mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Hakuna mamlaka Duniani isiyowekewa mkono na Mungu

    Ni kweli tunajiuliza kama mamlaka zinawekewa mkono na Mungu, je wanaoiba kura halafu wanashinda huwa mkono wa Mungu unakua na hiyo serikali? Mimi labda nitowe wazo langu. Labda hao wanaoibiwa kura na wakashindwa, MUNGU hajawakubali ndio maana akaruhusu waliopo waendelee hata kwa kutenda...
  2. Melanny

    JamiiForums Tanzania Hair dryer za mkono zinapopatikana kwa bei ya jumla kwa Dar

    Wapendwa,. Naombeni kwa zinapopatikana hair dryer za mkono kwa bei ya jumla. Nataka kwa hapahapa Dar na si mpaka niweke order kutoka China. Kwa mwenye kufahamu.naomba anielekeze.
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 ACT Wazalendo wapo tayari kuunga mkono CHADEMA, Membe bado hajajibu suala kama atakubaliana

    ACT-Wazalendo ipo tayari ubia na CHADEMA KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kipo tayari kushirikiana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuungana mkono kwa wagombea wanaokubalika kwenye majimbo ili waweze kuibuka na ushindi. Alitoa...
  4. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Upinzani Mali kukataa Serikali ya mpito inayoungwa mkono na Jeshi

    Vuguvugu maarufu la upinzani wa Mali limekataa mkataba wa serikali ya mpito inayoungwa mkono na maafisa wa jeshi walio muondoa madarakani Rais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mapinduzi ya kijeshi. Serikali ya kijeshi iliunga mkono mkataba wa serikali ya mpito ya miezi 18 iliyo afikiwa Jumamosi...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 SAU wazindua Kampeni na Ilani kwa vitendo. Watumia Trekta Kulima kuonesha dhamira ya Kumtoa Mtanzania kwenye Jembe la Mkono

    Salaam Wakuu, Chama cha sauti ya umma (SAU) Kimezindua Kampeni na Ilani kwa Vitendo, Baada ya Kutumia Trekta kama mfano wa Jinsi Watanzania Watakavyokuwa Wanalima Pindi Wakipewa Nafasi ya Kuongoza Nchi. Wamezindua kwa kuvuna Miwa na Viazi Shambani. Uzinduzi wa ilani umefanyika kivitendo katika...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu awataka CCM Wilaya ya Kigamboni kuacha nongwa, kuvunja makundi na kuwaunga mkono Wagombea walichaguliwa kwenye Kura za Maoni

    Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan, amewataka wanachama waliojitokeza kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani wasikisuse chama baada ya kushindwa katika kura za maoni. Mama Samia amesema hayo leo Septemba 8, 2020 wakati akihutubia wananchi wa Kigamboni...
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

    Ndugu zangu, Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif. Muda unatoa majibu sasa.
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani ni sera mbadala, si 'kuunga mkono juhudi'

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaoelekeza mashambulizi kwa upinzani, hasa mgombea wa CHADEMA, T. A. Lissu. Katika mazingira ya uchaguzi ambapo chama kimoja kinaomba kura kurejea madarakani (chama tawala) na vyama vingine (vya upinzani) vinatafuta kukiondoa madarakani chama tawala, ni udhaifu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkono wa beberu Amsterdam, wapinzani kushindwa kuungana umesababisha CCM kukosa upinzani madhubuti

    Ndugu Watanzania wenzangu. Kipekee napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuiona tena siku ya leo. Baada ya kuangalia na kutathimini mwenendo wa kampeni zinazoendelea kwenye vyama vyote, huku nikirejea kampeni za 2015, ni dhahiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu, 2020, Chama Cha Mapinduzi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukimya wa Dkt. Slaa na Edward Lowassa wakati huu wa kampeni ni kumuunga mkono Tundu Lissu Kimya kimya?

    Wakuu nimetafakari kwa kina jinsi huyu mgombea wa CCM kwa ngazi ya Urais alivyotengwa na watu makini na wenye mvuto katika siasa za Tanzania hasa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na sasa Balozi nchini Sweden Dkt. Slaa na aliyewahi kuwa Luten Kanali Na waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai...
  11. kitonsa

    JamiiForums Tanzania Leon Spinks alifungwa mkono wa kushoto ili apambane na Mohammad Ali?

    Kuna story za kitoto mida ya miaka ya nyuma huyo mwamba alikuwa na nguvu mpaka Mohamed Ali aliomba afungwe mkono wa kushoto. Nilisikia alifungwa mkono wa kushoto, alivyo fungua alivunja nondo ya ring. Kuna ukweli hapa?
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kulikuwa na ulazima gani kununua ndege za kibiashara kwa cash kuliko kununua matrekta na kuyagawa kila kijiji ili kulitupa jembe la mkono?

    Binafsi nimewahi kupanda ndege mara moja tu ukubwani na utotoni sidhani kama nimewahi kupanda. Nililipa 120k tu kwenda Mbeya na kurudi kwa Fast Jet 2015 kabla midege yetu haijapata sifa hizi. Sasa hizi ndege zimeleta faida kwa kundi lipi kama tangu awali kabla ya ujio wa haya ma bombardier na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tarime Mjini: Jackson Kangoye ampa masharti kumuunga mkono Kembaki, amtaka amrudishie gharama alizotumia kwenye kura za maoni

    Katika hali ya kushangaa, jana Jackson Kangoye alimuita Michael Kembaki na kumpa masharti ya yeye kumuunga mkono katika uchaguzi mkuu ngazi ya ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini. Jackson alimpa masharti Kembaki ya kwenda yeye binafsi bila wapambe wake. Lakini Kembaki alipokwenda akimkuta...
  14. Kipapatiro

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la maumivu makali ya mkono

    Natumai wazima humu ndani, Naomba ushauri, mama ana maumivu makali hasa usiku ya mkono mmoja wa kulia mpaka begani. Tulienda hospitali kupiga xray hakuna tatizo, tulipewa dawa za kuchuwa tu, ila naona hali haibadiliki, tumuone mtaalam wa nini?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ni ukomavu wa kisiasa m-CCM kuwatia shime upinzani

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Inavutia Colin Powell a staunch republican 'kum' endorse Joe Biden a staunch Democrat kwenye uchaguzi ujao: Colin Powell: 'Biden will be a president we will all be proud to salute' Jamani eeh upinzani si ugomvi. Hata huko CCM kutoa...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Madiwani waliounga mkono juhudi na kuangushwa na wajumbe warudishwa kwa wingi. Wapo walioshika mkia lakini jina limerudi

    Hatimaye sasa imejulikana kwanini CCM walichelewesha kutangaza majina. Waliounga juhudi na kuangushwa vibaya na wajumbe wa CCM wamerudishwa kwa wingi ili wakawe wagombea. Mfano zipo kata unakuta muunga mkono juhudi alipata kura 12 na akawa wa mwisho na mshindi ana kura za wajumbe 50 lakini...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Video: Maelfu ya watu wajitokeza Mikumi kumpungia mkono Tundu Lissu akielekea Iringa, msafara ulichelewa kufika Iringa kutokana na kusimamishwa njiani

    Lissu ni kipenzi cha kweli cha watanzania. Usisingizie kuwa umejenga miundombinu huku unakandamiza uhuru! Ni kosa kubwa mno!
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Karibu. Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa. Up dates; Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5 Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
Back
Top Bottom