morogoro

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 3 wakamatwa kwa tuhuma za kufukua maiti na kunyofoa viungo

    Watu watatu wanashikiliwa na Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kufukua mwili wa Rehema Michel, aliyezikwa Jumapili na kutoa viungo mbalimbali ikiwamo kichwa, figo na sehemu za siri. Mwili wa marehemu Rehema ulizikwa kwenye makaburi ya familia katika Kijiji cha Nguyami, Kata ya Idibo wilayani...
  2. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Kipande cha SGR Morogoro to Makutupora 61%

    PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%. Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa. ====...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni bei za karoti na kabechi Dodoma, Morogoro na Dar

    Mliopo Dodoma Dar na moro naomba uzoefu wenu nataka kujua bei za karoti kwa kigunia na kabechi mwezi wa 11. 12 na januari huwa inacheza vipi ? Nampango wa kupanda zitoke hio miezi kwa hio naomba kujua na ikiwezekana kama kuna wadau/ dalali wa sokoni wani pm tufanye makubaliano. Nipo Njombe
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Afisa Tarafa wa kubadilishana naye. Nije Morogoro aje Mwanza

    Wakuu hbarin za jion. Naomba afisa tarafa anayeweza kubadilishana kituo Cha kazi. Ajë mwanza me nishuke morogoro. Ahsanten
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro tunauziwa vifaa vya maji bei juu. Yaidaiwa ni maelekezo ya Wizara

    Jana nilikwenda ofisi ya MORUWASA - Morogoro kufuatilia maombi yangu ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu, niliandikiwa invoice kuwa natakiwa kulipa zaidi ya Tsh 300,000 kwa umbali usiozidi mita 8 toka lilipo bomba (wao wanaita tawi) la mamlaka hiyo ambapo wengi wamechukulia hapo. Nikawauliza...
  6. Heisenberg

    JamiiForums Tanzania Ijue Historia ya mchawi mmoja toka huko Kilombero - Morogoro

    Dunia ina mambo Mengi sana na mengine usiyoyajua Nikiwa Maeneo hayo ya kilombero Niliwahi kuona uchawi ambao sitasahau. Kuna kijana mmoja aliombwa aangue nazi kutoka kwenye mnanzi wa mzee fulani, Jamaa akavaa kamba miguuni akapanda akashusha nazi za kutosha. Wakati anaendelea na hararakati...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Mtu mmoja afariki baada ya kuigonga Treni

  8. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Kingolwira Morogoro

    Kituo Cha Kupokea Umeme Ambao Utatumika Kwenye SGR Yote Kikiwa Kwenye Hali Nzuri SGR Ikiwa Na Muonekano Wenye Mvuto Kutoka Dar es Salaam Unapoingia Morogoro
  9. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ibada kuu ya Eid el Fitr Morogoro Municipal

    Habari za majukumu JF members wote. Mungu ni mwema na hatimaye yamebaki Masaa tu kama sio dakika tuimalize Ramadhan ambayo imechukuwa Siku takribani 30. Ni furaha ilioje kwa Waislam wote na wasio Waislam kesho kusheherekea sikukuu ya Eid baada ya kumaliza Mfungo salama salimini. For now nipo...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mwanamke, dereva wafariki dunia baada ya bajaji kugonga treni

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Fatuma anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 39 na dereva wa bajaji ambaye naye jina lake halijafahamika wamefariki dunia leo baada bajaji waliokuwa wanasafiria kugonga treni eneo la Modeko Kata ya Mazimbu mkoani Morogoro.
  11. Waterbender

    JamiiForums Tanzania Nahitaji miwani ya macho

    Habarini wote. Mimi ni muhanga wa macho nimeyavumilia kwa muda mrefu lakini naona ni too much. Siwezi focus vitu vya mbalii hata karibu hasa maandishi ziwezi somaa. Naitaji miwani ya bei nafuu nipo Morogoro Asanteni
  12. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusafirisha nyama ya Nguruwe Morogoro - Dar-es-Salaam

    Kwa yeyote ambaye amewahi fanya hii biashara ya usafirishaji nyama ya nguruwe toka Moro to Dar naomba msaada wako. Naomba kujua njia ya usafiri uliyotumia, masoko, changamoto n.k Asante sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Morogoro Mjini- Mafiga

    Nyumba inauzwa kwa bei nafuu kabisa IPO Morogoro mjini- Mafiga yenye vyumba kumi na eneo la ziada Wasiliana nasi kwa namba: 0699366788
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka "Scaba-Scuba, Scaba Line", basi dogo lililokuwa ikifanya safari zake Dar es Salaam - Morogoro?

    Je, unaikumbuka? (Kwa waliozaliwa kuanzia enzi za utawala wa Mzee Mwinyi (Mzee wa Rukhsa si rahisi kukumbuka hili basi) Ni lililokuwa basi dogo, ilikuwa ikifanya safari zake Dar Es Salaam - Morogoro. Ni basi lililokuwa linaweza kufanya safari tatu kwa sita kwa siku moja Dar - Moro licha ya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Habarini za muda wana jamvii kama kichwaa cha habari kinavo jieleza hapo juu kuna tofauti gani wa ubora wa Elimu unaotolewa chuo kikuu cha kilimo morogoro SUA na ile inayotolewa chuo kikuu cha Dodoma UDOM & UDSM hususan katika zile course za kilimo? Binafsi nina wanangu wanasoma course zinazo...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kula mishkaki ya mia mia, Morogoro basi uliwahi kula mbwa, jamaa wamekamatwa huko

    Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani. Ni mnyama ambaye amekuwa akitumia nyama kama chakula chake kikuu. Pamoja na kuwa na sifa hizo, miaka ya zamani mnyama huyo alikuwa akitumiwa kama kitoweo na kabila...
  17. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Various Teaching Vacancies At Morogoro International School, April 2021

    Position: Teachers (British/Cambridge International Education (CIE) Curriculum Duty Stations: Morogoro, Tanzania. Subjects ● Science Teacher ● Primary School class teacher. ● Geography Teacher ● History Teacher ● English Teacher ● Physical Education Teacher Objective To provide a high level...
  18. mbikagani

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Morogoro angalia watu hawa watakuponza

    Afisa Tarafa ya Magole, Mtendaji Kata wa Mbigiri na Diwani wa Kata ya Mbigiri wilayani kilosa watakuponza usipowachukulia hatua haraka. Vimungu mtu hawa wanatumia jina lako kama mkuu wa mkoa kutesa watu ambao wanatofauti nao kimsimamo...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso ameigiza kuwasimamisha watendaji wa wizara yake walioko Morogoro

    Kwa uchunguzi wangu nimestukia maamuzi haya kwa sababu kama ni ubadhirifu ulianza zamani wakati Aweso akiwa Naibu waziri, kwa nini hakuona tangu zamani? Umbea wangu hatimaye umeangukia pazuri. Waziri Aweso anaigiza na huenda alikuwa ni sehemu ya ufisadi huu. Hii ni kutokana na urafiki wake wa...
  20. ZOPPA

    JamiiForums Tanzania Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
Back
Top Bottom