morogoro

  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Ni basi gani zuri la Dar - Mwanza ambayo hailali Morogoro, huduma nzuri na luxury?

    Naomba msaada wa kufahamu gari nzuri ya Mwanza -Dar ambayo hakuna kulala Morogoro. Watu wengine wanasema Dar Lux, wengine Ally's na wengine Happy Nation. Naomba wenyeji mnisaidie kujua ipi nzuri hapo na ya uhakika. Natanguliza shukrani.
  2. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa ndani CHADEMA: Kanda ya Kati wamkataa Nyalandu. Wadai haaminiki anaweza kuunga juhudi wakati wowote

    Amani iwe nanyi, Katika kile kinachoonekana kuwa ni "Joto la Uchaguzi " Kanda ya kati hali si shwali kwa upande wa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Kanda Mhe Lazaro Nyalandu anayetupa karata yake kumkabili Kijana machachari Sana Alphonce Mbassa Mwenyekiti anayemaliza muda wake, Lazaro...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini upimaji wa DNA umeongezeka sana kwa Mikoa ya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Morogoro pekee?

    Nina Jirani yangu Mmoja ana Watoto Saba ( 7 ) ila hakuna hata Mmoja amefanana nae achilia mbali hata Kufanana na Wazazi wake na Ndugu zake lakini anawapenda kweli kweli. Yaani Mimi nizae na Mwanamke Watoto Saba ( 7 ) kama hao halafu hata Mmoja hajafanana nami kwa chochote kile huyo Mwanamke...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro mnatunga uongo kwa faida ya nani ?

    Kama chama kinachoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni kimoja hizo vurugu mnazotunga zitatokea wapi ? Tumieni njia za halali za kupanda vyeo lakini si kwa kuchafua wengine , mnatia aibu !
  5. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo bila shaka umemsikia Rais Magufuli mkoani Morogoro, Je juu ya pareto?

    Na Elius Ndabila 0768239284 Mh Japhet Ngayilonga Hasunga Waziri wa Kilimo, nianze kwa kukupongeza kwa kazi kubwa unazofanya hasa upande wa Wizara nyeti inayobeba maisha ya Watanzania zaidi ya milioni 55. Wizara ya kilimo ndiyo wizara mama ambayo inabeba karibia Wizara zote za kisekita...
  6. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Serikali Kupitia Kwa Waziri wa Fedha Dokta Mpango Yaiomba AFDB Kujenga Barabara Njia Nne Morogoro Hadi Dodoma

    WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajii ya kujenga barabara ya njia Nne kuanzia Morogoro hadi Dodoma ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo Dkt. Mpango ametoa ombi hili Jijini Dodoma...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mvomero: Ofisi ya kijiji cha Mlali yachomwa moto, vitu vyote ndani vyateketea

    Wilayani Mvomero mkoani Morogoro ofisi ya kijiji cha Mlali imechomwa moto usiku wa kuamkia leo, nyaraka zote muhimu zateketea. Watu wasiojulikana, wameichoma moto Ofisi ya Kijiji Cha Mlali kilichopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 11...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Ugumu wa maisha wamfanya kijana aamue kuiba misalaba ya chuma Makaburini

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Kingdom akamatwa akiiba misalaba ya chuma, makaburi ya Kola, mkoani Morogoro. Kijana huyo alisema hii ni mara yake ya kwanza kuiba misalaba na ni ugumu wa maisha umemfanya aibe misalaba. Kijana huyo alisema huuza misalaba hiyo kama chuma chakavu ambayo...
  9. mayowela

    JamiiForums Tanzania "Morning sight" Morogoro

    Nahitaji kufahamu sana Historia ya Eneo hili na Historia ya lile jengo pale, nasikiasikia kuna mengi sana na ya kuogofya pale, Waluguru na wakazi wa Morogoro karibuni
  10. K

    JamiiForums Tanzania Anahitajika dalali kutoka Morogoro Mjini

    Wanabodi...! Anahitajika haraka dalali/madalali wa nyumba, viwanja na mashamba kutoka mkoa wa Morogoro, anayeishi Morogoro Mjini. Kwa maelezo zaidi ani PM haraka iwezekenavyo ili tuyajenge. Aweze kuweka namba zake za mawasiliano za simu zinazopatikana muda wote. Nawasilisha.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Morogoro

    Plot for sale in Kilakala Morogoro area next to Goshen church. Medium Density sized in quiet and calm environment. Water and electricity close by.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua nguruwe toka Morogoro kupeleka Dar-es-Salaam

    Habari wana jamii nina mtaji wa m2 nataka kufanya ununuzi wa nguruwe toka Moro to Dar kuchinja kwa ajiri ya biashara vp ushauri, hapo italipa?
  13. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo changamoto kuu mbili mradi wa treni ya mwendokasi Dar ~ Moro

    Serikali ina wazo zuri. Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri. Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :- 1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (?) 2. Reli zetu haziko...
Back
Top Bottom