Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,917
Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma.

Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba atakuwa mgeni rasmi.

Hayo yameelezwa kwenye ukurasa rasmi wa Askofu Gamanywa kwenye mitandao ya kijamii.

Sisi wana Wapo Mission Tanzania tunachukua fursa hii kumpongeza Askofu wetu ambaye anaenda kuwa mchungaji wa kwanza wa makanisa ya kiroho kuwa Profesa.

Tuendelee kumuombea mtumishi huyu.

Screenshot_20231024-045429_Lite.jpg
 
View attachment 2791174
Mleta mada umepotosha kimtindo.

USAHIHI
Chuo kinachomtunuku askofu Gamanywa kinaitwa Outreach Care International (OCI) na sio chuo cha Mipango Dodoma. Lakini tukio hilo litafanyika katika ukumbi wa kukodisha uliopo ndani ya chuo cha mipango Dodoma. Huo ukumbi hata ukiwa na tukio lako la kipaimara, send off, birthday nk unaweza kuukodisha.

Hicho chuo cha Outreach Care International ni chuo cha mfukoni tu, hakipo popote kivile (physically), ni vyuo vya mtandaoni vya mchongo.
 
Serikali ipige marufuku upumbavu huu haraka sana, una haribu na kuua kabisa ari ya watu kutafuta maarifa kitabuni.

Wizara ya elimu isiruhusu upumbavu huu ufanyike nchini
 
Mleta mada umepotosha kimtindo.

USAHIHI
Chuo kinachomtunuku askofu Gamanywa kinaitwa Outreach Care International (OCI) na sio chuo cha Mipango Dodoma. Lakini tukio hilo litafanyika katika ukumbi wa kukodisha uliopo ndani ya chuo cha mipango Dodoma. Huo ukumbi hata ukiwa na tukio lako la kipaimara, send off, birthday nk unaweza kuukodisha.

Hicho chuo cha Outreach Care International ni chuo cha mfukoni tu, hakipo popote kivile (physically), ni vyuo vya mtandaoni vya mchongo.
Nimejaribu kukiangalia, website tu hawana, haina chochote
 
Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma.

Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba atakuwa mgeni rasmi.

Hayo yameelezwa kwenye ukurasa rasmi wa Askofu Gamanywa kwenye mitandao ya kijamii.

Sisi wana Wapo Mission Tanzania tunachukua fursa hii kumpongeza Askofu wetu ambaye anaenda kuwa mchungaji wa kwanza wa makanisa ya kiroho kuwa Profesa.

Tuendelee kumuombea mtumishi huyu.

View attachment 2791174
Huyu kihiyo asiye na hata udaktari stahiki amewahonga nini wajingaaa wanjingaaa hawa? Tanzania namna hii hatutaendelea
 
Back
Top Bottom