Uonevu kwa mtu ambaye katoa maisha yake kwa kutetea haki za Watanzania! Kama wewe huoni tatizo wewe ndiyo tatizo. Lissu hajawahi kuchukuwa bunduki na siku zote anashinda kwa hoja
View: https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r
View: https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r