mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mke wa Rais alalamika akaunti zake za Mitandao ya Kijamii kudukuliwa

    Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za uwongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Facebook baada ya kumdukua kwa kuwa zinapotosha Jamii. Kupitia kusara hizo ilichapishwa taarifa kuwa Benki Kuu ya Nigeria imesogeza mbele ukomo wa kubadili matumizi ya noti za zamani za...
  2. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya 1: Namna ya kuweka matangazo ya kulipia kwenye mitandao ya kijamii (Facebook Ads na Instagram Ads) hatua kwa hatua

    Imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wengi kufanya matangazo yao kwa ajili ya kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia mitandao ya kijamii (Hasa hasa facebook na instagram ambayo ndio imekuwa inawatembeleaji wengi zaidi). Nitaonesha hapa hatua kwa hatua namna ya...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Digitali ni Nyenzo Muhimu Katika Kuongeza Ufahamu na Ushiriki wa Umma Katika Haki za Kijamii

    Teknolojia ya digitali imerahisisha mambo mengi katika dunia ya leo. Si tu imerahisisha mawasiliano na kutoa fursa za ajira kwa vijana na kukuza biashara, bali imekuwa na umuhimu mkubwa katika kupaza sauti za wanyonge, kueneza taarifa, na kuongeza ushirikiano katika makundi mbalimbali ya watu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Bashe: Wananchi acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp

    Leo waziri wa kilimo Hussein Bashe amezungumza na waandishi wa habari amewasihi vijana wanaofikilia kulima kilimo kwenye mitanzandao ya kijamii waache mara moja "Tunatoa uelewa acheni kulima kwa Twitter na WhatsApp, hakuna mtu anayeweza kukuambia lete milioni 10 na baada ya mwezi utapata 15...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii kwa mgawanyo wa jinsia

    Facebook- Wanawake kwa wanaume Tweeter-Mtandao wa kiume Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada TikTok- Wadada Kidume akiwa na TL account hashangazi. Uzi tayari.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwa kiasi gani watu wanakujua kwenye mitandao ya kijamii? Je, kuna hatari gani?

    Ni rahisi kupeana habari na watu unaowasiliana nao mtandaoni. Majukwaa kama vile mitandao ya kijamii inafanya iwe rahisi kwa wewe kutangaza kwa familia yako na marafiki (na hata kwa watu usiowajua, kulingana na mipangilio yako ya faragha) unachofanya na mahali ulipo. Mitandao ya kijamii kama...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mko wangapi kwenu mnaotumia mitandao ya kijamii?

    Sio kwamba najisifia la! hasha! Kuna wakati huwa natamani hata kaka yangu au dada yangu au ndugu wengine wa karibu waone au wasome nilichokiweka mtandaoni lakini inakuwa ngumu. Katika familia yangu baba ana wanawake wa nne hivo watoto jumla tulio hai tupo 27, mimi ni wa 5 upande wa mama yangu...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China yafungia akaunti za mitandao ya kijamii zinazokosoa sera ya UVIKO-19

    Zaidi ya akaunti 1,000 baadhi zikiwa na wafuasi zaidi ya milioni zimefungiwa kwa kuonekana zinaikosoa Serikali katika mkakati wake unaoendelea kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo. Hivi karibuni China ililegeza masharti ya wasafiri kuhusu tahadhari za ugonjwa huo na inadaiwa imechangia kuongezeka...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania TRA matumizi yenu ya mitandao ya kijamii yana mapungufu na ni upotevu wa raslimali

    sasa bandiko kama hili linajibu swali la bwana yule mliyemtoza mamlioni kwa pampas na viguo vya mtoto. Hamuwezi kutumia mifano rahisi kuwafanya wananchi waelewe? Mfano shida ya watanzania wengi iko hapa; Mtu kanunua gari kwa dola 1000 sawa na TZS 2,270,000 inakuwaje anaishia kulipa TZS...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yako, mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi au imepunguza?

