INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,109
173,907
Hello brothers n’ sisters!

Aisee niko na perfumes nzuri na OG kwa wale mnaopenda uniquness and elegance. Ziko za kike na kiume zenye scents tofauti katika ujazo wa 50mils na 100mils.

Perfumes hizi ni Originally from South Africa. Harufu ni bomba sana na zinadumu kwa mda mrefu sababu Eau De Parfum ina most oil content tofauti na De cologne na zile De Toilette.

Bei ni rafiki sababu mzigo ni wangu mwenyewe. Za 100mils nauza Tshs. 35,000 na Za 50mils nauza Tshs. 25,000

AFE028B2-58C2-401B-AB62-3AFEDA159633.jpeg

Kwa wale wanaopenda accent ya Oud hasa waislamu hii iko bomba sana! Truworths Man!

BC7FFD23-A6FA-4B07-9A67-EFC777B33646.jpeg

Hii hapa ni yenye woody and spicy accent iko kizungu zaidi. Truworths Modern Man! Ina harufu laini sana toka isioumiza toka mwanzo na last note yake ni murua sana.

AD2DA8EF-46AA-494E-AFC6-0CDFE32C87FA.jpeg

Hii ni strong kidogo inaanza na ukali japo harufu yake sio ya kukera! Baada ya mda kidogo inahamia kwenye note nyingine tulivu! Hii inawafaa wale wanaopenda perfum za ku catch attention haraka.

2CAE2DF5-3D41-411D-B021-C6A2DC148AA2.jpeg

Hii Uzzi Signature Premium iko na Sharp Unique scent ya kibosi sana. Hii harufu wananukia sana matajiri wale wanaoingiaga Casino za katikati ya mji na wakurugenzi wa makampuni binafsi na mashirika makubwa ya serikali! If you want a finest outstanding aroma this is the deal!
5D5DD51A-D0B2-44BB-BCF5-FCD5DD603763.jpeg


This one is for the Ladies, kama unataka kunukia in the finest form and very attractive this is the way to go. Hii perfume iko na very amazing notes that will make you stand out on that dinner date,😻 so feminine and sexy! You don’t wanna miss the fun in that romantic setting.
 
A172AF31-3F85-40EE-ABF8-79AF7190C4C2.jpeg

Hii kitu hata siwezi elezea yani, nafikiri ukimpelekea wife au girlfriend wako reaction yake itajieleza tu. In few words this perfumes smells classy😄 ni nzuri sana kwa pisi zinazopenda kunukia kitofauti yani i’m sure hujawahi isikia hii harufu mahali. Hii ni ile perfum kila mtu anauliza samahani hicho ulichopaka kinaitwaje tafadhali!
1F524497-9580-494E-9035-7E91ACD329D3.jpeg

Hii ni kwa wale ma bachelor ambao huwa sio watu wa mambo mengi. Unataka unukie vizuri tu kila unapokwenda. Identity Man Escape.
7004C88F-AC45-4D3A-BB8A-32298F8B4DC5.jpeg

Hii ni wale mabinti wasio na mambo mengi ila wanataka kunukia fresh tu. Iko strong sana mwanzoni ila inakwenda na kupoa na kuwa flat and rosey i guess thats why they call it “Flirtatious” iko vizuri kwenye attention catching!

1BE2777D-78AD-490A-AA45-BE7E2D210E94.jpeg

Hii Identity Femme Fatale ni mahususi kwa wale wanawake wanaopenda ka harufu ka kimya kimya. Hii bana toka unaipuliza harufu yake ni tulivu na inakwenda na transition hio hio through its notes. Inawafaa wamama watu wazima na madada wa makamo wale wanaopenda fujo zisizoumiza! Kaharufu murua kabisa and classy! Its a seductive perfume indeed!


Karibuni for inquries!
Extrovert...
 
Back
Top Bottom