2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,982
- 4,457
Huenda wengi wasinielewe kwenye hili.
Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.
1. Sehemu zenye Wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana)
2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono juhudi (sababu ya kujipendekeza)
3. Mbinyo utakuwa mkali sana kwa wanasiasa wa upinzani.
Sasa kama tunajijua bado ni waoga hatuna ujasiri basi tumchague Magufuli tu ili kuondokana na ubaguzi wa CCM kwenye maendeleo