Tatizo la Maji nchini na hasa jiji la Dar hakuna njia mbadala kumaliza tatizo hili? Mimi napendekeza hili

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,530
93,109
Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama?

Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa interested na mambo mengine kabisa, tena wao walivyo serious maji yao ya bomba hauchemshi ukichota bombani unakunywa ni safi na Salama kwa asimia 100.

Je, ni kweli teknolojia hii ipo? Na kama ipo tunasubili nini?
 
Waache kununua V8/VX/V12 za milioni 400 ,hizo fedha wachimbe visima na kuwe na dams za kuhifadhi maji ya mvua na maji ya visima(reservoirs).

Viongozi wana mishahara mikubwa gari wanunue zao, inakuwaje waziri apewe V12?
 
Sema tatizo la Maji Wilaya ya. Kinondoni Wala siyo nchini Maana Jana nimeenda Tandika Mbagala Mpaka mkuranga Maji mengi tu .Halafu tabia za Matatizo ya Dar es Salaam hasa Kinondoni kufanya janga la kitaifa mkome huku Tarime hatuna shida ya Maji na msitulazimishe tufanane . Mkome kabisa
 
Ficha upumbavu wako.
 
Wewe unajua Jiji la DSM/Kinondoni inachangia kiasi gani cha pato la taifa? Na huko Mara/Tarime mnachangia kiasi gani!

Acha wana DSM walalamike kwa kuwa jiji lao ndiyo kitovu cha shughuli zote za kiuchumi nchini. Licha ya kuwa na wakazi wengi lakini pia shughuli zao za kiuchumi huchangia sehemu kubwa ya pato la taifa.
 
Anajaribu kulinganisha sehemu wanayoishi NG'OMBE na binadamu.......
 
Njia mbadala ni kuwaacha wanachi watumie maji ya visima badala yake nao wanazuia wanaosambaza maji ya visima kwa wananchi sasa sijui wanamkomoa nani hawa viazi.
 
Waache kununua V8/VX/V12 za milioni 400 ,hizo fedha wachimbe visima na kuwe na dams za kuhifadhi maji ya mvua na maji ya visima(reservoirs).

Viongozi wana mishahara mikubwa gari wanunue zao, inakuwaje waziri apewe V12?

Wanapenda viyoyozi na kujisahau wakishapata hivi vyeo
 
Sema tatizo la Maji Wilaya ya. Kinondoni Wala siyo nchini Maana Jana nimeenda Tandika Mbagala Mpaka mkuranga Maji mengi tu .Halafu tabia za Matatizo ya Dar es Salaam hasa Kinondoni kufanya janga la kitaifa mkome huku Tarime hatuna shida ya Maji na msitulazimishe tufanane . Mkome kabisa
You made my evening🤣🤣🤣🙌🙌
 
Makasiriko
 
Back
Top Bottom