borncool

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo la biashara ya chips Morogoro

    Wakuu habari anayefahamu eneo zuri au Kama unalo eneo naweza kuweka banda la chips niPM tuyajenge. Ni kwa maeneo ya Morogoro mjini kama unaweza kuwa na mgahawa mi nikaongezea chips au una duka mi nikaweka hapo karibu vinywaji vitembee nicheki
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Kubwa: Morogoro, madaraja na mafuriko-nchi kukatika mawasiliano!

    (Mafuriko daraja la Dumila mwaka jana-mwaka huu kuna uwezekano kutokea tena mafuriko) Mkoa wa Morogoro umabahatika kupitiwa na barabara karibu zote zinazoingia Jiji la Dar es salaam. Barbara hizi zinavuka mito mingi inayoingia Bahari ya Hindi. Sasa hivi tunaona sarakasi za kukatika madaraja...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Morogoro town centre yakumbwa na mafuriko ya tope

    March 7, 2020 Morogoro, Tanzania Mvua kubwa iliyonyesha milima ya Uluguru inayoizunguka mji kasoro bahari wa Morogoro umejikuta wakazi na wafanyabishara wa mjini kati yaani down town city centre ukiwa na mafuriko ya tope jingi na maji. Wakazi waomba miundo mbinu ya mifereji na mto unaokatiza...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kubomoka kwa daraja la Kiyegeya: Meneja Tanroads Morogoro arudishwa Wizarani

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani na nafasi yake ijazwe na mtu mwingine mara moja baada ya kuzembea kutimiza wajibu wake. Uamuzi huo umekuja baada ya kiongozi huyo kushindwa...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video : BAVICHA yatetemesha Morogoro

    Acheni tu siasa ziendelee kupigwa marufuku , maana zikiruhusiwa visukari vya watu vitapanda mara dufu . Hapa ni mkoani Morogoro kwenye Kikao cha ndani cha BAVICHA, ambayo imebainika sasa kuwa ndio Taasisi ya vijana inayoongoza barani Africa.
  10. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Dkt Bashiru akagua na kuridhishwa na ujenzi wa soko la kisasa Morogoro

    Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali Kakurwa leo Jumamosi Februari 15, 2020 ametembelea na kukagua hatua za mwisho ujenzi wa Soko kuu la kisasa katika Manispaa ya Morogoro. Soko hilo la kisasa linatarajiwa kukamilika Machi 30, 2020 limegharimu kiasi cha *T. Shs Billioni 11,267,070,127.77...
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Kwani Morogoro kuna tatizo gani?

    Sijui kuna tatizo gani katika Mkoa huo. Imekuwa ni kawaida kiongozi akienda ni lazima alalamikie matatizo ya matumizi ya fedha za Umma. Ameenda Rais, ameenda Waziri Mkuu, ameenda Jafo na hivi sasa kapita Katibu Mkuu wa CCM. Wote kwa namna tofauti na kuhusiana na mambo tofauti tofauti...
  12. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Kama kuna dalali aliyeko Morogoro kuna biashara ya kufanyika

    Habari za wakti huu. Hii ni very urgent.Kama wewe ni Dalali uliyepo Morogoro Mjini au zaidi Maeneo ya Kihonda basi tuwasiliane PM nikupe Biashara unifanyie Chap. Ni biashara ya kuuza eneo la ardhi liliko Kihonda.Maelezo na maelekezo mengine tutapatiana PM. Karibuni.
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania RC Morogoro awasweka rumande Wakuu wa Shule baada ya shule wanazozisimamia kufanya vibaya mtihani wa Taifa

    Mkuu wa mkoa Morogoro amewaweka rumande Wakuu wa Shule ambao shule zao zimeshindwa kufanya vizuri katika mtihani wa taifa kidato cha pili na cha nne mkoani humo pamoja na kuwavua madaraka ya ukuu wa shule Hatua hiyo imefikiwa hapo jana siku ya Alhamisi tarehe 16/01 2020 kwa kile kilichodaiwa...
  14. HappyValleySchools

    JamiiForums Tanzania Ijue Happy Valley Day Care Center - Morogoro

    Ijue Happy Valley Day Care center!, Mlete Mteja Upate 50,000 kama zawadi yako
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa manispaa ya Morogoro wafunga 2019 kwa kupigwa na polisi

    Jana mida ya saa 5 usiku maeneo mbalimbali ya manispaa ya Morogoro wananchi waliokuwa wakisherekea mwaka mpya walipigwa na polisi kwa kuonekana barabara au baa kuanzia saa 5 usiku kabla hata ya mwaka mpya 2020 kufika. Gari 2 za polisi wakiwa na mbwa zilizunguka maeneo mbali mbali ya manispaa...
  16. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vitu vya ndani mkoani morogoro

    Habari zenu wadau wa JF nahitaji geto na vitu vyake..au at Kama anauza kimoja kimoja fresh kwa Alie Morogoro au dar anichek pm chap.natanguliza shukrani
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Tanesco kununua magari 106 ya kuwafuata wateja

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linapanga kununua magari 106 kwa ajili ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa wateja ikiwamo kitengo cha dharura kwa ajili ya kuwahudumia wateja baada ya kupata kibali cha ununuzi. Aidha, shirika hilo limesema uboreshaji wa mfumo wa umeme katika kituo cha...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Clouds FM mna matatizo gani? Morogoro wiki ya tatu haisikiki

    Mimi ni miongoni mwa wasikilizaji wa redio hii hasa wa vipindi vya Power Breakfast, Jahazi na Amplifier. Hii ni wiki kama ya tatu redio hii haisikiki Morogoro na hakuna taarifa yoyote. Jamani kuna shida yoyote? Tufahamishane tafadhali.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ada ya shule ya Sekondari ya Msolwa

    Wazee naomba kujua ada ya Msolwa Seconday School.
  20. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais mkoani Morogoro kuhusu NIDA mpaka sasa hivi mrejesho wake ni upi..?

    Mbona kama NIDA bado haieleweki hata baada ya rais kutoa tamko kule morogoro kwa kumtaka mkurugenzi wa NIDA kutatua changamoto hii ya upatikanaji wa huduma ya vitambulisho vya taifa..? Nini mrejesho wa NIDA kuhusu utekelezaji wa kusambaa wilaya zote ili watu wapate vitambulisho kabla ya azimio...
Back
Top Bottom