Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa mahakamani.
Leo Jumatatu Machi 18,2024 Mahakama hiyo ilipanga kusikiliza rufaa hiyo namba 577/2024...
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia hotuba za RC Chalamila, kwa kweli zina kiwango cha juu sana mpaka najiuliza nini kilimkuta miaka...
Mwanahabari Abubarkar Harith toka Kituo cha televisheni cha Zanzibar anatuletea ripoti ifuatayo kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing.
https://www.facebook.com/watch/?v=430890095997725
Episode 1: Safari ya Maisha (Safari of Life)
Nilifika mjini nikiwa na ndoto kubwa mfukoni na shilingi chache mkononi. Nilikuwa nimekimbia maisha magumu kijijini, nikiamini mjini ndio mahali penye fursa tele. Lakini nilipogonga kituo cha mabasi, niligundua safari yangu itakuwa ngumu kuliko...
yani sisi choka mbaya tuna sifa kama walivo matajiri na skafu za bendera kusomea watoto wao ambao hawapo ulaya ila wapo Tz.
Sisi choka mbaya mtaa wa kaza moyo mfano dar pale shule kama olympio,bunge,muhimbili na ilala ndio sifa kwa wakazi Mbagara, Manzese, Tandale, Buguruni, Kino na maeneo ili...
Kuna mtandao wa kikundi cha vijana kinatumia mitandao ya kijamii yakiwamo magroup ya WhatsApp kumchafua mbunge wa moshi Mjini,Priscus Tarimo pamoja na meya wa manipsaa ya moshi Zuberi Kidumo.
Nauliza tu vijana hawa wanalipwa na nani na katika kuwachafua huko wanapata nini na malengo yao ni yapi...
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Ndugu zangu mnaoishi Musoma kwanza niwape pongezi kwa jinsi mnavyo pambana kupata mkate wenu wa kila siku.
Mkoa huu wa MARA japo una wakazi wengi wenye elimu ya sekondari na kuendelea ila nahuzunika kusema kundi kubwa la vijana wanahangaika mitaani kwa kukoswa ajira za kueleweka na kujikuta...
Habari za sasa hivi wakuu??
Kimsingi maisha yetu wengi tunao ishi mjini yame anzia vijijini kama sio kusomea Basi kukulia Kama sio kukulia Basi asiri zetu ni vijijini Miji yote mikubwa duniani ilianza kuwa vijiji ikakuwa ikawa miji hatimaye majiji.
Wakuu zangu mna kumbuka kuhusu funza, chawa...
UKIFUATILIA KILE KINACHOITWA UJANJA WA MJINI NDIO USHAMBA WENYEWE
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna Watu Washamba na wajinga kama vijana wa mjini wale wanaojiita na kujiona wajanja. Ninawaita Washamba na wajinga kwa sababu ya mambo wanayoyafanya na yale wanaojivunia nayo.
Taikon ni mtu...
Hii Tamthiliyaa imekaa kimchongooo, uongo wa waziwazi !!.
Sema Kuna huyu HILLARY A.K.A GOOD BOY... na Huyu SYLVIA , MTOTO WA MJINI.
Good boy Leo kaambiwa Mimba imetokaaa baby 😅😅.
Habari nyote (Waguma),
Hii ndio Dunia ilivyo mjitahidi uwe na gari hata kagari aina ya IST katakusaidia usionekane mnyonge na usipitwe na fursa ya pisi za mjini.
Hio ndiyo kanuni hirizi ya mjapani hainaga punch ikienda imeenda.
Tuendelee kuliombea taifa.
Natamatika
Wadiz
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, amemuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Bwana Benno Mallissa kuacha kuhujumu Chadema , na kwamba akiendelea na jambo hilo Watu wa Mbeya watampiga Marufuku kuhudhuria Club za Starehe za Mji huo ( Inadaiwa...
Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa.
Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu.
Mshahara wa January sijapewa na wa huu...
Yani imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu.
Ukiaa kidogo maraa paaaaaaa! Ukigeuka tu kidogo tena mara puuuu puuuuu, yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya...
KAMA HIVI NDIVYO UNAVYOISHI MJINI NI BORA URUDI TU KIJIJINI UKAISHI KULINGANA NA KIPATO CHAKO.
Yawezekana hii isiwe makala nzuri kwa waishiyo mijini huku wakijisifu kila siku na kuwabeza waishiyo vijijini ila ukimakinika na kuchukulia chanya basi kuna jambo utajifunza. Kuishi mjini ni ndoto ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini .
Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa ...
Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo.
NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha.
https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ
Kauli yake si tu inavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali inakiuka mikataba mbali mbali ya kimataifa...