morogoro

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro awa nje kituo chake cha kazi kwa takriban mwezi mmoja kisa Ubunge wa Monduli

    Wanajamvi salama? Wakati joto la uchaguzi likizidi kupanda hatimaye mkuu wa mkoa wa Morogoro bwana Loata Sanare amediriki kuwa nje ya kituo chake cha kazi mwezi mmoja sasa Nilizozipata asubuhi ya leo kutoka vyanzo vyangu zinàsema tokea ateuliwe amekuwa akisononeka sana moyoni na kuanza...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nipo Starpark Msamvu Morogoro pazuri sana

    Nipo bongoland nchi ya Nyerere mkoa wa Morogoro palipojaliwa miradi miwili mikubwa reli ya SGR na Nyerere dam only kama vitakamilika nipo msamvu kijiwe kipya naona kinaitwa Starpark Msamvu ila tusijuane wala usije inbox sina hela ya bia .
  3. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Msamvu, Morogoro: Vibanda 8 vya biashara katika eneo la Stendi ya Mabasi vyateketea kwa moto

    Moto ambao haujafahamika umesababishwa na nini umewaka na kuteketeza vibanda vya biashara takriban 8 katika eneo la stendi ya Msamvu, usiku wa kumakia leo Akizungumza baada ya kuudhibidti moto huo, Kamanda wa Uokoaji na Zimamoto mkoani humo, Godluck Zerote amesema hakuna mtu aliyedhurika bali...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja, ardhi au shamba Morogoro Manispaa

    NATAFUTA KIWANJA , SHAMBA , ARDHI MOROGORO MANISPAA Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta Kiwanja, Shamba au Ardhi ya kununua Morogoro Manispaa.Ardhi ninayohitaji iwe aidha imepimwa (i.e Surveyed land) au haijapimwa (i.e unsurveyed land or Squatter ), isipokuwa kitu cha...
  5. mamayoyo1

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipatia Serikali mkopo nafuu kujenga mradi wa maji mjini Morogoro

    Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA). Mkataba wa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Tembo waharibu zaidi ya hekari 700

    Kijiji cha Msongozi kata ya Msongozi wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro kimeharibiwa mazao kwa takribani hekari 700 Wananchi katika maeneo hayo ambao wako karibu na mbuga ya Mikumi wameomba serikali iwasaidie kwa kuwa tembo hao wameshindwa kuswagwa kurudi mbugani Joseph Chuwa, Afisa wanyama...
  7. benja

    JamiiForums Tanzania Ajali ni nyingi Barabara ya Morogoro Dar es Salaam

    Nawasalimu Serikali ya Awamu ya Tano Chini ya Mh. Dr. John Pombe Joseph Magufulu inajitahidi sana kujenga miundombinu nchini ikiwemo barabara. Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuelezea ajali ambazo nimekuwa nikizishuhudia katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam hususan kuanzia Kimara...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Mkundi Morogoro, 945 meter square

    Hello
  9. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Huenda Mkoa wa Morogoro ukagawanywa na kuwa mikoa miwili; Morogoro na Kilombero

    Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero. Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 11 wafariki kutokana mvua

    WATU 11, saba wakiwa watoto, wamekufa kwa kusombwa na maji na wengine kuangukiwa na kuta za nyumba baada ya mvua kubwa kunyesha katika vijiji vya Pande na Konde vilivyopo mkoani Morogoro. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa , amesema majira ya saa saba usiku katika kijiji...
  11. tanira1

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashamba ya kulima mahindi Morogoro

    Natafuta mashamba ya kulima mahindi ya kumwagilia Mororgoro yeyote yule mweneye idea wapi nitapata shamba ambalo nitaweza kuchimba kisima na maji yapatikane mwaka mzima anijulishe
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mazava chawapa likizo ya kibabe ya miezi 3 isiyo na malipo wafanyakazi wake

