Alwaz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,055
- 10,723
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Saudi Arabia mwanamfalme Faisal bin Farhan amesema kurejeshwa kwa uhusiano na Israel ni lazima kuambatane na kuundwa kwa taifa la Palestina iliyo na mamlaka kamili na Israel iodoe majeshi yake kwenye ardhi ilizoziteka mwaka 1967 na irudishe ardhi inazozijenga hivi sasa ndani ya Palestinasaid,
Hayo aliyasema hapo juzi katika mkutano wa kila mwaka ujulikanao kama Mediterranean Dialogue uliofanyika Italy jana Ijumaa.
Sambamba na msimamo huo wa Saudia waziri wa mambo ya nje wa Qatar naye amesema haoni umuhimu wa kurudisha uhusiano na Israel muda huu na kwamba mpango wanaoendelea nao kwa kushirikiana na Israel wa kuwapelekea misaada wapalestina unatosha.Kauli ya mawaziri hao imekuja wakati ambapo Marekani Israel wamekuwa wakitangaza kila leo kuwa kuna mataifa kadhaa ya kiarabu yako mbioni kufuata mkumbo wa UAE,Bahrain na Sudan na kupelelekea watu kudhani anayefuatia ni Saudia