miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Kilicho nyuma ya miradi ya Chato-3

    Aprili 14 mwaka huu waandishi wanne nguli—Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu walizindua kitabu chao walichokipa jina la 'I am the State: A President's Whisper from Chato'. Leo tunafanya mapitio ya sura ya tatu ya kitabu hicho inayoitwa ‘The Dilemma of I am a State’...
  2. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Tulipompata Tulia Ackson kama mbunge, Mbeya yote imechangamka kwa miradi ya miundombinu

    Pamoja na siasa uchwara za wenzetu, inabidi tukubali ukweli tunaouona kwa macho yetu. Toka tumeanza kuwa na huyu mbunge wetu Tulia Ackson, miradi mkoa wa Mbeya imeanza kuchangamsha mkoa. Pamoja na kuwa mkoa mkubwa wa uzalishaji mkubwa wa chakula kwa Taifa, Mbeya ilikuwa katika jinamizi la...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Miradi ya uwekezaji nchini imeongezeka kwa 16.5 ndani ya Mwaka chini ya Uongozi wa Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeendelea na juhudi mbalimbali za kuhamasisha na kuvutia uwekezaji nchini. Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, bungeni hii leo Mei 04 2023 Waziri wa Wizara hiyo, Dkt Ashatu Kijaji ameeleza kuwa katika kipindi cha...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema Kwa kufungua Nchi

    Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema, manufaa na kufungua fursa mpya kwa watanzania hasa kwa kuunganisha Nchi na mikoa kwa barabara nzuri za lami. Kauli hiyo imetolewa mkoani Rukwa na Waziri wa Ujenzi na...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Miradi ya World Bank (Benki ya Dunia) wanatuibia Watanzania!

    Miradi ya World Bank hapa nchini ni mingi, lakini ina walakini. Miradi hii inawekewa masharti ambayo serikali huwa inayakubali bila kupitia vipengele vya utekelezaji miradi yenyewe. Hi ina maana Wizara yetu ya Fedha inaingia hii miradi kichwa kichwa bila kupitia vipengele vya masharti. Miaka...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru waridhia miradi yote Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva akiambatana na kamati ya Usalama, Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya Ludewa, na Mbunge wa Jimbo la Ludewa wameupokea Mwenge wa Uhuru ambao umekimbizwa, kutembelea, kukagua na kupitia miradi nane (8) ya maendeleo yenye jumla ya thamani ya Tsh...
  7. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Serikali imesajili miradi ya uwekezaji 537

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, 2023 Serikali ilisajili jumla ya miradi ya uwekezaji 537 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 7,222. Amesema hayo leo Alhamisi (Aprili 20, 2023) alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vijiji Vyote 68 Vina Miradi ya Maji Safi na Salama

    MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYETU VYOTE 68 VINA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA Miradi hiyo ya maji iko kwenye hatua mbalimbali kama ifuatavyo: *Vijiji 2 vinatumia maji ya visima virefu *Vijiji 32 tayari vinatumia maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria. Usambazaji unaendelea ndani ya vijiji hivyo...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania TIC yasajili miradi ya trilioni 3 ndani ya miezi mitatu, kuzalisha ajira 16,440

    Kituo cha Uwekezaji kimesema kimesajili miradi 93 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.2 sawa na Sh trilioni 2.814 za Tanzania katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu wa fedha. Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri ameeleza hayo katika ripoti ya uwekezaji ya kila mwezi ya TIC kwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 6 Magufuli alikamilisha miradi mingapi?

    Ukiacha barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi ni barabara gani nyingine ameijenga? Uwanja ndege wa Chato? Miradi mingi aliyoanzisha siyo feasible economically. SGR Mwanza ina faida gani, tusidanganyane watu over-estimate Mwanza wakati kiuchumi siyo kweli. Mwanza hakuna mzigo unarudu nao kwenda...
  11. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Mwenge ameshang'amua miradi mingapi iliyojengwa chini ya kiwango? Au anakula kwa urefu wa kamba yake?

    Habari wakuu, Tanaambiwa kuwa moja ya kazi ya mbio za mwenge ni kung'mua miradi iliyojengwa chini ya kiwango na kukataa kuifungua. Japo kuna mkaguzi mkuu(CAG), wakaguzi wa ndani(Internal Auditors), kamati za bunge, TAKUKURU, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa lakini bado na Mwenge unatumika kukagua...
  12. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate: Wananchi washirikishwe katika hatua zote katika miradi ya maendeleo ili kuleta ufanisi katika utekelezaji wa miradi hiyo

    DC JOKATE: WANANCHI WASHIRIKISHWE KATIKA HATUA ZOTE KATIKA MIRADI YA MAENDELEO ILI KULETA UFANISI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe Jokate Mwegelo amewataka wanaotekeleza miradi ya serikali na isiyo ya serikali kushirikisha wananchi kwakuwa miradi hiyo ni ya wananchi...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yabaini madudu kwenye miradi ya Tsh. Biilioni 6.5 Mwanza

    Miradi 22 yenye thamani ya zaidi ya Sh6.5 bilioni iliyochunguza na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (Takukuru) mkoani Mwanza imebainika kuwa na mapungufu kadhaa ikiwemo ukiukwaji wa taratibu za manunuzi, kasi ndogo ya utekelezaji na ubora hafifu. Kwa mujibu wa Mkuu wa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Miradi mitano ya kikmkakati ambayo serikali yafaa kuitekeleza ili baada ya miradi ya kikmkakati iliyopo kukamilika

    Salama wakuuu. .. Ni ukweli usione na shaka kwamba pamoja na mapungufu yake hayati Magufuli alikua na uthubutu mkubwa WA kuanzisha miradi ya kikmkakati Miradi hii ambayo ni pamoja na reli ya sgr, bwawa la kufua umeme ya Nyerere , bomba la mafuta kuhamia Dodoma ,ununuzi WA ndege nk...
  15. mr egrose

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nina bachelor degree ya Project Planning and Management na diploma ya Community Development

    wakuu habari za majukumu naitwa yohana naomba kutumia forum hii kutafuta kazi y Mambo ya yanayohusu miradi nina degree ya project planning and management pia nina diploma ya community development. Naombeni msaada wenu pls. Naweza kukupatia any information about me when needed. thank you...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Je, wasiojulikana walichangia chochote kwenye upatikanaji wa Fedha awamu ya Tano?Je, waliopotezwa thamani Yao inaweza kulinganishwa na miradi?

    Awamu iliyopita kuliibuka kikundi cha wasiojulikana, wanapewa nguvu kubwa kiasi kwamba binadamu walioripotiwa kupotea au kutokuonekana au kutekwa vyombo havikuona umuhimu wakuwatafuta Kwa kigezo kwamba wamejiteka wenyewe. Kisiasa tulielezwa kwamba KAZI NI moja Tu, miradi ya maendeleo. Hakuna...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Daniel Sillo Katika Jimbo la Babati Vijijini Kukagua Miradi ya Maendeleo

    ZIARA YA MHE. DANIEL SILLO KATIKA JIMBO LA BABATI VIJIJINI NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti bungeni Mhe. Daniel Sillo ameendelea na ziara katika Jimbo la Babati Vijijini ambapo ametembelea Vijiji 66 kati ya Vijiji 102 vya babati...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

    Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho. Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kaliua, Aloyce Kwezi aahidi ndani ya miaka miwili ijayo kukamilisha Miradi ya Elimu na Afya

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Aloyce Kwezi ameendelea na ziara yake katika jimbo na kutembelea miradi mbalimbali ambapo ameongea na wananchi wa Kata mbalimbali wa maeneo hayo. "Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anawapenda...
  20. Murashani GALACTICO

    JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu Wakuu wa Mikoa kwenda kukagua miradi ya ujenzi au majengo saa za usiku?

    SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku. Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO. Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
Back
Top Bottom