miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Waarabu wanaendelea kumininika Tanzania na Miradi ya maendeleo. Sasa Saudi Arabia

    Wahenga walisema Dunia duara ukifikiri uta..." Tusijiumize roho sana kwa kijimradi cha ushirikiano wa maendeleo ya bandari na Dubai. Tutegemee makubwa zaidi ya uwekezaji kutoka kwa ma "Giants " wa uwekezaji duniani. Saudi Arabia, hivi karibuni. Mohamed bin Suleiman al maaruf MBS ni mwana wa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya TAMISEMI yaridhishwa na Miradi inayotekelezwa na TARURA Morogoro

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dennis Londo ameupongeza uongozi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuwekeza miundombinu yenye tija na maslahi kwa wananchi na Taifa katika kukuza uchumi. Mhe. Londo amesema hayo Juni 24...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukomo mkataba bandari utawekwa kwenye mikataba ya miradi

    Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari akitoa ufafanuzi kuhusu suala la ukomo wa muda kwa mikataba ya uendelezaji na uboreshaji ufanisi wa bandari kati ya Tanzania na Dubai.
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Natarajia Mbowe kupinga utekelezwaji miradi saba ya ujenzi wa barabara kwa njia ya EPC+ F huku bara

    Wakuu bado ninasubiri kauli ya Mbowe kupinga "Wazanzibari" kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa barabara huku bara. Kwa akili zake za kibaguzi nadhani hili pia lilitakiwa limuume na sio bandari tu. Siku nyingine mmiliki wa CHADEMA atafakari sana kabla ya kuropoka. Kauli yake ya kibaguzi...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa onyo kwa wezi wa vifaa miradi ya maendeleo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini. Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi)...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Utiaji Saini Mikataba ya Miradi ya Maji Mkoa wa Dodoma

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara (Mb) Mh Dkt Ashatu Kijaji tarehe 12 Juni, 2023 alishuhudia tukio la utiaji saini Mikataba ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Dodoma. Tukio hili la...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnafikiri miradi ya Hayati Magufuli ni halalisho la kuua demokrasia, hili la Bandari litawasaidia kujua gharama ya demokrasia

    Watu wenye akili, werevu na wazalendo walipokuwa wanalilia demokrasia wakati wa Mwendazake, walipingwa kwa hoja dhaifu kama vile demokrasi inachelewesha maendeleo na kwamba sasa tumepata kiongozi anaeweza kutuvusha na kuwa demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa haina maana na hata katiba bora...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Huu uhaba wa dola unasababishwa na miradi ya pupa aliyoianzisha Magufuli akijitapa sisi ni matajiri

    Miradi inatumia fedha nyingi za kigeni kufanya imports ya vifaa na kulipa wakandarasi Miradi mingi inatumia mikopo ambayo imeshaanza kulipwa kabla hata matunda ya mradi hayajaanza kuingiza kipato Haya mambo tulitarajia na tuliyasema kabla...
  9. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Miradi ya kimkakati wilayani Chato na hoja ya Katiba Mpya

    Juni 2020 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha mabadiliko ya sheria mbalimbali ikiwemo muswada wa sheria ya kuwapa kinga viongozi wakuu wa nchi akiwemo Rais na makamu wake,Jaji Mkuu pamoja na Spika na naibu wake ambao ilielezwa kwamba hawapswi kushtakiwa wakiwa madarakani na...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly Ntate Awaomba Wananchi Kuwa Walinzi wa Miradi ya Maji Inayoendelea Kuzinduliwa

    MBUNGE JANEJELLY NTATE AWAOMBA WANANCHI KUWA WALINZI WA MIRADI YA MAJI INAYOZINDULIWA KIPINDI HIKI CHA MBIO ZA MWENGE Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate katika sherehe za Mbio za Mwenge Temeke, amemshukuru Rais wa...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoomba misaada mitaani yadaiwa kuwa ni miradi ya watu. Je, kuna ukweli?

    Salaam ndugu zangu, Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekutana na watu adhaa wakanionya kuwasaidia watu naokutana nao njiani na kunisisitiza kuwa makini. Wadau wanasema kwamba watu wengi wanaomba mijini hawafanyi hivyo kwa ajili yao bali kuna baadhi ya watu wenye vipato vikubwa ambao...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kwezi Ataka Ajira kwenye Miradi Zizingatie Vijana wa Maeneo yao

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATAKA AJIRA KWENYE MIRADI ZIZINGATIE VIJANA WA MAENEO YAO Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoa wa Tabora, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2023-2024 ya Shilingi Trilioni 3.554 iliyosomwa na...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Serikali iunde Dna Database ili kukabili uhalifu sio kutumia pesa za uma kwa anasa na miradi ya kifasadi ya vibopa wa CCM.

    Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma. Pesa hizo zingetumika kuunda Dna database ambayo ingeweza kuwasaidia polisi kudhibiti uhalifu.. Mwizi akikamatwa anachukuliwa Dna...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali yatakiwa kukamilisha Ujenzi wa Miradi kwa Wakati

    SERIKALI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA MIRADI KWA WAKATI Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Jackline Msongozi ameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara kwa wakati bila kusubiri misimu kwa kujenga vipande nusu nusu. Ameyasema hayo wakati akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi na uchukuzi...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 5 kutekeleza Miradi ya Maji Jimbo la Ngara, Kagera

    MIRADI MIPYA YA MAJI JIMBO LA NGARA, KAGERA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza na kutoa Shilingi Bilioni 3 Jimbo la Ngara kwaajili ya kujenga miundombinu bora ya Maji Safi na...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Inaendelea na Utekelezaji Miradi ya Kusambaza Umeme - Ngorongoro

    SERIKALI INAENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME- NGORONGORO Na Godfrey Mwemezi, Ngorongoro Arusha. Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji miradi ya kusambaza umeme Vijijini...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kiteto - Taarifa Maalum kwa Wananchi Kuhusu Miradi ya Huduma za Mawasiliano

    JIMBO LA KITETO - TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU MIRADI YA HUDUMA ZA MAWASILIANO Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto natambua kuwa wakati natafuta kura tulipata changamoto nyingi sana za huduma ya mawasiliano ya simu katika Vijiji zaidi ya 30 ambavyo mitandao ya simu ni...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashusha Neema Miradi ya Trilioni 42.4/=

    Tanzania inatarajia kupata miradi ya hifadhi ya mazingira, mabadiliko ya tabianchi ikiwemo nishati jadidifu yenye thamani ya sh. trilioni 42.4. Miradi hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa kwa muiibu wa Mchango wa Taifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya...
  19. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mwenendo mzima wa serikali inavyoendeshwa, miradi mingi itaisha kwa kusinyaa na mikataba mibovu itakuwa mingi zaidi

    Taarifa ya CAG ilionekana kukera viongozi wa juu wa serikali na nilijuwa kuwa hatua kali kwa wabadhilifu hadi sasa wangekuwa hawapo maofisini kumbe kilikuwa kiini macho cha kuonesha chukizo mbele ya umma huku vitendo hamna katika uwajibikaji. Nachofikri ni kwamba kama mama ataongoza serikali...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kilicho nyuma ya miradi ya Chato-3

    Aprili 14 mwaka huu waandishi wanne nguli—Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu walizindua kitabu chao walichokipa jina la 'I am the State: A President's Whisper from Chato'. Leo tunafanya mapitio ya sura ya tatu ya kitabu hicho inayoitwa ‘The Dilemma of I am a State’...
Back
Top Bottom