Wakuu salam,
Hoja za Ushoga na kuhalalisha ndoa za jinsia moja ni jambo sensitive sana hasa kwenye jamii zetu za Africa.
Tusichoelewa ni kwamba watea wetu wana nguvu sana na ni moja ya ajenda kubwa sana kwenye mikutano ya wakubwa huko duniani.
Jambo hili la ushoga sio jipya hapa duniani ni...
Kipato cha walio wengi ni mshahara, hata kama unafanya biashara ni muhimu kujiwekea mshahara wako, hii itakusidia kuiheshimu faida na kutokuigusa.
Matumizi ya muhimu katika mshahara ni chakula, kodi ya nyumba na usafiri. Haya yanatakiwa kutolewa katika mshahara kabla hujapanga mipango yeyote...
Wakati maandalizi ya kumpokea mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema anayetarajia kuwasili nchini Machi 1 mwaka huu, akitokea nchini Canada alikokimbilia baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, mwanasiasa huyo ameeleza Canada haikuwa miongoni mwa nchi alizotaka kwenda...
Akili na ustaarabu unaanzia kwenye mipango miji.
Kama kuna Rais anayetafuta legacy ya kudumu asimamie mipango miji. Mipango miji ni legacy ya milele. Ukishapanga mitaa na barabara zitabaki hivyo milele. Ukishindwa kupanga kuja kurekebisha ni ngumu sana. Gharama yake ni kubwa sana kiasi kwamba...
Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji kwa kuhusisha wadau wote wa elimu. Mambo hayo ni pamoja na:
1. Viongozi kujikita zaidi kwenye...
Habari zenu....
Kuna mambo yanafanyika tanzania tu,tena yanatia aibu sana..
Kesho wanafunzi wanafungua shule,ila wazazi wao wameshindwa kufanya maandalizi siku nyingi ya kujianda na shule,leo hii ndo wanashituka sasa,yani unakutana na wazazi wapo na watoto wao kariakoo kama wamechanganyikiwa...
Well ni December, tunaumalizia mwaka! Kila mmoja kwa namna yake kuna malengo alijiwekea, yametimia? Kama ndiyo kwa asilimia ngapi? Na kama bado kwa nini? Wapi ulifeli?
Binafsi niseme malengo hayakutimia kwa 95%, kuna biashara ipo somewhere, vijana wanaharibu mwanzo mwisho. Kwa huu mwaka...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kumhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Wilaya ya Mpanda, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka Taratibu za Manunuzi ya Umma.
Nyemba anadaiwa kununua Pikipiki 30 Jijini Dar es Salaam kwa Tsh. Milioni 3.8 kila moja huku...
Kuanzia tarehe 14 hadi 19 Novemba 2022, Rais Xi Jinping wa China alihudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kundi la G20 (G20) kisiwani Bali, Indonesia, na Mkutano wa Viongozi wa Kibiashara wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) mjini Bangkok, Thailand. Katika siku hizi...
Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira.
Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko.
Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na mchango wa nguli huyu waliyemkodi kwa mwaka mmoja nchini kwao. Hata Uganda walimtumia.
Watu kama...
Nimewahi kufanya kazi na watu wa jamii hizo mbili na wanaichukia sana hiyo miji iliyopo Saudi Arabia?
Wanasema kwamba Marekani na Israel ndio zilianzisha utaratibu wa kutembelea hiyo miji ili kukuza kipato cha Saudi Arabia na kuunganisha jamii za mashariki ya kati.
Pia wanaeleza utaratibu huo...
Ndugu zangu watanzania
Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka!
Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali...
Ilisikika sauti toka ndani ya kaburi " Lete dongo, Lete reli, Lete ubao, lete majani". Nilikuwa miongoni mwa watu watano ambao wali bahatika kuchaguliwa kuingia ndani ya kaburi kumzika huyu shangazi yangu,na ndiyo ilikuwa mara ya Kwanza kufanya hivyo
Amekufa akiwa na Miaka 96 yaani bado minne...
Mataifa ya Magharibi yamelaani mipango ya Moscow ya kufanya kile kinachoitwa kura ya maoni ya dharura katika sehemu za Ukraine ambazo kwa sasa ziko chini ya udhibiti wa Urusi.
Kura hizo zimeitishwa na maafisa wanaoungwa mkono na Urusi katika mikoa minne ya Ukraine kuuliza iwapo wanapaswa kuwa...
Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today.
Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo?
Utangulizi.
Mji Bukoba au Bukoba ya Leo ya mwaka 2019,hayajapishana sana na mji wa Bukoba wa mwaka 1915 wakati wa...
GOD IS THE MASTER PLANNER OF OUR LIVES.
[Mungu ndiye mtaalamu wa mipango ya maisha yetu]
Kama kijana au kama binadamu yeyote wa kawaida ni lazima kuna mipango fulani itakuwa umejiwekea kwenye maisha.
Mipango yako inaweza kuwa mizuri kwa ufahamu wako wa kawaida lakini upo uwezekano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.