Plot4Sale Viwanja vinauzwa Turiani Morogoro

gkileo

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,096
487
VIWANJA, VIWANJA.

viwanja vinne vikubwa vinavyouzwa katika eneo la Turiani, Morogoro vyote vipo block b karibu na barabara kubwa,Viwanja hivi vina ukubwa wa square meter 1150, 1270, 1149, na 2478, vyote vina hati . Viwanja vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, hospitali, na umeme.

Viwanja hivi ni vikubwa na unaweza kujenga eneo la biashara au la kuishi. Kwapamoja viwanja hivi vinaukubwa zaidi ya square meter 6,000, hivyo unaweza kujenga shule au apartments kwa kuunganisha viwanja.

Bei ni 30m mpaka 100m kwa kila kiwanja (maongezi yapo)

Kama una nia ya kununua kiwanja au viwanja hivi, tafadhali wasiliana nasi kwa maelezo zaidi

Email:Kiomasalesgroup@gmail.com
Phone:+255628035342/ +255762008088
Whatsup: +255658131333

AB3DF663-FC1D-484C-A539-97245E8F8169.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom