Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu.

Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta denti wa form 2 ananiambia alianguka kifafa kaamka jamaa hayupo, nampigia jamaa simu hapatikani, Yule denti nilimpa buku 2 akaondoka, baada ya siku 2 jamaa akapokea, katika kumlalamikia ndio nikajua yaliyotokea.

Nakumbuka nilipokuwa chuoni nikiwa Mbeya nilipanga geto kitaa mitaa ya Foresti wakati, kulikuwa na muuza duka tulizoeana na alikuwa ananikopa bila tatizo mambo yakiwa magumu, sasa huyu best siku 1 akanipigia simu usiku "oya kuna dem nataka nijivinjari nae, Kesho asubuhi ukienda chuo nimwachie funguo"

Kweli asubuhi nilimwachia funguo nikaenda chuo kumbe kavusha mwanafunzi wa fomu 2 tena kavaa sale za shule, jamaa kafanya yake, sasa demu akawa anasubiri muda wa kutoka shule arudi kwao, wakalala hapo kusogeza muda ila kumbe huyo denti ana kifafa, kikampanda kika mbeba wee jamaa inafika saa 9 anamwamsha hamki, anapiga simu sipokei nipo class, akiwaza amwambie Maza hausi au watu nje anaona hii kesi, basi wazo likamjia la kukimbia akatoroka akarudi kijijini kwao huko wilaya ya karibu, alifunga chumba aliponipigia nilipatikana akanileta funguo chuoni,

Sasa narudi jioni namkuta Yule demu amesha amka ana msubiri jamaa, nampigia jamaa simu apokei Yule demu Nika mwambia ukweli jamaa apokei simu sijui kitu kumbe anataka ela, nikampa 2000 akasepa.

Baada ya siku 2 jamaa anapiga simu kaka huko vp, nilimwambia anatasakwa na mtendaji na polisi, hakurudi tena!! Alikua anauza duka kubwa, kazi aliiacha na laptop yake aliiacha geto siku anatumia na denti nmebak nayo na katoni 3 za sukali na chumvi 1 na kreti za soda 5 alikua anavusha usiku za bosi wake dukani ili auze

Kwa sasa analima mahindi huko kwao, nilishamwambia anatafuta kesi mahakaman akija kuthubutu kurudi hapo mjini. kuna kipindi alianza kuwa mkali kudai laptop yake nilimpa makavu akiendelra kunidai pc nitaamchomesha, asije kuthubutu tena, mtu unapata wapi nguvu ya kudai pc ya laki 7 wakati umemwachia mwenzako mzigo wa kunusurika chupu chupu lwenda mahabusu miaka 15 ?
 
Nakumbuka nilikua naazima getto la mchizi mara kwa mara kwa ili nikutane na dem wangu, kumbe mwamba anamtamani yule dem. Siku moja jamaa kakutana na dem akamwambia jamaa anakuita anakusubiri getto twende niku escort. Kufika getto mwamba sijui alimfanya nini yule dem ila alikuja analia akisema "rafiki yako alichonifanya Mungu anajua huku analia. Na hajawahi niambia mpaka leo. Hiyo ilikua 2009
 
Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu.

Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta denti wa form 2 ananiambia alianguka kifafa kaamka jamaa hayupo, nampigia jamaa simu hapatikani, Yule denti nilimpa buku 2 akaondoka, baada ya siku 2 jamaa akapokea, katika kumlalamikia ndio nikajua yaliyotokea.