    Eti wakuu. Mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi kati ya binadamu au imeongeza kuvumiliana?
  11. aka2030

    JamiiForums Tanzania Baada ya miezi 10 hatimaye Joseph Haule a.k.a Professor Jay, aonekana kwenye mitandao ya kijamii

    Amepost kwenye insta story yake MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika.
  12. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Matatizo yaliyopo kwenye mitandao ya kijamii

    Nadhani kila moja anajua kama dunia sasa imekuwa kijiji kwa kuunganishwa na simu . yani mitandao ya kijamii (social media). Na sijui niseme uzuri au ubaya wa mambo humu kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na makundi ya watu wa aina mbalimbali . na makundi hayo yanazalishwa na kutoka na ulewa...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Je mitandao ya kijamii imehongwa na mmiliki wa ndege iliyopata ajali?

    Sijaona kokote mmliki wa ndege iliyopata ajali akisemwa na kutakiwa kuwajibika- ANA MIFUKO MIKUBWA KIASI GANI MPAKA KAHONGA KILA MTU KILA MAHALI
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanachuo washtakiwa Kwa utapeli wa zaidi ya Tsh. Milioni 78 kupitia Mitandao ya Kijamii

    Kevin Anunda Mogaka, Francis Manyara Ogata, na Bravin Osano Ombongi wanadaiwa kuendesha akaunti 15 kwenye #WhatsApp na #Telegram, ambapo waliomba Kati ya Tsh. 48,000 - 672,317 kutoka kwa Wazazi kwa ahadi ya kuwatumia Karatasi zilizovuja za Mitihani Mbalimbali ya Taifa Hadi kukamatwa kwao...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wafungua kesi kupinga Sheria Mpya ya Mitandao ya Kijamii

    Kampuni za mtandaoni na wanaharakati 12 wameungana katika kesi wakidai Sheria hiyo inaminya uhuru na haki za matumizi ya mitandao na itatumika kuwanyamazisha wakosoaji wa Serikali. Wanaoiunga mkono wanasema itasaidia kukomesha matumizi mabaya mtandaoni na kulinda haki ya faragha. Adhabu za...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Jakaya Kikwete ameteka mitandao yote leo?

    RAIS Jakaya Kikwete leo Oktoba 7, 2022 anaadhimisha miaka 72 tangu kuzaliwa kwake ni jambo la kheri na tunaungana na Watanzania wengine kumtakia kheri Mzee wetu wa Maisha Bora kwa Kila Mtanzania. Sasa Swali linakuja Tarehe ya Kuzaliwa JK inajulikana ni kwa nini miaka yote hatujawahi kuona Promo...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Namna Yanga inaongelewa huko Sudan kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mechi yao na Al hilal (by google translate)

    NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥 Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo (28) wakifatiwa na wapinzani wao ambao ni watani wao wa Jadi klabu ya Simba...
  18. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, chanzo cha maovu na kupoteza uelekeo kwa vijana

    Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yameweza kuleta athari pamoja na matokeo hasi katika jamii zetu, bila...
  19. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni muhimu sana kupenda(like), kutoa maoni(comment), kufuata(follow/subscribe) na kusambaza(share) chapisho linalokugusa kwenye mitandao ya kijamii

    Afya ya akili na mitandao ya kijamii haiwezi kutengenishwa kwa karne ya 21, na ni jambo muhimu ambalo linapaswa kupewa uzito unaostahiki na watu na wataalamu wa afya ya akili. Katika nchi zilizoendelea inaonesha vijana wengi wanaathitrika sana na idadi ya watu wanaowafuatilia katika mitandao...
  20. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi ya mitandao ya Kijamii

    MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII. Mada kuu; je ipi matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa vijana wa kitanzania (miaka 10 -45) hivi leo? Maana halisi ya dhana kuu; mitandao ya kijamii ni nini? NI huduma ambapo watu huongea, au hujumuishwa pamoja na watu wengine aidha ndani ya nchi au...
Back
Top Bottom