mimi

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mghana Kwesi Appiah ndiyo alikuwa sahihi kuwa Kocha Mpya wa Simba SC kuliko huyu Mzungu wenu ambaye najua hatodumu

    Kwesi Appiah ni.... 1. Mwafrika Mwenzetu 2. Siyo Mgeni kwa Mambo yetu yale ya Uswahili ( Utamaduni ) 3. Mafanikio yake yangekuwa ni Ushawishi wa Moja kwa Moja kwa Waxhezaji wa Simba SC 4. Angejikita zaidi katika Soka la Nguvu la Ghana kuliko la Unyoro nyoro ( Lege Lege ) la Wareno 5. Angekuwa...
  2. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Watoto wamefanana na Mimi najuta kuwakataa

    Habari ndugu zangu Mimi ni kijana mdogo miaka 26 nilimpa ujauzito mwanamke na nilimkana sijawahi kutembea nae na ilipelekea mpaka akaenda kumpa mtu mwingine kwamba ndio baba wa lile tumbo. Sasa roho inanisuta watoto walikua wanafanana na Mimi cha ajabu yule baba feki amekubali kulea na anajua...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

    Muhimu: Uzi huu hauhusishi matatizo ya nguvu za kiume, tayari kuna uzi wake maalum jukwaa la mapenzi Huu ni uzi spesho wa mirejesho yetu tuliowahi kutumia tiba asili na zikatusaidia, yaani sisi ndio tuwe mashuhuda sio kukopi ma kupesti humu. 1. Nilikuwa nakula samaki ghafla kimfupa kikanikomea...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wewe endelea hivyo hivyo kusema " Mimi situmi nauli"

    Kila uamuzi una gharama zake. Gharama za kutotuma nauli ni kubwa maradufu ya gharama za kutuma nauli Wakati wewe ukisema hutumi nauli, akina DeepPond wanatuma nauli ya laki umbali wa nauli ya buku tena na ya kutolea juu. # Ukiona jamaa anaenjoy na demu mkali, jua katuma nauli na ya kutolea..
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mimi nilidhani mnawashtaki Wabelgiji ICC kwa 'Kumuua' Hayati Lumumba kumbe mlichoona cha Muhimu Kwenu ni kurudishwa tu Jino lake?

    Mamlaka ya Ubelgiji imekabidhi jino la kiongozi wa uhuru wa Congo Patrice Lumumba, kwa familia yake katika hafla iliyofanyika Brussels. Jino hilo ni sehemu pekee ya mabaki ya mwili wake ambayo inadhaniwa kuwa bado ipo baada ya kunyongwa na kisha mwili wake kuyeyushwa kwa tindikali mwaka 1961...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC namuhitaji Emanuel Gabriel Okwi Kikosini kama hamuwezi Kuongea nae nitumeni Mimi kwani nammudu na atasaini tu

    Tena fanyeni upesi mtafuteni na zungumzeni nayo Simba SC ya sasa inamuhitaji mno Okwi aje Kuungana na akina Phiri na wengineo na nina uhakiika Kikosi chetu kitakuwa Kizuri kuliko mfikiriavyo. Kama hamumuwezi tafadhali niambieni ili nikamalizane nae kwani Yeye na aliyekuwa Beki wetu Tegemeo na...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee a.k.a V-Money: ijue historia yake, maisha yake, familia ya kishua aliyozaliwa

    UTANGULIZI Wengi na vijana hasa wa kike kwa ujumla wanamtazama vanessa mdee kama role model wa maisha yao kutokana na umaarufu wake mkubwa alioupata kupitia muziki na maisha yake kwa ujumla kwa kuwa mfano wa kuigwa katika jamii hasa katika upande wa tabia iliyojengwa kwa kiasi kikubwa kwa...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumfanya paka niliemfanya anizoee asinizoee, Napata shida ya kuhisiwa mimi ni mshirikina sehemu ya kazi

    Napenda sana wanyama, kwangu ni viumbe wenzetu tulioumbwa nao pamoja isipokuwa sisi tulipewa upendeleo mkubwa wa kuwa na akili na kupewa mamlaka juu yao. Hata nyumbani kwangu nawajali sana wanyama, hata kuku nikimleta kwajili ya kitoweo basi haki yake ya mchele, maji na banda safi ataipata. Ipo...
  9. Sam11

    JamiiForums Tanzania Habari, mimi mgeni humu

    Hello!
  10. Mwanaume wa dar 1

    JamiiForums Tanzania Jamani mimi mgeni naomba ushirikiano wenu

    Habari wakuu nimefurahi kweli kujumuika na nyie nimeshindwa kuandika mengi vidole vinauma kwa kutype I hope tutakuwa pamoja katika mada mbalimbali jukwaani
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

    Salaam Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV "Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mimi nachoweza kusema aliyeruhusu wanyamapori kuuzwa atenguliwe na afunguliwe mashitaka

    Hawa wanyamapori ni urithi wa Taifa letu. Hivyo ingekua vizuri walioruhusu kuwauza wanyamapori wachukuliwe hatua, watolewe kwenye hizo nafasi wawekwe watu wenye weledi na wanaotambua umuhimu wa wanyapori katika uchumi endelevu kwa taifa. Sii hivyo tu wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi endelevu...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo nataka kufunga ndoa ya mitala nafanyaje?

    Habari wanajf Mimi ni mkristo moja kati ya ndoto zangu ni kuwa na wake wawili mmoja muislamu mwingine mkristo. Hii kitu imekuwa ikija kichwani hivi karibuni kwasababu nimekuwa na bahati ya kupata mabinti wa kislamu tena unakuta ni wife material wanastahili kuwekwa ndani na nimekuwa nikidumu nao...
  14. Rehema Chahe2022

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi mimi ni mgeni ninaomba munikaribishe humu jukwaani.

    Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
  15. Poker

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Belinda, sikitiko langu mwenyewe!

    Mimi ni Belinda Wagiri, nilizaliwa yapata miaka 40 iliopita huko kidabaga njombe, wakati huo Iringa. Ni mtoto wa mwisho kwa mzee Wagiri na kikabila mimi ni mhehe. Elimu yangu ya msingi niliipata huko huko kidabaga ila sikumaliza nilikatisha masomo yangu baada ya baba kurehemika. Nilikaa kwa muda...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi hawa ndio wachezaji bora wa muda wote kwa timu za Yanga na Simba na Taifa Stars miaka ya 90s, wewe je?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza...
  17. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muheshimiwa, natafuta njia ya kupotea hata kwa miezi mitatu...

    Wakuu.... Nimeamua kushuka hapa Tinde, nilikua safarini kuelekea huko kijijini kwetu kutoka Daslam nilipo vunja udugu wa dam, baada ya kuona sitendewi haki ugenini. Na baada ya kuuza ng'ombe zangu 12, nikaona niwakomeshe kwa kuenda kulala stendi ili niondoke nyumbani kwao. Sasa lengo na...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mimi ni attention seeker kama siantenishiwi najiantenishika.

    Tumia maneno ya kingereza kwa mfumo huo hapo juu uyachanganye na kiswahili Tuone unyumbulifu wa kiswahili kuja kwa kingereza.🤣🤣🤣🤣uzi tayari.
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kilichopanda bei mtaani kwenu, Mimi nitaanza...

    Habari! Huku mtaani kwetu Chanika unga wa sembe unapanda bei kwa kasi. Kila nikienda mashine kununua unga siku hizi nakutana na bei mpya. Vitu vingi vilivyouzwa jero sasa ni mia 6 na vile vya buku sasa buku na mia 2. Leo nikiwa kazini mjini nikapitia cafe ya karibu nakuta vitafunwa vimepanda...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

    Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid. Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi...
Back
Top Bottom