Nakumbuka nilipokuwa chuoni nikiwa Mbeya nilipanga geto kitaa mitaa ya Foresti wakati, kulikuwa na muuza duka tulizoeana na alikuwa ananikopa bila tatizo mambo yakiwa magumu, sasa huyu best siku 1 akanipigia simu usiku "oya kuna dem nataka nijivinjari nae, Kesho asubuhi ukienda chuo nimwachie funguo"

Kweli asubuhi nilimwachia funguo nikaenda chuo kumbe kavusha mwanafunzi wa fomu 2 tena kavaa sale za shule, jamaa kafanya yake, sasa demu akawa anasubiri muda wa kutoka shule arudi kwao, wakalala hapo kusogeza muda ila kumbe huyo denti ana kifafa, kikampanda kika mbeba wee jamaa inafika saa 9 anamwamsha hamki, anapiga simu sipokei nipo class, akiwaza amwambie Maza hausi au watu nje anaona hii kesi, basi wazo likamjia la kukimbia akatoroka akarudi kijijini kwao huko wilaya ya karibu, alifunga chumba aliponipigia nilipatikana akanileta funguo chuoni,

Sasa narudi jioni namkuta Yule demu amesha amka ana msubiri jamaa, nampigia jamaa simu apokei Yule demu Nika mwambia ukweli jamaa apokei simu sijui kitu kumbe anataka ela, nikampa 2000 akasepa.

Baada ya siku 2 jamaa anapiga simu kaka huko vp, nilimwambia anatasakwa na mtendaji na polisi, hakurudi tena!! Alikua anauza duka kubwa, kazi aliiacha na laptop yake aliiacha geto siku anatumia na denti nmebak nayo na katoni 3 za sukali na chumvi 1 na kreti za soda 5 alikua anavusha usiku za bosi wake dukani ili auze

Kwa sasa analima mahindi huko kwao, nilishamwambia anatafuta kesi mahakaman akija kuthubutu kurudi hapo mjini. kuna kipindi alianza kuwa mkali kudai laptop yake nilimpa makavu akiendelra kunidai pc nitaamchomesha, asije kuthubutu tena, mtu unapata wapi nguvu ya kudai pc ya laki 7 wakati umemwachia mwenzako mzigo wa kunusurika chupu chupu lwenda mahabusu miaka 15 ?
dah kuna Mwanangu mmoja alimuazima chumba baada ya mwanetu mmoja kuoa mwana life limegoma sasa kutoka kashindwa...nimemshauri jamaa yangu nimemwambia pambana upate kwingine hapo muachie jamaa..maana hiyo ni lawama ya maisha yote ukimng'oa jamaa atakuja kusimulia Hadi watoto wake...ni lawama hiyo.... shemeji akimuona tu jamaa anaanza kusema shem maisha yameshikana kabisaa hata hatujui tufanyaje....na kweli mwana issues zimekuwa tight kiniuma ..dah aseee
 
Mambo ya kuazima vyumba yalishawahi nigharimu urafiki.

Enzi za ujana nilipanga servant quarter. Nilikuwa na mshkaji wangu ana mke na watoto ila alikuwa mtu wa kupenda chini sana.

Alikuwa na demu wake wa kizulu ambae alikuwa anamfukuzia kitambo na kashaliwa hela sana.
Usiku mmoja hatimae demu akakubali kwenda kumpa mshikaji utamu.

Ilibidi jamaa aje kwangu maana asingeweza kumpeleka kwake na huko tulipokuwa ni tofauti na huku, uwepo wa lodge za kiholela ni nadra.

Ilibidi nijiandalie virago vyangu sitting room nimpishe bro na demu wake.
Kumbe kipindi chote mke wa jamaa alikuwa anamfuatilia mshkaji. Dk 5 nyingi toka walipoingia mke akaja kugonga mlango.

Ili kuepusha msala ikabidi jamaa amkane demu na mimi nikajifanya ndio demu wangu. Mshkaji akaondoka na mkewe kaniachia demu wake.

Ilikuwa kipindi cha winter, demu analia kwa maumivu ya kusalitiwa, nikiwa kama shemeji mtiifu ikabidi nimfariji kwa kujifunika nae blanket moja huku nambembeleza.
Kilichofuata kubembelezana kwetu kukaishia kubembelezana kwa viungo vyetu vya uzazi.

Upande mwingine jamaa anatuma sms mfulululizo kuwa nimpe demu nauli asepe kutokujua tayari tunafanya yetu.

