mipango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa, Mdude, Madereka na Mwabukusi kujumuishwa kwenye tume ya mipango?

    Kichwa cha habari kinajieleza. Wakati Rais Samia akipokea ripoti ya Tume ya Haki Jinai aliagiza kuwa watu wote wanaokosoa kwa hoja wajumuishwe kwenye tume ya mipango. Badala ya kutekeleza agizo la rais, polisi wamewakamata watanzania hawa na kuwafungulia mashitaka ya uhaini. Tume ya Haki za...
  2. JamiiForums Tanzania Mipango miji: Sehemu za wazi kufanyia mazoezi hasa calisthenics zipo wapi?

    Habari wana JF Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani. Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali. Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana na ongezeko la urahisi wa kazi maofisini. Watu wengi zaidi wanaingia kwenye kutakiwa kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Mipango na Tume ya Mipango anzeni na hili

    Mwaka 2016/17 Serikali ikifanya maamuzi rasmi ya kuhama Dar es Salaam na kuhamia Dodoma. Uhamaji huu umepelekea majengo mengi sana ya Jiji la Dar hasa katikati ya Jiji na maeneo ya Jirani kuwa matupu. Mengi hayana wapangaji na kiukweli ni kama yameachwa tu! Sote tunafahamu, Dar es Salaam ni...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI World Economic Forums, Bill Gates na Albert Bourla wana mipango ya kupunguza idadi ya watu duniani

    Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazohusisha taasisi na watu maarufu duniani kuwa na mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani. Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na Bill Gates kuelezwa kuandika katika mitandao wa kijamii akimshauri kiongozi wa World Economic Forums (WEF), Klaus Schwab juu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke Akiwa Mjamzito Mambo na Mipango yote Huvurugika!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Sitarajii tena kumpa mimba mwanamke wangu Rehema, akifanikiwa kujifungua salama mwezi wa 10 basi hawa ndio watakuwa watoto wangu wa mwisho na sitotarajia tena kupata watoto kwasababu ni kujifunga kwa mambo yangu!. Kwanza kabisa nipende kumshukuru Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo amepewa Uwaziri ili kukamilisha mpango wa bandari kwa DP World?

    Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu. Pia soma > Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
  7. JamiiForums Tanzania Mipango na mbinu za kibiashara kwa mjasiriamali Mdogo, Kati na hata Mkubwa

    Dunia leo hii inawataja mabilionea wafanyabiashara wakubwa kama vile Bilgates, Carlos Slim, Abraham Markovich, Trump, Mc Donald, Jeff Bezos na wengine wengi waliofanikiwa kifedha na kupata umaarufu mkubwa kupitia biashara. Imekuwa ni changamoto Kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Miradi na mipango mikubwa ya kimkakati ni kaburi la siasa za upizani, hili la bandari ni mojawapo. Rais songa mbele matokeo ni mazuri

    Hata nikiamshwa usingizini na nikaulizwa ni mambo yapi yamtambeba Rais Samia au mgombea yeyote wa CCM kwenye uchaguzi mkuu ujao kabla ya kupepesa jicho nitakuambia yafuatayo: Kwanza, furaha na matarajio ya Wananchi. Hapa kuna masuala ya huduma bora, maslahi bora na maisha bora. Pili...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tusamehe ushuru wa magari ya umeme na Gesi

    Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3) Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada wa Tume ya Mipango, sasa kuwa na Waziri wake

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa mwaka 2023 huku ikiondolewa Wizara ya Fedha na Mipango na kupelekwa kwa Ofisi ya Rais. Muswada huo umewasilishwa na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene bungeni leo...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya kazi za Afisa Mipango na Mchumi kwenye taasisi au halmashauri?

    Habari wanaJF, Naomba kujua utofauti wa kazi au majukumu ya afisa mipango(Planning officer) na mchumi kwenye maeneo mbalimbali ya halmashauri au taasisi mbalimbali za serikali. Anayefahamu naomba anijuze.
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania na Mipango ya Zimamoto

    Mwenye taarifa sahihi anijuze! Wakati wa utawala wa Dr. Kikwete, tulikuwa na KILIMO KWANZA na BIG RESULTS NOW! Alipoingia hayati Dr. Magufuli, kukazaliwa TANZANIA YA VIWANDA! Kabla ya KILIMO KWANZA, BIG RESULTS NOW na TANZANIA YA VIWANDA, kulikuwepo na MKUKUTA, MKUTABITA, SIASA NI KILIMO...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa sera na mitaala ya elimu 2023 - kurudisha ufundi sekondari ni kukosa dira na mipango

    Watanzania hii fursa ya kurekebisha mitaala ni fursa adhimu sana, ni nafasi ya kuweka mambo mengi sawa lakini fursa hiyo inaweza kupotezwa na watu wachache bila kuwa na maono yoyote wakavuruga. Mpaka leo najiuliza ni mtaalamu gani anayeweza kutoa mapendekezo butu na kujaribu kuvuruga dira za...
  14. JamiiForums Tanzania Mpira ni mchezo wa mipango na mikakati, sio hamasa na siasa.

    Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana. Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
  15. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mipango ya serikali inayo-trigger 'emergency alarm' na inayotakiwa kutupiwa jicho na jamii nzima

    Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia. Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi ni volatile na tunahitaji jamii nzima kuwa so sensitive na mipango ya serikali. Binafsi na nadhani...
  16. JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi ni Nyezo muhimu katika kuibua Mipango mbalimbali ikiwemo fursa za Fedha

    SEKTA BINAFSI NI NYENZO KATIKA KUIBUA MIPANGO NA FURSA ZA KIFEDHA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema ushiriki wa sekta binafsi chini ya ubia kati ya serikali ni nyezo muhimu katika kuibua mipango mbalimbali ikiwemo fursa za fedha za kugharamia...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tanroads! Barabara zenu Dar es Salaam ni mbovu kupindukia. Tuambieni sisi wananchi mna mipango gani na sisi?

    Hali ni mbaya sana tena sana. Sehemu ya dakika 5 sasa hivi tunatembea nusu saa. Shida kubwa ikiwa hasa jimbo la kibamba. Mpaka daladala wameondoa mabadi yao kwa sababu ya ubovu wa barabara. Mfano mzuri ni hii barabara ya Mbezi High School kwenda Mpigi magoe. Hii siyo barabara ni handaki kabisa.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango

    Habari za majukumu. Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu. Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwenu ACT Wazalendo, msifanye makosa yaliyofanywa na CHADEMA ya kuratibu maandamano na migomo. Jikiteni kwenye mikakati na mipango

    Ushauri huu ni mahususi kwa ajili ya ACT Wazalendo na vyama vingine vyenye muelekeo kama huu wa kuratibu maandamano na 'attention seeking' na nimetumia neno 'attention seeking' kwa sababu za ushiriki wao wa siasa za matukio ,kunapokuwa na tukio Chama kinaibuka na baadae kinapotea. Kwa mazingira...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiwa Malawi Washirika wako na Chama kipya mnaendeleza Mipango na Majungu yenu, sasa nenda Cuba ukasahaulike mazima

    Nauli ya kuja Blantyre au Lilongwe nchini Malawi hata Masikini GENTAMYCINE anaweza Kujichanganya na akaja kisha tuendeleze Mipango yetu na Majungu ya 2025 na ile Kabambe ya 2030. Sasa nakutupa Jijini Havana nchini Cuba ( ambako ni mbali Kijiografia ) ili tuone kama Wanafiki Wenzako wa Chama Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…