Mkali gani unamkubali

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,046
15,904
Wapenda masebene
Bill Clinton toka Congo
Huyu jamaa alikua vizuri sana.
Tutu Calodji kajikata.(yuko vizuri sana)
Alipoondoka Wenge kapotea.
Fille Nyafu kapotea.
Soleir Wanga kapotea
Sabath Obrigado huyu bingwa kapotea
Cele skram kama jina lake anascream tu(simkubali)
Kuna kina chameleoni rapper wanaondoka balaa.
Katika kuimba kwakweli Emilia Elyas ni balaa ,jamaa anaimba mpaka anatoa machozi.
Akifuatiwa na Heritier Wata.
Alain Mpela yupo yupo ila nae ni balaa.
Hawa watu wakikutana moto unawaka.
Naskiliza Princess Mambika hapa live👊
 
Back
Top Bottom