mimi

  1. Babatunde_seneior

    JamiiForums Tanzania Mimi ni fundi wa magari, natafuta sehemu ya kufanyia kazi Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Mimi ni fundi wa magari nina uzoefu wa takribani miaka nane sasa natafuta sehemu ya kufanyia kazi nipo dar es Salaam. Au kama kuna mtu atakua tayari kufungua ofisi kwaajili ya tire service na baadhi ya spare za magari nipo hapa.
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea weekend hii kati ya mimi na binti alokula nauli yangu wiki mbili zilizopita. Mabinti kuweni na adabu na hela za wanaume rijali, mtaumia

    Iko hivi, wiki mbili zimepita nilikua kiwanja kimoja maarufu sana hapa Dar nikavutiwa na mrembo mmoja nikamuita akanipa namba na nilipotaka kuondoka nikataka kuondoka nae ila akasema amekuja na kampani yake ya mabinti wengine na wana mpango wa kuondoka wote. Nikasema isiwe kesi, basi tutaonana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua mimi ni kwamba Rais Samia yuko mbele ya muda kwenye kuongoza

    Watanzania hawajui mana ya economic diplomacy. Wala hawajui uwekezaji maana yake nini umaskini wao wanaufurahia sana hata kama wanakufa poa tu. Wanaamini sana Rais anayefoka foka ili wapate kwa kudhani kwamba ni relief kwao ili watanzania wote wafanane. Ndo mana Hayati Magufuli alipenda na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa. Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa...
  5. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Wife kaniambia anampenda Mungu kuliko mimi

    Nimefikiria nikate mahitaji yote muhimu ya nyumbani ili apewe na huyo anayempenda. Kweli nimeamini vijana kataeni ndoa
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Muzamiru na Kibu ndiyo walicheza vyema Jana huku Job na Mwamnyeto wakicheza vibaya

    Ukikasirika na huu Ukweli wangu Mchungu GENTAMYCINE toka hapo Nje Kwako ukiona Muuza Dawa za Sumu ya Panya nunua haraka, Korogea katika Kikombe cha Maji kisha Kunywa ili Upumzike kwa Amani na Mazima. ANGALIZO Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na...
  7. Blender

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  8. MGUBA

    JamiiForums Tanzania MIMI SIDHANI KAMA KATIBA MPYAA ITAKUBALIWA TILL KIHAMA

    Kwa maono yangu kwa nchi kama TANZANIA ili kuluusu katiba mpyaa ni lazima iingie kwenye misingi ya dictator action na sio democracy kama hii ya sasa
  9. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Airtel acheni kunitumia jumbe za Upige Mwingi

    Airtel tafadhalini msiniletee ujinga wenu wa meseji za Upige Mwingi, kwenye hizi meseji zenu eti mnanizawadia muda wa maongezi, meseji na mb za intaneti vyote hivi mnanitaka nianze kuvitumia kuanzia saa 6 kamili usiku na kuishia saa 12 alfajiri! Mimi siyo mwanga. Niliponunua simu sikuwahi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa taxi mtandao, natafuta gari ya mkataba

    Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo. Kwa mawasiliano 0786168340
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ningekua mimi Samia ningemshukuru sana hayati Magufuli.

    Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT. Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin, Boss wa Wagner Group ahofiwa kufariki kwenye ajali ya ndege!

    Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi sijapata ongezeko la mshahara hata shilingi 1. Ni Mimi tu au ni wote?

    Habari! Vipi jamani na kwenu imekuwa kama Mimi hamjaoana nyongeza hata Senti moja au ni Mimi tu? Thanks
  14. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme

    Hivi Kile kitendo cha Januari makamba kusaini mkataba wa matrilioni ya fweza kwaajili ya kukarabati miundombinu ya umeme ni mimi peke angu ninae kikumbuka? Hakika kiwango hiki cha fweza ni kingi sana. Mama anaupiga mwingi sana. Hakuna kama mama kwenye mageuzi ya shirika la umeme. Hakika mama...
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Msaada Waifu anataka kumtimua dada wa kazi, mimi sitaki

    Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibia kila kitu. ila mimi sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakini najua nikimwambia si ajabu akadhani nnamtaka huyu dada
  16. Mediaty

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kujua mimi ni mtu aina gani?

    Hello! Matumaini yangu hamjambo kabisa. Naombeni kujua mimi ni mtu aina gani, (Sanguine, Introvert, sigma, alpha n.k) maana nashindwa kujitambua. Ni kijana wa miaka 24, nina sifa zifuatazi ambazo zinanifanya nishindwe kujitambua maana zinanichanganya; Ni muongeaji sana pale ninapokua na watu...
  17. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae

    Kwani siku hizi class na desires mmemwachia shetani awashikie au? Nipo hapa kwenye kituo nasubiria usafiri, kuna wadada wanaongea kuhusu kupata hela na mabwana. Katika maneno yao meeengi, hili la mwisho ndio nilichoka. “Haijalishi mwanaume ni mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae"...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuielewa tabia ya huyu dada kwangu mimi!

    Kuna ofisi moja nimekuwa nikienda tangu siku nyingi kupata huduma, katika hiyo ofisi receptionists ni wanawake. Katika hao receptionists kuna mmoja kila akiona nikizungumza na mwenzake yeyote hapo kwenye desk lao la reception anaonesha ishara za kukasirika. Ingawa kila nikifika tu ofisini kwao...
  19. mwekwa ntandu

    JamiiForums Tanzania Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa. Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata...
  20. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Bandari ni mali ya umma, wananchi tuna haki ya kuhoji

    Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana. Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa. Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
Back
Top Bottom