mimi

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mimi si binadamu wa kawaida. Tena si Mtanzania Halisi.

    Yaani sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Ukifanya vizuri hata kama juzi tumetukanana nitakusifia kuwa hapo umefanya vizuri. Ukikosea hata kama asubuhi nimeamka na wewe na ni mrembo sana nitakuambia ukikasirika shauri yako mi nimeshakuambia. Hata kama ni jamaa,mshkaji,ndugu au rafiki wa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Yanga SC haikuwa na Wasemaji bora, ila Mimi ndiyo Msemaji niliyekuwa nikitakiwa muda mrefu

    "Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters ) Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna Wasemaji Wawili wa Yanga SC ni Wachawi ( Walozi ) wa Kutukuka tafadhali kuwa makini na haya maneno...
  3. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania X wangu anataka turudiane ila mimi ni mwanaume mwenye msimamo sana

    Wadau habari za muda huu poleni na majukumu na Mungu awabariki katika kazi zenu za mikono. Twende kwenye mada moja kwa moja, kuna mwanamke mmoja mwenye miaka 34 hivi, hajaolewa, mtoto wa Kikurya, tulikutana naye nikamtumia rafiki yake kumtongoza kama utani tuu akakubali. Basi tukawa wapenzi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mimi nisingejipendekeza kwenda Msibani London na kupandishwa DalaDala bali ningepambania hasa Ujenzi wa hili Bomba

    Bunge la Ulaya limemwita Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta ya TotalEnergies, Patrick Pouyanné kujibu madai ya Bunge la Ulaya kwamba Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga Tanzania haukuzingatia tahadhari za kimazingira na haki za binadamu. TotalEnergies ndiyo kampuni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Mimi ni mwanaume umri 37 ni mwl natafuta mschana awe anajipenda na kujiheshimu nipo Dar es salaam 0689104184 siyo uchumba kuoa
  7. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Mimi ni shabiki wa Yanga na Juma Ramadhan Mgunda

    Nimewahi kumuuliza mwandishi na mchambuzi mmoja maarufu, kwanini makocha wengi wa Tanzania hawafundishi soka nje ya nchi, jibu nililopata sikuridhika nalo sana. Alinijibu kuwa ligi yetu imekua sana na ni ligi bora afrika mashariki na kati hivyo makocha wetu wanaona bora wabaki hapahapa nchini...
  8. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Mimi si mgeni

    Habari wakuu Mimi ni mwenyeji JF najitambulisha tu kwaajili ya kufahamu wageni. JF ina majibu ya kila swali katika uhalisia wa maisha ya kitanzania/kiafrika. JAMII FORUM>GOOGLE
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hili tatizo la mtandao wa tigo kusumbua ikifika saa mbili usiku ni mimi au ?

    Nimejaribu kuhamia mtandao huu kwa wiki ya pili sasa lakini sina hamu nao, yaani ikifika mida ya saa mbili usiku spidi ya internet inashuka sana kiasi kwamba hata kucheki video ni kwa kusua sua, mida hii ndio huwa napenda kutumia net lakini kwa hali nayokutana nayo ni mateso tu, si enjoy hata...
  10. Lumbi9

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili marafiki zangu wa kike wasiangukie mapenzini na mimi

    Kiajabu kabisa hili suala linanishangaza, hawa ni marafiki zangu wanajua nina mke pia michepuko, ajabu yake na wao pia huangukia kwenye mlengo huohuo baada ya muda flani, inanitatiza kwakuwa nilishawahi kujaribu kwa wadada wawili kwa vipindi tofauti lakini mwisho wake tulipoteza mapenzi na...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi wafuatao ndiyo Marais wa Afrika waliokuwa na wenye uwezo wa kuhutubia bila kusoma mahala popote

    1. Hayati Baba wa Taifa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 2. Hayati Baba wa Taifa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela 3. Hayati Mkombozi na Baba wa Taifa wa Congo DR (zamani Zaire) Patrice Emelly Lumumba 4. Hayati Baba wa Taifa Ghana Kwame Nkurumah 5. Hayati Rais Benjamin Mkapa 6...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya Ugonjwa wa Tinnitus (Mvumo/kelele masikioni)

    Habari wanaJF, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Kwa sasa ni mwanafunzi wa moja ya chuo kikuu nchini, nilipatwa na tatizo la kupiga makelele au mivumo masikioni mwaka 2016. Nimesumbuliwa sana tatizo hili la masikio jambo ambalo linanipa shida hata nikiwa darasani kuwa na usikivu hafifu...
  13. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ndiye adui wa maendeleo ya vijana ninayelipa kodi

    Utangulizi. Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda. Mamlaka za utawala nazo zimenipokea kwa mikono miwili na kunipatia mazingira rafiki ya kuishi...
  14. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Njia ipi bora ya mimi kupokea malipo kutoka kwa provider hawa

    .
  15. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ni nani

    MIMI ni NANI Ni asubuhi niliyokua naisubiria kwa hamu sana na mwili wangu hauwezi kuvumilia kuonyesha shauku niliyokuwa nayo. Nahisi kama moyo wangu unadunda kwa kasi sana huku viganja vya mikono yangu vikitetemeka kwa furaha. Nashindwa kujizuia “Baba tunaondoka saa ngapi” niliuliza kwa kukosa...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mimi tapaiko na mkeho ni mwanaume usijizime data ukaja inbox.

    Natoa indhari kwà sheria za jf mtu hazuiwi kuweka avatar aipendayo sasa mimi Tapaiko Namkeho ni janadume hivyo tusichukuliane poa nimeweka hilo tako ili muda wote nimuone mke wangu ambae anasoma edinburgh (tamka edinibra) scotland tuliishi thug life tanzania acheni tuinjoi.
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi afanyiwe mpango aende bungeni, huyu Tulia Mimi bado sijamwelewa

    Huyu mtu Joseph Mbilinyi alikuwa mbunge na nusu. Chuma kweli kweli Mbeya ilikuwa nakidume haswaaaa!! Mimi sio chadema ila Sugu nilimuelewa sana! Hapa naona mbwembwe flani hivi za kizamani sana Kwa mbunge wa Sasa kugawagawa vitu. Na kuwapa watu misaada ya fedha au pikipiki sio maendeleo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nilidhani kwenye Upuuzi ni kule Simba SC tu kumbe hata huku kwa Yanga SC ndiyo kuna Upuuzi zaidi?

    Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo hivyo KAZE CEDRIC ataongoza benchi la Yanga SC. Nimeitoa katika Ukurasa wa Twitter wa Mchambuzi...
  19. Dunia Mwalukasa

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mimi ni Sayari

    Hata kulalamika kwamba umeme unakatika kila siku wakati hata ule kidogo uliopo unautumia kuchajia simu ni kufikiri ndani ya kasha. Wachina wanautumia umeme kubadili usiku kuwa mchana ili wafanye kazi sisi tunautumia umeme kuchaji simu ili tusikose kuchat. Umeme ukikatika tunawatukana TANESCO...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Nikifeli mimi imefeli nchi, kama una matatizo na Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tafuta jambo lingine

    Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema "Nikifeli mimi imefeli nchi akifeli rais imefeli nchi" kama una matatizo Mh Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tutafute jambo lingine sio mambo ya nchi
Back
Top Bottom