Mimi na mke wangu Seran.

Mimi na mke wangu Seran.

At Boston terrier ila namuwaza mke wangu Seran Tanzania. Leo nanunua mbwa Nampa jina kwereseran. Karibuni Boston.
Ila akili za saa saba usiku 😀

the mask GIF.gif
 
Huko Boston itakuwa saa 12 jioni, Massachusetts tunatofautiana masaa saba nyuma na wao.
Shida unaweza kuta mtoa mada yupo Buza tuu hapo. 😊
Hapa Boston Massachusetts watu hawalali na muda wa Petty shops unajulikana kwasababu huku kununua mnyama ni swala nyeti sio kama nyie huko Kwa muliro mnaemuogopa.
 
Hivi unanitafuta nini?
Ushauri wangu kwako,

Kama hupendezewi na nyuzi za aina hii,ungekua unapita kimya kabisa,kama vile hujauona uzi,
Hii ndio njia pekee iliyobaki kwako ya kuondokana na kero za aina hii,mwisho wa siku anayekukera atachoka yeye mwenyewe,

Sometimes remaining silent is an effective way to handle rude people,by not reacting,you deny them the immediate emotional payoff want,let the silent speak.
 
You

You wish it were you!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom