mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Msichana (mke) mwenye mapenzi mema karibu tuyajenge. (Huu ni mwaka wa kujiunga na chama cha wanandoa)

    Ndugu zangu wana JF huu ni mwaka wa pekee katika historia ya maisha yangu ni mwaka ambao natarajia kuaga rasmi katika chama kikuu cha useja na kupewa usajili wa kudumu katika chama cha wanandoa. Japokuwa sina mchumba kwa sasa na kwa kuwa tunaishi kwa imani ni matumaini yangu kuwa...
  2. Maleven

    JamiiForums Tanzania From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

    "Nakupenda sana mume wangu sina mwengine zaidi yako" Je, kuna usalama kweli wakuu? Niko mbali na mke wangu, then from nowhere kanitumia hiyo text.
  3. Boflo

    JamiiForums Tanzania Unaweza kutumia mswaki wa mpenzi wako?

    Leo nilitembelewa na mpenzi wangu, akaenda bafuni kuoga, mara nikamuona anapiga mswaki akitumia mswaki wangu, nikashtuka na kumuuliza kwa nini anatumia mswaki wangu? Akanijibu kwani vibaya! Wewe si mpenzi wangu! Kama hutaki nitumie basi hunipendi? Nikazuga kumwambia nakutania. Hivi wana JF...
  4. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Nguvu za giza zimevunja ndoa ya jirani yangu

    Jamaa alikuwa anaishi vizuri na mkewe,wameoana kwa shangwe na furaha kubwa, wakabahatikiwa kupata mtoto mmoja katika ndoa yao. maisha ya ndoa yalianza kubadilika baada ya rafiki yangu kuanza safari za kikazi mara kwa mara,ndipo shemeji akaanza tamaa za kimapenzi kwa kijana mmoja mkopesha...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mke wa kipofu anatembea na kiziwi kwa siri

    Mke wa kipofu anatembea na kiziwi kwa siri lakini anaejua siri hii ni bubu. Je bubu atatumia njia gani kumwambia kipofu kua mkewe anatembea na kiziwi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu, Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu. Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  8. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

    Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha. Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo...
  9. kunta93

    JamiiForums Tanzania Una mpango wa ku-date na mke wa mtu? Zingatia haya

    1: Mke wa mtu unapiga mara Moja.ukinogewa shauri ako. 2: Tafuta njia mbadala ya kuwasiliana nae.iwe ya tofauti.mimi hua natumia email,natuma email ndefu af ujumbe unakua katikati 3: Usitumie guest/lodge Moja.ue unabadilisha badilisha ikibidi hata maeneo pia.leo unapgia kibaha,kesho mbagala...
  10. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rafiki yangu na Rafiki Yangu mwenyewe wananipa changamoto kubwa sana

    Huyu jamaa yangu kitambo sana toka A- Level Visiga. Then tukaenda wote Chuo Kikuu cha Tanzania (Udsm) pale wote tulisoma Degree moja na kukaa Room moja Main Camp all 4 years wote tukipigwa lecture sometimes na Prof Kabudi. Tukiwa A- Level jamaa alikuwa anafikia home akitoka kwao au shule sababu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi, sio lazima kisheria jina la mke na mme kuwa kwenye hati ya kiwanja

    NDG. LUKUVI, SIO LAZIMA KISHERIA JINA LA MKE NA MME KUWA KWENYE HATI YA KIWANJA. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Lazima tunapotoa kauli tuwe tunatofautisha matamanio yetu, na kile sheria inachosema. Tuangalie haya 6 kuhusu kauli ya ndg Lukuvi. 1. Mpaka sasa hakuna sheria...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

    Serikali imesema sheria inaruhusu hati ya kumiliki viwanja kuandikwa majina ya familia ikiwemo mume, mke pamoja na watoto hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro ya mirathi. Akizungumza leo Jumamosi Desemba 19, mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliamu Lukuvi...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Mwanaume aliyelazimika kutembea wiki nzima ili kutuliza hasira za mke wake

    Mwanaume Muitalia alitoroka nyumba yake ili kutuliza jazba baada ya kupigana na mke wake - kwa kusafiri mwendo wa kilomita 450 kwa miguu. Mitandao ya kijamii ya Italia haka imempa jina la "Forrest Gump" kutoka filamu ya Tom Hanks ya mwaka 1994, ambaye alisafiri maili elfu kadhaa nchini...
  14. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mke aweka rehani nyumba ya mumewe benki achukue pesa na kumpa mchepuko

    Kuna watu ukisikia wameua unaweza kudhani wana roho mbaya sana kumbe ni situation imetokea tu. Leo nilikuwa nachat na jamaa yangu, katika mazungumzo nikamuuliza hivi flani yuko wapi nina muda mrefu sijawasiliana naye kama miaka mitatu hivi. Jamaa akanijibu hata hajulikani alipo kakimbia mwezi...
  15. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Jamani mke wangu amejifungua muda tu. Hana tumbo kubwa lakini ile mikunjo ya tumbo inatokaje?

    Alipojifungua alijitahidi kufunga mkanda wa kubana tumbo mpaka tumbo limekaa sawa. Sasa tatizo yale mamikunjo kunjo hivi wa dada aka wamama mnaitoaje ile? Kuna kipindi alijaribu kupaka mafuta flani, holaa Mpaka sasa ipo tu mikunjo kunjo. Ashajifungua mara mbili.
  16. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Chris Watts - Mwanaume aliyeua watoto wake wawili na mke wake mjamzito kisa penzi la mchepuko

    "Behind every murder, there is a motive" Wanawake wengi wa Kitanzania kama siyo wa Afrika utasikia, mimi ningetamani kuolewa na mzungu. Kwanza ni waaminifu na wana mapenzi ya kweli! Muda mwingine nawatazama nacheka kicheko cha mwenyekiti cha Hiiii! Wanaume wa kizungu wakichepuka wakata kuoa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuna tofauti ya demu na mke?

    Wakati vijana wengi tunakimbiza umri humu tukisema tutaoa mwakani lazima tujiulize tofauti ya demu na mke.Kama unaleta demu wako ndani kwako halafu chakula mnaagiza kilichopikwa na mwanamme mwenzio kama vile chipsi uyo msichana achana nae sio mke.Kuwa na mwanamke mnaeshindana kunywa bia hakika...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Napendwa sana na watoto ila mama zao watanivunjia ndoa

    Sijisifii ila ndivyo nilivyo, watoto wananipenda sana tangu mimi ni mdogo, hawa watoto naozungumzia, mara nyingi ni watoto chini ya miaka 7 Kwa sasa nina miaka 29, nimeoa na tuna watoto wawili. Changamoto ninayopata niwapo kazini, kwenye biashara, mtaani na maeneo mengi huwa natokea tu kupendwa...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (MKE)

    Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja. Aliye tayari anicheki inbox. Itapendeza kama atakuwa Dar au mkoa jirani. Awe anajiweza kidogo kiuchumi (awe na...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mkumbuke mke wa ujana wako?

    Habari wanaJF, Kuna hii sentensi naionaga katika Bible kuwa mkumbuke mke wa ujana wako hivi huwa Ina maana gani? Kwamba muoe Mwanamke uliyemtoa bikra au ndo usimwache mchumba wako wa zamani first lover wako?
Back
Top Bottom