Mbunge wa Kiteto, Edward Lekaita Akagua Miradi Kata ya Kiperesa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945

MBUNGE EDWARD LEKAITA AKAGUA MIRADI KATIKA KATA YA KIPERESA JIMBO LA KITETO MKOA WA MANYARA

Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Jimboni katika Kata ya Kiperesa na kukagua Ujenzi wa Miradi katika Sekta ya Elimu na Afya.

Mhe. Lekaita alikagua maendeleo ya ujenzi wa bomba la Maji katika Shule ya Sekondari Kiperesa ambapo mradi huo unajengwa na RUWASA na kukagua Ujenzi wa Tanki la Maji katika shule ya Sekondari Kiperesa ambalo pia linajengwa na RUWASA

Aidha, Mhe. Edward Lekaita alifika kituo cha Afya cha Mwanya kukagua vifaa tiba vipya vilivyopelekwa katika kituo cha Afya cha Mwanya ambavyo ni Vitanda na vifaa tiba vingine.

Mhe. Edward Ole Lekaita alifanya Mkutano wa Hadhara akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Chekanao kwaajili ya kusikiliza kero zinazowakabili huku afikika kusikiliza wananchi wa Mwitikira ili kuwasikiliza nao changamoto zao kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.49.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.49.jpeg
    1.1 MB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.50.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.50.jpeg
    1,017.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.50(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.50(1).jpeg
    892.8 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.50(2).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.50(2).jpeg
    859.3 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.51(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.51(1).jpeg
    723.4 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.51.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.51.jpeg
    811.9 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.52.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.52.jpeg
    1,002.3 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.53.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.53.jpeg
    1.2 MB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.52(2).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-11 at 23.46.52(2).jpeg
    743.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom