Game inamdai, INNOCENT SAHANI "Dirty Knob" "Bad Man" "MFALME wa MITAANI" "D Knob"

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
GAME INAMDAI
INNOCENT SAHANI "Dirty Knob" "Bad Man" "MFALME wa MITAANI" "D Knob"
Mwamba kutoka Kiwalani alifanya kazi nyingi sana na Mika Mwamba, akapita kwa Majani, kwa D Money, kwa Villy Nice, kwa Master Jay, na kwa Producer Jonas.

Kutokana na sababu za kiimani, akaondoka angali GAME INAMDAI.
Huyu pia ni miongoni mwa mabraza walionifundisha kukaza sauti ninaporap.

Ukiachana na 2Pac, huyu pia alinishawishi kunyoa upara.
Alikuwa MKALI wa vitanzandimi (tonguetwisters)
Alikuwa mkali wa lugha zote mbili (Kiingereza na Kiswahili)
Alikuwa miongoni mwa rappers waliokomalia vyote viwili (shule na muziki)
Alikuja na kuondoka na style yake ya pekee "huuuhaaa!!!" Na "aaiiiii" HAKUNA aliyeweza kupita kwenye njia zake mpaka leo hii. Hivyo pengo lake halijazibika.

Alikuwa miongoni mwa mabraza ambao HAWAKUWA na bifu, skendo wala kesi za ajabu.

Lilipoongelewa jina lake basi liliambatana na muziki wake.
AMETUACHIA UTAJIRI WA NGOMA HIZI;
1. USINIACHE FT MEZ B
2. MR SAHANI FT MILLARD AYO
3. KITU GANI FT Q JAY
4. BORA TUMEACHANA FT MATONYA
5. NIWE NAWE FT HEMEDY
6. INGEWEZEKANA FT RAY C, SQUEEZER
7. ELIMU MITAANI
8. ELIMU MITAANI RMX FT NATURE
9. NJOO TUCHEZE
10. SAUTI YA GHARAMA FT MEZ B
11. BAD MAN FT CANNIBAL
12. JUHUDI ZA MASELA
13. GOOD LIFE
14. DAKIKA TATU
15. KWA SANA TU
16. YUPI NI YUPI
17. WE UNASEMAJE FT BENJAMIN
18. USIKONDE FT SOPRANO
19. DEAR MTOTO
20. MFALME WA MITAANI
21. WE UNASEMAJE RMX FT BENJAMIN
22. SEMA NDIYO
23. NJAA YA MKWANJA
24. NISHIKE MKONO FT MWASITI
NGOMA ALIZOSHIRIKISHWA
1. WABISHI WA TOWN - SOGGY, CHID BENZ
2. NIMERUDI - OMMY G
3. SINA RAHA - ZOLLA D, MB DOG
4. AEIOU - BWANA MISOSI
5. THE CLUB ANTHEM - ZILLA, STOPPER, QUICK ROCKA
6. SUPERSTAR - DULLAYO
7. MREMBO - FRED MAX
8. MAMA YANGU - BANANA ZORRO
Ongeza kumbukumbu ulizo nazo kuhusu D
Ngoma gani una historia nayo?
LUAH
260423.
1687790849216.jpeg
 
Mwamba alikua level za mbele miaka hiyo na muziki alioimba Rappers wachache sana wa new generation wataufikia maana ni muziki unaoishi
 
View attachment 2669510
Bado sijaelewa kwa kina kipi kilimfanya aachane na muziki.

Kama hautajali naomba maelezo zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom