mimi

  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee Wakenya mimi nimeshaombea

    Mutuombee…’’ majaji watoa wito huo wanapojitayarisha kutoa hukumu yao Maelezo ya picha. Majaji wa Mahakama ya Juu Zaidi watatoa uamuzi wao Jumatatu 3 Septemba 2022. Kusikilizwa kwa kesi ya kupinga matokeo ya urais kumekamilika Ijumaa huku Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu akitoa ombi la...
  2. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM ipo hai? Mimi naona kama imeshakufa

    Ndugu zangu hii UVCCM ya sasa ina shida gan? Zamani ilikuwa jambo la kawaida uvccm ikiwa kwenye shughuli zake inaweza kufadhili hata miradi ya maendeleo vijijiini na mikoani. Yaani ile UVCCM ya akina Nape, Makonda, Hapi na baadae akina Kheri James siioni tena. UVCCM imekufa imepotea kabisa...
  3. Sirdick Mashally

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimehitimu shahada ya kilimo. Je, kuna haja ya mimi kusubiri kuajiriwa?

    Kabla hata sijamaliza kusoma shahada yangu ya kilimo (general agriculture) pale chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine, swali ambalo nilikuwa najiuliza mara kwa mara je hivi nikimaliza kusoma hapa nisubiri kuajiriwa au ninaweza kujiajiri mwenyewe Kadri nikiendelea na masomo swali hili lilikuwa bado...
  4. Sirdick Mashally

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimehitimu shahada ya kilimo, je kuna haja ya mimi kusubiri kuajiriwa?

    Kabla hata sijamaliza kusoma shahada yangu ya kilimo (general agriculture) pale chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine, swali ambalo nilikuwa najiuliza mara kwa mara je hivi nikimaliza kusoma hapa nisubiri kuajiriwa au ninaweza kujiajiri mwenyewe. Kadri nikiendelea na masomo swali hili lilikuwa bado...
  5. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ni Meya wa Jiji

    Meya ni neno linalotokana na neno la Kiingereza “Mayor”, ni cheo kinachotumika nchi nyingi duniani; hii ni nafasi ya juu kabisa katika halmashauri ya mji, manispaa au jiji. Kwa mujibu wa “Wikipedia” ya Dar es alaam, Dar es Salaam ni jiji kubwa kuliko yote nchini Tanzania, na mji mkongwe na...
  6. Jmushi91

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mshindi ni mimi na wewe leo

    Utajiri, pesa, umaarufu, vyeo, mamlaka, afya, chakula, mavazi, kazi, nyumba, magari, simu ya kisasa, unaweza kutaja mafanikio yoyote ambayo umepata. Hakika orodha haijaisha. Sasa nikuulize, ni mafanikio gani makubwa uliyoyapata maishani? Fikiria juu ya hili unapochimba chini kwenye hii...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Na mimi nimegundua upenyo wa tozo kwenye vibao vya mitaa/makazi

    Mapendekezo yangu; 1. Yule mtu (binafsi) ambaye jina lake limebahatika kuchukua jina la mtaa, alipe 50,000/= kama ni kiongozi (DED, DC, RC n.k), kama ni mtumishi wa kawaida wa umma alipe 20,000/= na kama NI mwananchi wa kawaida alipe 10,000/=. Jina lako kutumika na serikali ni heshima...
  8. Chifumoses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tutakufa ila Utanzania wetu utadumu milele

    Wengi watanzania tumekua ni watu wa kulalamika, kuhuzunika, kunyanyasika, kunyanyasana na kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwasababu za kiuchumi, elimu, nyadhifa, makabila, ujinga/upumbavu, imani zetu tulizonazo na pengine kutokana na mapungufu ya kibinadamu. Watanzania tuliowengi tunapitia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi na Mazingira

    Mwandishi: RAYMOND NOEL Namba za simu: 0758659963 Asubuhi moja yenye baridi ilinikuta kwenye bonde dogo karibu na mtaa wetu, nilifika katika bonde hilo kwa lengo la kuchota maji katika chemchem maarufu inayopatikana hapo ambayo hutiririsha maji katika bonde kwa mwaka mzima, chemchem hiyo huwa...
  10. PANTHERA LEO

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya sigara

    Habari wakuu, Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
  11. mzeelazaro

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi na Afya ya Akili

    Afya ya Akili. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO), afya ya akili ni hali ya kutambua na kuthamini afya ya hisia na mwili kwa ujumla ambavyo vinahusisha ubongo. Afya ya akili katika karne ya 21 imekuwa ni tatizo kubwa kwa jamii zetu hasa kwa upande wa vijana ambao ndio inaaminika kuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mimi naunga mkono Tozo kwa watanzania na iongezwe

    Wengi wanaolialia kuhusu Tozo lukuki wameichagua CCM na wanaishabikia wakuidhani wanaikomoa CHADEMA. Na muhimiza huyo Mwigulu azidishe tozo aongeze zaidi ya maradufu asiishie hapo tu atoze watu kodi hadi wanapotoka majumbani mwao. No mercy. Watu wakila mlo mara moja kila baada ya siku tatu...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Ummy Mwalimu jibu swali hili kabla ya kesho mimi kuhamia Burundi

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari kwanini humtunzi mkeo kama ninavyomtunza wangu? Kwanini mimi mke wangu simfananishi na wako? Je, tukiwaweka sawa watafurahiana?

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema. Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
  15. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    GTs, Kama tulivyoona kijana wa Waziri Simba Simbachawene alivyoingia kituoni halafu kuna askari akamchokoza kwa tusi. Je, hiyo ni sahihi? Je, ni kweli alitukana na alipokuwa nje, na je ndiyo njia sahihi ya askari kufanya kazi? Je, haki za kijana wa Simbachawene zilifuatwa, au alitishiwa na hao...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sitakuoa kwa sababu ninakupenda bali kwa sababu unastahili kuolewa na Mimi

    SITAKUOA KWA SABABU NINAKUPENDA, BALI KWA SABABU UNASTAHILI KUOLEWA NA MIMI. Anaandika, Robert Heriel. Naweza kukupenda lakini nisikuoe kama haustahili. Ninauwezo wa kuutiisha moyo wangu ufanye kile akili yangu itakavyo. Kupenda ni tendo lisilo la hiyari, lakini kuendelea Kupenda ulichokipenda...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mimi niko tayari kuhesabiwa. Wewe je?

    Habari Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku...
  18. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye uwezo wa kutoa jibu la swali hili? Mimi nimechemka

    Kwanza salam zangu za leo ziwafikie popote mlipo member wenzang. Kuna best friend wangu alikuwa anauliza swali hili hapo chini 👇 Kati ya: 1] Mchina 2] Mwaarabu 3] Muhindi Ni race ipi ambayo ukifanya nayo kazi haiwezi kukusumbua kwa upande wa malipo na haki zako zingine za msingi? Maana jamaa...
  19. Amina68

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Habari wana jukwaa wote! Kwa majina naitwa Amina kama nilivyojisajili kwa forum hii. Mimi ni mtanzania ambae nimetokea katika familia maskini sana kule SIMIYU kijiji cha itilima. Nilizaliwa mnamo mwezi januari mwaka 1997 katika mazingira ambayo sio salama na mama yangu ajulikanae kwa jina la...
  20. supatolu

    JamiiForums Tanzania Nimejiunga rasmi JF na mimi hatimaye

    Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kitambo. Na kiukweli nimejifunza mengi nimeburudika na nimeona umuhimu wa kushiriki kama member. Hatimaye leo nimefanikiwa . Naomba mnipokee wana JF hasa GTs. Mungu ibariki JF.
Back
Top Bottom