    Wafanyakazi wa kiwanda cha kuzalisha Nguo cha Winds Group ltd maarufu kama Mazava kilichopo Msamvu, kinadaiwa kuwapa likizo ya miezi 3 wafanyakazi wake bila malipo. Wafanyakazi wamezuiwa kuingia kiwandani kuendelea na shughuli humo leo Mei, 15.
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mama Pierina Morogoro na Sapna Morogoro

    Wajuzi na wenyeji wa mkoa wa Morogoro hususan pale mjini hebu tusaidieni kuna sehemu inaitwa mama Pierina na Sapna hizi zamani zilikuwa na umaarufu gani? Na huyo mama Pierina ninani? Asanteni
  14. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Sukari madukani hamna, tatizo ni nini wakati tayari kuna bei elekezi toka Serikalini?

    Wakuu Salaam; Nimezunguka madukani kutafuta sukari ili nipate chai angalau nichangamke kipindi hiki cha mvua maana baridi ipo kweli huku duniani niliko, sasa kila duka naloingia naambiwa sukari hamna! Nimejaribu kwenda hadi maeneo ya stendi lakini bado sukari najibiwa hamna. Nimeamua ninywe...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya utangazaji wa Radio FM yoyote iliyopo Morogoro

    Mimi ni kijana wa Miaka 27, Sijasomea Taaluma ya Habari na Mawasiliano kwa Umma. Ila tangu Nikiwa Mdogo ndoto yangu ilikuwa ni kuwa Mtangazaji na Mwandishi wa habari. Naamini nina kipaji , kupata uzoefu nilipokuwa kiranja wa Information and Broadcasting O level ambapo nilikuwa naandika na...
  16. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kikubwa hatua 50 kwa 22 kinauzwa Mbezi Mwisho, 2km kutoka Morogoro Road

    Kiwanja kipo Mbezi Mwisho kilometa moja na nusu kutoka Morogoro Road njia nane na kilometer 2 kutoka Kituo kipya cha mabasi Ubungo . kiwanja kimepimwa Maji ya dawassa Umeme Na huduma zote za kijamii zipo Ukubwa wa kiwanja ni 50 kwa 22 sawa na sqm 1100. Bei ya kiwanja ni 28 million Tshs...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mazishi Naibu Meya Morogoro yasitishwa, mwili warejeshwa mochwari

    SINTOFAHAMU ya mazishi ya aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro, marehemu Isihaka Sengo imesababisha mganga mkuu wa manispaa hiyo, Ikaji Rashid kuwatawanya waombolezaji nyumbani kwa marehemu mpaka mwili wa mrehemu utakapofanyiwa uchunguzi wa kitabibu. Utata huo ulijitokeza punde baada ya...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini RC wa Morogoro anang'ang'ania kupewa Barakoa za Devota Minja ili azigawe yeye?

    Taarifa kutoka Morogoro zinadokeza kwamba Mbunge wa Chadema Mh Devota Minja amekamatwa na jeshi la polisi kwa Amri haramu ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro , kwa kosa la kufuata muongozo wa kuzuia Corona wa shirika la Afya la dunia ( WHO ) na kugawa Barakoa bora kabisa za viwango vya N 95 kwa...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

    Wahenga walishasema tangu zamani kwamba kutoa ni moyo , na wala si utajiri , huyu Devota Minja yeye ameamua kutoa barakoa ili kuwaokoa wananchi dhidi ya vifo vya corona. Lakini inafahamika kwamba Tajiri Mohamed Abood yeye miaka yote anatoa Magari ya kubebea maiti kupeleka makaburini kuzika ...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wasafiri wanaopita Mkoa wa Morogoro kuanza kupimwa COVID-19

    Serikali mkoani Morogoro, imeazimia kusimamisha magari yote yanayopita ndani ya mkoa huo yakiwemo ya abiria ilikuwapima abiria ikiwa ni moja ya njia ya kukabili maambukizi ya virusi vya corona kuendelea kusambaa nchini. Agizo hilo lilitolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Sanare...
Back
Top Bottom