Natafuta mwanamke wa kuoa

Mgona

Member
Jan 30, 2021
8
7
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree.

Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo.

Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
 
Chemistry ya kazi na mke ikoje mkuu?

Una maana sie tunaokaa kwa mjomba tutasubiri sana?
Habari ndiyo iyo, siku hizi kama wakaa kwa uncle hama mkuu. Maisha ya sasa ili uwe na mke angalau uwe na kwako na harakati zinazosomeka. Hapo ndio utapata family
 
Habari ndiyo iyo, siku hizi kama wakaa kwa uncle hama mkuu. Maisha ya sasa ili uwe na mke angalau uwe na kwako na harakati zinazosomeka. Hapo ndio utapata family
hahahah Umeongea kwa hisia sana mkuu, Shukrani kwa ushauri nitaufanyia kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom