The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua...
My Take
Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine.
Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
Hatupangiani namna ya kuishi kwenye ndoa zetu. Kwanza sihudumii ndoa yako na sina mchango wowote ule kwenye familia yako Bro.
Lakini kijamii bado naiona sio sawa hii!... Mkeo kila kukicha anajipost mtandaoni kabinua matako yake nawewe pasina kuwa na haya una comment umedamsh,umewaka,umependeza...
Habari za wakati huu....
Najua mabinti / wasichana / wanawake waliomo humu ndio hao hao tunaoishi nao mitaani hivyo wazo langu la kuoa nimelileta hadi humu pia japo na mtaani na lifanyia kazi zaidi huku nakumwomba Mwenyezi Mungu maana mke mwema anatoka kwake..
Mimi ni kijana mwenye miaka 28...
Hizi Mbanga za eti mtu kaombwa 500 halafu kashikwa bega halafu nyeti zimepotea pamoja na Niki Mkuu wa Wilaya kuachana na Mke kisa DNA, hii ni michezo tu katika namna ya kuficha jambo kubwa la Kitaifa lisijadiliwe.
Watanzania tujiulize jambo gani kubwa linalohitaji mjadala wa Kitaifa lijadiliwe...
Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo.
Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko ktk position ya kumwacha Mke wako Fanya shughuli za Nyumbani( Family matters) basi hakikisha...
Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina...
Njoo kwa mbele ya mumewe sasa, ooooh ni kiranga.
Hata mkikosana mkapelekana kwa mchungaji, utakuta ushauri...
Hoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?
Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha kuwa mke wa Lutu kageuka jiwe la chumvi.
Swali lingine la nyongeza. Kwanini waganga wanapigwa vita...
Habari ndugu...
Nakumbuka huko Nyuma niliwaletea mirejesho ya MKE wangu kama mnakumbuka..
Sasa MKE wangu baada ya kusikia namtafuta kweli alirudi baada ya kwenda kwa wazazi wangu na baadae kwenda kwa Mama yake maana huko wakayazumgumza yakaisha ,,,baadae akarudi Nyumbani kwangu...
Kiufupi...
Nikimalza la Kwanza anadai amechoka na anaogopa la pili anasema nachelewa Sana kumwaga. Nishamfatilia Sana hana michepuko wala nini na ni church girl.
Nawaza kuwa na plan b Ila ana wivu balaa muda wote anakagua simu yangu.
Haya nayapitia mwenyewe nyie watu mliooa?
Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka.
Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa late 30’s, mkristo kwa imani. ambaye kwa sasa nina mtoto mmoja, yupo shule na nakuwa nae kipindi cha likizo. Kiufupi naishi nae. Nafanya kazi katika sekta binafsi lakini pia nafanya na sekta ya umma kwa vipindi tofauti tofauti.
Kiufupi mimi si mrefu wala si mfupi...
Kama tunaamini kabisa kuwa mke mwema anatoka kwa Bwana iweje huyo aliyetoka kwa Bwana asiwe na bikira yake?
Ni nani huyo aliyeitoa bikira yake? Hapa utamkuta mlokole na mshika dini anakuambia Mke mwema anatoka kwa Mungu na huyo mke wake hana bikira inawezekana vipi ndg zangu?
Ebu tuweni na...
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye...
Habari ndugu zangu, katika pitapita zangu ndugu yenu leo nimekutana na jambo ambalo kibinadamu siyo la kawaida.
Katika mtaa wa Chem Chem maeneo ya Uyole inapatikana familia ya Mzee SIMONI ROMANUS PELLA .
Mzee SIMONI ROMANUS PELLA anasumbuliwa na ugonjwa ambao umemfanya ashindwe kutembea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.