mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sheria nilizomuwekea mke wangu juu ya mimi na mpira

    Wasalaam wakuu Kipenzi mke wangu najua ananijali sana na kunipenda , ndiyo maana akakubali kwa kila hali na namna ifaayo kunipokea Na kabisa baraka tele ziwe juu ya huyu mwanadada juu ya maswahibu yangu aendeelee kutunza familia yangu na watato wangu Nayeye haachagi kunisifia kuwa ni...
  2. M2WAWA2

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa mke wa ndoa na kuwa mchepuko

    Asante Mungu!!! Ni miezi 18 tangu Mahakama kutengua ndoa iliyofungwa miaka 8 iliyopita. Na huu ukawa mwanzo wa maisha mpya, maisha ya utulivu wa akili, amani moyoni na huru wa maamuzi.Na ukawa Mwisho wa maisha ya mateso ya Kihisia, kiakili, na kisaikolojia-hapa wanaume wengi wanapitia mateso...
  3. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kaini alipata wapi mke wake?

    HOJA YA MSINGI “Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?” Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu. MUKTASARI: Katika Mwanzo sura ya 3 na...
  4. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana majibu ya rejareja

    Yani ni majibu ambayo sio ya kiuungwana. Mfano: Niliwahi kumuuliza mmekula tambi na nini akanijibu "tumekula na mdomo" tukiwa mbali ukiongea video call anaweka mguu, ukimuuliza huo mguu wa nini anasema " wakutembelea" Ni mengi ya aina hiyo, dawa yake ninini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli awasili Dodoma akiwa amevaa Barakoa...

    Kwa mara ya Kwanza kabisa baada tu ya Kutua Mkoani Dodoma ( Makao Makuu ya Nchi ) ameonekana akiwa amevalia Barakoa na pia akiwa hataki kabisa Kupeana ( Kushirikiana ) Mikono na Watu. Maswali yangu ni kama yafuatayo.. 1. Kwanini Mumewe ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipokuwa Hai alikuwa...
  6. Kipunga

    JamiiForums Tanzania Mke wa kaka anataka tuendelee

    Habari wana Jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimeona tofauti ya mke na mchepuko. Nimesikitika sana

    Watu tumeumbwa tofauti namna ya kupokea habari za huzuni.naandika habari hii pia kwa huzuni. Leo baada ya kuwa tumepata habari za msiba wa Kiongozu wetu mkubwa. Nliamka usiku na kumkuta Wife mnyonge anatokwa tu na machozi na kamasi. Kumuuliza akanambia kuna msiba. Nlishtuka,nikaruka kitandani...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Syria kufunguliwa mashtaka nchini Uingereza

    Miaka 10 tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria, Mke wa dikteta na rais wa Syria, Bashar al-Assad, Asma al-Assad anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu na kushawishi uhalifu dhidi ya wananchi wa Syria, mashtaka yaliyofunguliwa dhidi yake nchini Uingereza. Asma ambaye ana uraia...
  9. shalet

    JamiiForums Tanzania Usaliti wenye ulazima

    Habari ndugu zanguni, ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na...
  10. Digital base

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mkweli na muwazi anayejua kutunza upendo wa mume

    Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 Elimu yangu kidato cha nne Umbo la mwili wangu ni mwembamba na mrefu kiasi. Kabila langu Mnyamwezi naishi Dar. Kazi yangu Mjasiriamali/biashara Dini yangu mkristo. Mke nnaye muhitaji awe mweupe/ maji ya kunde Umri kuanzia miaka 23 Awe...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uko wapi utamu wa mke wa mtu? Jamaa nimemshauri hataki kuacha

    Ndugu yangu huyu ni mwaka na nusu sasa anadunda na mke wa mtu. Mwaka jana nikamshauri amwache mara moja,akakubali ila akaendelea kwa kificho. Siku ya valentine day akampost kidogo whatsapp halafu akafuta. Ikabidi nimuweke kikao cha kishikaji na washkaji. Tukampa risala nzito,kumbe alivyotoka...
  12. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta kwa mke wa FFU

    Maishani kuna mengi ya kukumbukwa, ila kuna mengine ya kukumbukwa zaidi. Hii ni kutokana na uzito wake Mke wa mtu sumu Dada huyu alikuwa na duka jirani na ambapo nilikuwa naishi. SIkuwa na mazoea naye kabisa awali. Lakini kadiri siku zilivokwenda alianza kuleta mazoea kidogo kidogo. Muda wote...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Mama amkataliwa kijana wake kulala kitanda kimoja na mke wake kwenye mji wake waliko kwenda kuomba hifadhi baada ya mafuriko

    https://www.yahoo.com/news/woman-blown-away-mother-law-183710718.html
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kujua mke akichepuka?

    KWA NINI NI RAHISI MWANAMKE KUGUNDULIKA ATOKAPO NJE YA NDOA? Hakika mwanamke ni rahisi sana kugundulika endapo anatoka nje ya ndoa, kwa sababu Mwenyezi Mungu amemuumba mwanamke aishi na mwanamme mmoja tu, na hakumpa kabisa uwezo wa kuonyesha mapenzi kwa watu wawili tofauti kwa kiwango sawa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mke mwema anahitajika

    Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 34. Mimi ni msomi ngazi ya Master's Degree. Mie ni mkazi wa Dar na ni Mtumishi wa Umma. Tangazo hili sio jipya nimeamua kulirudia tena kwa sababu sijampata ninayempenda. Ninahitaji mwanamke mwembamba mrefu akiwa mweupe au mweusi yote sawa...
  16. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa mke wangu kupona COVID19 baada ya kumuombea kwa kutumia medium ya new annointing water ya TB Joshua

    USHUHUDA WA MKE WANGU KUPONA COVID 19 BAADA YA KUMUOMBEA KWA KUTUMIA MEDIUM YA NEW ANNOINTING WATER YA TB JOSHUA. Leo 22:30hrs 20/01/2021 Bwana Yesu atukuzwe ndugu zangu,Namshukuru Mungu kwa sababu ya neema yake kuu juu yangu na Familia yangu,Jina langu ni Leslie Mbena,Mume na Baba wa watoto...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa nne (04) awe na sifa kuu saba (07)

    Habari wana jukwaa. Tayari nina wake watatu (03), wote ni wake wema na wana sifa za msingi kuwa wake bora. Sasa natafuta mke wa nne (04). Huyu namuoa kama sehemu ya kusaidia watu wenye uhitaji maalum kwenye jamii. Muhusika awe na sifa zifuatazo;- 1. Awe mjane (sio aliyepewa talaka), 2. Anaweza...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Marekani ameweka ujumbe wa Valentine kwenye bustani za White House

    Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
  19. Inog01

    JamiiForums Tanzania Mke wangu uko wapi? Nimechoka kuwa single nahitaji kuoa

    Habari wanajamvi.Nahitaji kuoa sasa. Nina miaka 29. Dini mkristo Kazi nimejiajiri. Nahitaji msichana atakayekuwa mke wangu Umri asizidi miaka 27 . Dini awe mkristo Akiwa mweupe ama maji ya kunde ni vizuri zaidi, asiwe chibonge. Niko serious aliyetayari ani PM tafadhari.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ngumu sana kupata mke wa kuoa

    Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha 1.Mwanamke mkristo 2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo) 3.Elimu sikuijali sana 4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi, Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
Back
Top Bottom