mitaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

    Ndugu zangu Watanzania, Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo watanzania wengi wameonyesha kuchukizwa na kauli za Lissu ambazo zinatokana na uchu na uroho wake wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Harakati ya Kuwawezesha Watoto na Familia za Mitaani

    Utangulizi Wapo watoto wa mitaani lakini pia zipo familia za mitaani. Hizi ni familia zilizokumbwa na majanga asilia kama vile mafuriko, matetemeko ya ardhi, njaa, ukame, umaskini, magonjwa, vimbunga, na kadhalika lakini pia zilizokumbwa na majanga ya kibinadamu kama vile migogoro binafsi na ya...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watu wamechanganyikiwa mitaani

    Aisee inasikitisha sana sijui nilipapendea stress ama kitu gani yaani watu wamepagawa hatari jamani tembea muoneni watu Wana shit hatari wanatukana wamekuwa waongo wanatukana hatari ila hawapigani yani wamekuwa wabishi na walevi hatari yaani ni kana kwamba wame jaribu mambo yote na sasa wanataka...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ajira Tume ya uchaguzi iangalie wanaosota mitaani badala ya kuajiri Walimu

    Inasikitisha wakati kuna vijana wanahangaika mjini kutafuta ajira bila mafanikio ni dhahiri kwamba baada ya tangazo la tume ya uchaguzi kutangaza nafasi za kazi kwaajili ya uchaguzi mkuu wengi waliojitokeza kuomba ni waajiriwa tayari. Wengi wao ni walimu na watendaji wa mitaa SERIKALI...
  5. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Aprili 12 ni Siku ya Watoto Waishio Mitaani Duniani

    Salaam nyingi za za upendo kwenu wote. Aprili 12, kila mwaka ni Siku ya Mtoto wa Mtaani Duniani. Kaulimbiu Mwaka huu ni ‘TUWAJIBIKE’. Uwajibikaji uanze ngazi ya familia kwa wazazi/ walezi kutimiza jukumu la kulea. Sheria ya Mtoto Sura ya 13 kifungu cha 6 – 13, kila Mlezi/ Mzazi anawajibika...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Juma Nature: Tunalipa michango ya Ulinzi Shirikishi, kwa nini bado tunaibiwa Mitaani

    Kupitia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram, Mwanamuziki Juma Nature amepost Video akizungumzia suala la Ulinzi Shirikishi maarufu kama Sungusungu au Makamanda na Usalama wa Mitaani Nature amehoji kuwa kwanini licha ya Wananchi kuchangishwa fedha za Ulinzi, bado vitendo vya Wizi wa Mitaani...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Barabara za mitaani kuamua uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

    Kwa maoni yangu, moja kati ya mambo ambayo yataamua hatima ya chaguzi za wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, ni barabara za mitaani. Mvua kubwa za 2023/2024 zimeacha miundombinu hiyo ikiwa imeharibika sana, na ni kero kubwa kwa wananchi
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

    Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya? Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria! Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wauza maziwa mitaani na barabarani, Je maziwa hayo ni salama?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji? Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo. Je, ni...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

    Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa machine za kubeti mitaani

    Kuna viongozi wananufaika na hizi machine za ku bet ambazo zimesambaa kila mahali. Kama sio hivyo basi tuambiwe faida ya hizi machine kwa taifa. Kila mahali kuna machine za wachina wanapita kukusanya pesa kila siku pesa badala ya kusaidia kamii inaenda kusaidia hawa wawekezaji fake na viongozi...
  12. DISPLEI

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara za mitaani maeneo mbali mbali

    Barabara za mitaani maeneo mbali mbali zimeharibika sana. Sasa hivi ukitaka kutoka kwenda kwenye shughuli za kila siku, mwenye gari unaaza kulihurumia linakopita kabla ya kufika kwenye barabara yenye unafuu. Kwa nilikopita nikichukulia mfano Dar es Salaam ukitoka barabara kuu maeneo mengi yako...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mamlaka gani zinawajibika kufanya marekebisho ya barabara za mitaani?

    Salaam Wadau, Nimekuwa nikikutana na barabara mbovu mitaa mingi katika sehemu ninazoishi. Kunaweza kutokea sehemu Kuna dimbwi kubwa au korongo ambalo linaleta changamoto kwa wapitanjia au wenye magari. Kwa mtaa ninaoishi imekuwa busara tu ya wanakikiji kumwaga vifusi au kuweka mawe ili...
  14. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Polisi kukatiza mitaani na silaha ili hali wakiwa wamevaa kiraia: Je, kanuni za Jeshi la Polisi zina muongozo upi?

    Peace upon you all. Awali ya yote niwapongeze askari wetu kwa majukumu yao ya kulinda amani tunayoogelea kwayo. Wengine hapa watawasema kwa madhaifu yao kadha wa kadha lakini tafadhali hebu leo tusiwaseme kwanza kila mtu ana madhaifu fulani. ok, back to the topic wakati fulani nikiwa mkoa wa...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

    Salaam,Shalom!! Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake, Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana. TABIA za ukosefu...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua watu wanaodharaulika mitaani ndo wanaopendwa

    Sote tunaishi mitaani tumeshakutana na kauli kuwa Fulani hajiheshimu anadharaulika kwa sababu labda ya pombe au Fulani anaongea sana au Fulani anatukana sana hivyo jamii haimpi heshima. Kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua wenye vimatendo hivyo vya ajabu ndo wanaopendwa zaidi na...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

    Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili . Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini na mpite mitaani, hali ya mazingira hairidhishi

    Mabibi na mabwana afya tokeni ofisini mlikojificha, piteni mitaani, masokoni nk hali ya mazingira ni mbaya hairidhishi, kwa Jiji la Dar ndio kimbembe hasa kipindi hiki cha mvua, watu wasio wastaarabu wanafungulia chemba za vyoo vyao zinatirirsha maji machafu yanajichaganya na maji ya mvua...
  19. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Watoto wa Mitaani

    Watoto ni hazina ya nguvu kazi ya kesho, na wanahitaji mazingira bora kwa ajili ya kuwasaidia katika safari yao ya kukua na kujenga taifa letu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto kubwa sana katika kutoa msaada unaofaa kwa watoto hawa ili waweze kupata elimu bora, mazingira yanayowawezesha kukua...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mfumo wa uzoaji taka mitaani unaweza kusababisha athari za kiafya kwa Wananchi

    Wakati Mikoa kadhaa ikiripotiwa kuwa na mlipuko wa Kipindupindu na Magonjwa ya Tumbo ikiwemo Mwanza, Shinyanga na Simiyu, upande wa Mitaa mbalimbali ya Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kukosekana mfumo mzuri wa utunzaji na uzoaji kutoka kwenye makazi ya Watu na sehemu za biashara. Baadhi...
Back
Top Bottom