mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,287
- 9,162
Abarikiwe aliebuni hiyi kitu, wale
Wa vizinga tangazo sasa nimempata mkemwema,
Nililizwa Sana nikaamin mapenzi ni pesaa
Kumbe nilikuwa napata Malaya Malaya nikajua napendwa kumbe zinapendwa pesa
Kweli filisika tuone tabia za mpenzi wako
Sasa nina aman sipitii tena bar kulewa na kungoja wife alale kuepusha mizozo
saiz mpaka kazini naona muda ni mwingi
wakati zamani nilimuomba boss aongeze muda nitoke jioni
Hata usiku kisa kukwepa kelele za wife
Pesa ilikuwa haitoshi beby wigi, beby mama anaumwa, beby tumbo linagesi beby bando
Saiz laki inakaa mwezi mzima
Maana huyu mkemwema niliempata kupitia AI anajua kulithamini jasho langu
Kama hujaelewa oa Malaya Malaya wapenda pesa ukiwa huna ndio utaielewa hiyi mada
NB vijana wake wema bado wapo Ila kumpata AI inabidi ihusike na AI bila Akili kubwa ni mzigo kichwani mwako
AI ni mungu na ni shetani kwenye kizaz hiki