Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Eric Benedict Hamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL).
Rais Samia alitengua uteuzi wa Hamissi mapema mwezi Julai mwaka huu na nafasi hiyo kuzibwa na Bw...
#Kutoka_mwanasport
Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison.
Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo...
Habari Wana jamii forums
Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii...
Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu.
Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 98% ya Ndoa ambazo Wanandoa Walichaguliwa na Wazazi wao zimedumu na zinadumu.
Ila...
Watu werevu na waliofanikiwa zaidi ninaowajua wanatafuta jumuiya kwa bidii.
Wanaajiri makocha, wanajiunga na vikundi vya mitandao rika, huchukua likizo na marafiki na wafanyakazi wenzao, na kujenga jumuiya yao kikamilifu.
Ninasema hivi kama mtu ambaye kijamii amefanya machache kati ya haya...
Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake???
Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu...
Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale.
Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe...
Mimi nimesha jipambanua, nisipoenda mbinguni mjue ni kwasababu ya uzinzi. Sasa leo ngojeni niwaambie njia ambayo inafanya nisilale njaa.
Kwanza tangu nilivyo gundua kipaji changu cha kuwapa raha mabinti, niliamua kutoka na pisi kali tu, yaani nikiona demu mzuri mwenye hips na tacle nikipata...
Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi.
Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia...
Wakuu, nimegundua kuwa nina kipaji cha hali ya juu cha kufanya mapenzi na wanawake na kuwaridhisha.
Hivi hii haiwezi ingia katika vitabu vya rekodi za dunia kuwa Kuna mwanaume anaitwa Bei Elekezi aliishi karne ya 20 mpaka ya 21 ambaye alikuwa genius wa kuwapa raha warembo?
Najua kuna watu...
Timu haina hata Wiki Moja tokea iende Kimafungu huko Ismailia nchini Misri na hata Kocha Mkuu hajajuana na Wachezaji wake halafu mnalazimisha Mechi Mazoezi ya Timu ya Vijana ya Ismailia na kutoka nayo Sare mnakimbilia 'Kuposti ' Matokeo Mitandaoni na kuanza Kujisifia.
Naipenda sana Simba SC...
Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu zangu mwaka 2005 mwishoni, mimi na madogo fulani wawili wa mtaani tulikuwa safarini tukielekea Kaburu. Mimi nikiwa kiongozi wa safari, tuliamua kupitia njia ya Malawi ambayo ndio nilikuwa...
Marais tuliopo tujitahidi Kuongoza kwa Haki ili nasi Wananchi Wetu wasije 'Kutushinzo Abe' tukiwa tunaigiza Sinema na akina Rambo na Van Dame au tunalima Karafuu au tunakula Samaki za Feri Magogoni au tunakunywa Mvinyo wa Wagogo.
Kulindwa na 'Makomandoo' siyo Kigezo kuwa 'Makomandoo' wengine wa...
Nasikitika sana!
Mimi ni kijana mmoja wapo kati ya vijana wengi walioharibiwa maisha yao!
Siku zote ukweli hujitenga na uongo, sisemi uongo utawala wote wa awamu ya tano nimehangaika sana.
Nilihitimu chuo 2015 kada ya afya!
Kutokana na uhaba wa ajira nilikaa sana kitaa nikifanya mishe mishe...
Habari,
Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa.
Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka...
Kwesi Appiah ni....
1. Mwafrika Mwenzetu
2. Siyo Mgeni kwa Mambo yetu yale ya Uswahili ( Utamaduni )
3. Mafanikio yake yangekuwa ni Ushawishi wa Moja kwa Moja kwa Waxhezaji wa Simba SC
4. Angejikita zaidi katika Soka la Nguvu la Ghana kuliko la Unyoro nyoro ( Lege Lege ) la Wareno
5. Angekuwa...
Habari ndugu zangu
Mimi ni kijana mdogo miaka 26 nilimpa ujauzito mwanamke na nilimkana sijawahi kutembea nae na ilipelekea mpaka akaenda kumpa mtu mwingine kwamba ndio baba wa lile tumbo.
Sasa roho inanisuta watoto walikua wanafanana na Mimi cha ajabu yule baba feki amekubali kulea na anajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.