Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,927
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga.
Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga kwasababu wewe mzinguaji. Demu alijua ni ule utani wake wa kawaida na kweli jamaa alikuwa ana joke tu mara akatoa mkanda wake akajifunga shingoni akajiachia toka kwenye mti.
Kwabahati mbaya jamaa akachelewa kujifungua kwa haraka akaanza kutapatapa mzee mmoja alikuwa anafyeka majani akamuona akihangaika na yule demu wake akiwa analia kwa kuchanganyikiwa akafika kumfungua akawa amechelewa jamaa alikufa pale pale .