Wananchi bado tunaomba uchunguzi mkali mradi wa stiglers/SGR, huko ndiko kuna vikampuni vya mzee na vifaranga wake waliopeana tenda

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,983
20,633
Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike!

Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi

Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili

Mh. Samia, endelea kuchimba, umewakata vichwa waliokuwa wanalinda maslahi ya mzee

Tunajua Songoro Marine alikufa, pengine mshituko, hii kampuni pia mzee alikuwa na hisa, kucha kutwa ilipewa tenda za kujenga vivuko, Nyanza road mjipange, ile barabara ya kigoma mlilipwa pesa zote na hamjajenga, mzee, mwanahisa wenu hayupo tena, tunataka barabara yetu au mteme mpunga!
 
... kule kuna ufisadi wa kutisha. Mama wa ufisadi Tanzania yuko kule. SHUJAA WA AFRIKA.
 
Mwenye chochote chenye reality atuwekee hapa sisi wengine hatufahamu lolote tulikuwa tunajua kusema ""HAPA KAZI TU""
 
Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike!

Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi

Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili

Mh. Samia, endelea kuchimba, umewakata vichwa waliokuwa wanalinda maslahi ya mzee

Tunajua Songoro Marine alikufa, pengine mshituko, hii kampuni pia mzee alikuwa na hisa, kucha kutwa ilipewa tenda za kujenga vivuko, Nyanza road mjipange, ile barabara ya kigoma mlilipwa pesa zote na hamjajenga, mzee, mwanahisa wenu hayupo tena, tunataka barabara yetu au mteme mpunga!
Watu wanamchukilia powa mama,ila wakae wakijue that woman is really fighting so many battles ambazo hata angekuwa mwanaume kwenye kile kiti angekula chaka
 
Katiba ya chadema insemaje kuhusu muda wa kuitisha mkutano kuwafukuza wabunge wa covid19? Charity begins at home, mkutano haujaitishwa na wa kuitisha yuko stoo, na mwingine anatalii ubeleji
Hujitambui wewe pole
 
Ingekuwa jambo la busara sana wangeunda kamati huru ya kukagua huu mradi wa umeme kwa manufaa ya Taifa. Inasemekana mashine zilizopelekwa kule ni za zamani sana miaka ya 1980. Inasemekana baada ya kufungwa haitegemewi kufanya kazi muda mrefu na itatubidi kuwategemea wanaoifunga waendelee kuwepo kwa muda mrefu. Hii miradi mikubwa nchini sijui inashughulikiwa namna gani. Ngoja tuone yatakayotokea baada ya haya mabadiliko.
 
Majungu majungu majungu hayatufikishi popote,tunataka kuona vitu vikisonga mbele badala ya mchakato mchakato halafu mwisho pesa haitoshi hatutaki kusikia.
Masuala ya wahisani wanafadhili halafu mradi unashindwa kukamilika tunategemea wafadhili isiwepo.
Tuache majungu.
 
Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike!

Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi

Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili

Mh. Samia, endelea kuchimba, umewakata vichwa waliokuwa wanalinda maslahi ya mzee

Tunajua Songoro Marine alikufa, pengine mshituko, hii kampuni pia mzee alikuwa na hisa, kucha kutwa ilipewa tenda za kujenga vivuko, Nyanza road mjipange, ile barabara ya kigoma mlilipwa pesa zote na hamjajenga, mzee, mwanahisa wenu hayupo tena, tunataka barabara yetu au mteme mpunga!
Tuambie Kampuni kubwa ya kutengeneza Meli hapa nchini kuizidi hiyo ya Songoro?
 
Back
Top Bottom