Ni msanii gani wa HIPHOP ni mkali wa Storytelling song

Miguel Alvarez

JF-Expert Member
May 28, 2019
2,139
3,790
Natumaini wote ni wazima humu jamvini poleni na majukumu pia..! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mm ni mpenzi sana wa Ngoma za Hiphop leo na taka tushare pamoja kuhusu Rappers wa kibongo hata huko majuu(ulaya) je ni msanii gani ni best kwa Storytelling song kwa mimi msanii wa kibongo ambaye naona yuko poa kwenye story telling song naanza na Msanii CHINDO MAN kutoka watengwa crew na kwa ulaya namuona SCARFACE kutoka Ghetto boys ,STICKY FINGAZ kutoka Onyx,unaweza kuongeza wengine na pia sio mbaya ukatupia na jina la nyimbo pia kama itawezekana
 
Dizasta vina
6A760B6A-074F-4D92-91E3-8A6FC036B28D.png
 
Kwa American Rapper nampa STICKY FINGAZ nymbo Kama Rob & Vicky,Kuna nyingine inaitwa Veronica ni noma sana jamaa anasimulia unaona kama muvi vile huku mtu anachana hahahahaahaahaa huwa napenda sana hz mambo😁
 
Ni story ambayo sogy alitusimulia history kuhus yeye na bint fulan kibanda cha sim kinachompa sogy wazim ilikuwa hatr saana enz hizo
Enzi hizo ilikuwa noma huku mtoto wa geti kali ya Inspekta Haroun ,huku jumapili nature inaniuma sana 😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom