mitaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari Watarajali Hospitali ya Mkoa wa Kilimanjaro tunadhalilika mitaani kwa kucheleweshewa posho za kujikimu

    Sisi Watarajali (Interns) wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (Hospitali ya Mawenzi) tunapitia katika changamoto zenye kuleta ugumu mkubwa katika maisha yetu ya kulitumikia Taifa katika kutoa Huduma za Afya. Tunapambana kwa juhudi kubwa katika kutoa Huduma za Afya hapa hospitalini...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nashauri BASATA ipitie pia hizi movie zinazotafsiriwa na hawa maDJ wa mitaani, nyingine zinapotoshwa kimaudhui

    Nimetoka kuangalia movie inayoitwa 'Tears of the sun' ya Bruce Willis iliyotafsiriwa na huyu DJ Mac wa Acheche Production, hakika tafsiri yake ya udini ameitia chumvi mno. Yaani kila baada ya maneno matano sita, anataja ugomvi wa kidini kitu ambacho hata movie yenyewe haisemi hivyo; anaongopa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mimi na wewe huenda tumeshakula sana Vibudu tukifikiri ni Kuku, Tuongeze umakini katika kuchagua na Kununua Kuku

    Inasikitisha sana, hapo zamani ilizoeleka vibudu vya kuku vilikuwa kwajili ya kulishia nguruwe ila sikuhizi mimi na / au wewe huenda tumelishwa sana tukidhani ni kuku tena tukijisifu ni bei rafiki kwa mtanzania. Ngoja niwasanue wananchi wenzangu Kwa case study tutachukuloa eneo la Bagamoyo...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu zimebaki Siku 4 tu ili JWTZ waanze Msako wa Nguo zinazofanana na Sare zao Majumbani na Mitaani

    Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia. Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe...
  5. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi tuliobahatika kulelewa na wazazi / ndugu tunadharau watoto wa mitaani ?

    Nami wala nisiwe mnafki sitaki nijifiche kwamba ni mwema kwamba niwakemee wengine Watu wengi tumepata bahati ya kuweza kuja hapa duniani tukiwa na bahati kubwa sana ya kupata malezi ya kulishwa, kuvishwa, kuishi nyumbani na kulelewa na wazazi ama ndugu walioweza kujitwika hayo majukumu. kuna...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Sisi kama Jamii tujadili namna ya kuwasaidia vijana wanaofeli shule na kuachwa mitaani

    Umuofia kwenu, Nguvu ya Taifa lolote ni vijana. Nchi inaweza kuwa na advancement kubwa kwenye teknolojia na sekta zingine lakini kukiwa na ombwe la vijana kwenye jamii ama nchi hiyo ni kujiweka rehani. Vijana wa jamii yeyote huandaliwa kushika hatamu pale wazee ama wazazi wao wanapoishia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za mtandaoni na mtaani ni tofauti!

    Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo. Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa mara ya kwanza kama hujawahi kabisa kufuatilia siasa na ukaanza kuzifuatilia mitandaoni, utagundua...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tuko mitaani na Wabunge wa CCM waliomaliza Vikao vya Bunge Dodoma ila hawataki kuongelea Mkataba wa DP World

    Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo. Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tabora: Aliyefungwa mnyororo miguuni aibua taharuki mitaani

    Mtu aliyejitambulisha kwa jina la Magai James Manyerere, ameibua taharuki miongoni mwa wakazi wa mjini Igunga baada ya kuibuka mitaani akitembea akiwa amefungwa mnyororo miguuni. Akijibu maswali ya baadhi ya watu waliojitutumua kumhoji, mtu huyo mwenye umri wa makamo amesema yeye ni mwenyeji wa...
  10. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kwa maana waalimu mpaka leo hawajui kutumia vishikwambi? Mbona wana hang nazo mitaani?

    #HABARI: Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde amewataka Maafisa Elimu Kata (MEK), kuwasimamia na kuwasidia Walimu namna kutumia vishikwambi walivyopewa kuwezesha ufundishaji na ujifunzaji, ili kuinua ubora wa elimu nchini. . Dkt. Msonde ametoa maelekezo hayo...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umepiga ‘Kenchi’ kweli, au Umepigwa? Hivi ndivyo Wateja wa Mbao wanavyotapeliwa Mitaani

    Natembea kuelekea Buguruni, eneo linaloitwa Binti Madenge. Mahala hapa kuna utitiri wa wafanyabiashara wanaouza mbao, huku wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao kwenye mapipa. Ninavutiwa na hao wanaoingiza mbao kweye mapipa marefu yenye maji maji ya rangi ya kijani. Najiuliza kwa nini...
  12. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Ni Samsung aina gani inabamba kwa Sasa mitaani huko mjini?

    Wadau nina bajeti ya 600k Hadi 800k mwisho, nahitaji Samsung inayobamba Sasa hvi huko mjini Darisalama, Ni aina gani ya Samsung. Wadau wa Samsung naomba mukije huku.
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Game inamdai, INNOCENT SAHANI "Dirty Knob" "Bad Man" "MFALME wa MITAANI" "D Knob"

    GAME INAMDAI INNOCENT SAHANI "Dirty Knob" "Bad Man" "MFALME wa MITAANI" "D Knob" Mwamba kutoka Kiwalani alifanya kazi nyingi sana na Mika Mwamba, akapita kwa Majani, kwa D Money, kwa Villy Nice, kwa Master Jay, na kwa Producer Jonas. Kutokana na sababu za kiimani, akaondoka angali GAME INAMDAI...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa serikali ya Rais Samia waizima na kuipoteza CHADEMA mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Kasi ya utekelezaji wa ilani ya CCM, uchapakazi wa serikali ya CCM,ujenzi wa miradi kila Kona ya nchi yetu, mafuriko ya maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini kumeizima Kama mshumaa mikutano na harakati zote za CHADEMA mitaani. Kwa Sasa haieleweki Kama chama kipo au...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali mlazimisheni Mtume Mwamposa ajenge Hosteli na Wodi kwani Waumini wake Wanakufa mno Mitaani

    Hivi GENTAMYCINE naandika huu Uzi napambana na Wakazi wa Mtaa kuutoa Mwili wa Mmoja wa Waumini wa Mtume Mwamposa aliyekuwa Mgonjwa, katotoka Ndugu zake huko Mkoani na kaja Kujiuguza ( kwa Kuishi ) katika Kibanda cha Mkaa Mtaa wa Ukwamani Kawe mita chache tu kutoka ulipo Msikiti maarufu wa kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tulipokuwa tukiwacheka watoto wa mitaani, hatukujua kuwa tutakuja kuwa wasomi wa mitaani

    Tulipokuwa Tukiwacheka Watoto wa Mitaani, Hatukujua Kuwa Tutakuja Kuwa Wasomi wa Mitaani.. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Unaikumbuka ile miaka ya 90 kuja juu kidogo wakati miji mikubwa ilipoanza kupata tatizo la kuongezeka kwa watoto wa Mitaani? Unayakumbuka majina mabaya...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoomba misaada mitaani yadaiwa kuwa ni miradi ya watu. Je, kuna ukweli?

    Salaam ndugu zangu, Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekutana na watu adhaa wakanionya kuwasaidia watu naokutana nao njiani na kunisisitiza kuwa makini. Wadau wanasema kwamba watu wengi wanaomba mijini hawafanyi hivyo kwa ajili yao bali kuna baadhi ya watu wenye vipato vikubwa ambao...
  18. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Wakuu wa Wilaya na barua za wapitao mitaani kuomba misaada!

    Maana nimekutana na hawa watu (nawe pia naamini umekutana nao) wanapita mitaani kuomba wasaidiwe matibabu au masuala mbalimbali ya kijamii. Tusiwajadili wale matapeli. Mana leo nmekutana na mhitaji kweli alipata ajali ya gari. Anahitajika kurudiwa upasuaji wa mguu. Ukicheki gharama ni kama laki...
  19. kali linux

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa jezi za Yanga ndizo zinazoongoza kuvaliwa mitaani, asanteni Yanga kutupa confidence mashabiki wenu

    Hello bosses and roses Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo inaongoza kuvaliwa, wauza jezi pia washashtuka na wengi wameziweka frontline kabisa jezi za timu bora kwa...
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Serikali mnahalalisha uongo kupunguza watoto wa mitaani huku mkiwanyima haki ya kuwajua baba zao halisi

    Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani? Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
Back
Top Bottom