Ndugu Wana if kama kichwa CA habari kinavyo sema Mimi ni mwanaume miaka 42 mahitaji mke wa kuoa awe mkoa was songwe umri sibagui ukiona unafaa njoo tuyajenge My love kipaumbele tunduma na vwawa
Sio kinyongeMzee wetu upo romantic
Hiyo mhimu sanaAll the best mkali
Sio kinyonge
Nakuelewa mkuuEPUKA UTAPELI KATIKA HII SAFARI HUMU
Kuwa makini utafatwa na jeshi la IDs huko PM
Kazi hawana, wana stress, wana trauma, 24hrs wapo kwenye keyboard na wanauwezo kujifanya wanawake
Sawa mwananguNaqubali
AbeeeNdugu Wana if kama kichwa CA habari kinavyo sema Mimi ni mwanaume miaka 42 mahitaji mke wa kuoa awe mkoa was songwe umri sibagui ukiona unafaa njoo tuyajenge My love kipaumbele tunduma na vwawa
Ukiona hujaelewa ujue haikuhusuUko kwenu hakuna wanawake
Uko wapi mkeAbeee
Niko hapa baba.Uko wapi mke
Asilimia kubwa tunduma hatujasomaUlikua masomoni
Ya Mungu mengi nakuchek babyNiko hapa baba.
Kinachoniponza sipo Songwe tu 😜