Kulipokucha jamaa asubuhi sana akaja kwangu akapishana na demu kavaa tshirt yangu anaondoka halafu demu hana hata time nae, kanuna tu.

Bro akapaniki kuwa nimemgongea, nilijitetea sana kuwa mvua ilikuwa kubwa na usiku mwingi nisingeweza kumuondosha demu usiku ule.

Kilichokuja kuharibu kabisa walikutana wenyewe siku kadhaa mbele mshkaji akakuta msg zangu na demu katika simu ya demu tukipanga miadi ya kulalana tena huku tukisifiana kwa game yetu ya kufarijiana.

Itoshe kusema mimi na jamaa ni maadui mpaka leo hii takriban miaka 13 mbele.
 
Sijui mnawezaje fanya uchafu huo katika kitanda unacholalia aletwe mwanamke usiyemjua, au kuwa na uhusiano naye.

Kuna wakati tunakutwa na mabalaa na hatujui sababu ya hayo mabalaa kumbe ni mambo kama haya, analetwa mchawi analala hapo.

Hii ni tabia ya hovyo sana, Kama kuna mtu amewahi lala na mwanamke kitandani mwangu, labda mke wangu na kabla sijaoa Hayupo.
 
Mambo ya kuazima vyumba yalishawahi nigharimu urafiki.

Enzi za ujana nilipanga servant quarter. Nilikuwa na mshkaji wangu ana mke na watoto ila alikuwa mtu wa kupenda chini sana.

Alikuwa na demu wake wa kizulu ambae alikuwa anamfukuzia kitambo na kashaliwa hela sana.
Usiku mmoja hatimae demu akakubali kwenda kumpa mshikaji utamu.

Ilibidi jamaa aje kwangu maana asingeweza kumpeleka kwake na huko tulipokuwa ni tofauti na huku, uwepo wa lodge za kiholela ni nadra.

Ilibidi nijiandalie virago vyangu sitting room nimpishe bro na demu wake.
Kumbe kipindi chote mke wa jamaa alikuwa anamfuatilia mshkaji. Dk 5 nyingi toka walipoingia mke akaja kugonga mlango.

Ili kuepusha msala ikabidi jamaa amkane demu na mimi nikajifanya ndio demu wangu. Mshkaji akaondoka na mkewe kaniachia demu wake.

Ilikuwa kipindi cha winter, demu analia kwa maumivu ya kusalitiwa, nikiwa kama shemeji mtiifu ikabidi nimfariji kwa kujifunika nae blanket moja huku nambembeleza.
Kilichofuata kubembelezana kwetu kukaishia kubembelezana kwa viungo vyetu vya uzazi.

Upande mwingine jamaa anatuma sms mfulululizo kuwa nimpe demu nauli asepe kutokujua tayari tunafanya yetu.

Kulipokucha jamaa asubuhi sana akaja kwangu akapishana na demu kavaa tshirt yangu anaondoka halafu demu hana hata time nae, kanuna tu.

Bro akapaniki kuwa nimemgongea, nilijitetea sana kuwa mvua ilikuwa kubwa na usiku mwingi nisingeweza kumuondosha demu usiku ule.

Kilichokuja kuharibu kabisa walikutana wenyewe siku kadhaa mbele mshkaji akakuta msg zangu na demu katika simu ya demu tukipanga miadi ya kulalana tena huku tukisifiana kwa game yetu ya kufarijiana.

Itoshe kusema mimi na jamaa ni maadui mpaka leo hii takriban miaka 13 mbele.

Huna kosa, jamaa pumbavu huyo, kuwa tu adui naye maana hana akili. Ila nawewe kwa nini utake kula tena?
 
Mbuzi kafia kwa muuza supu😂😂😂.

Sawa sawa kabisa, hukukosea, usingemla huyo demu angekuona boya.
 
Sio kutaka kula tena tu bali niliendelea kula tena na tena.

Nafsi yangu haikunisuta sababu hakuwa mkewe pia demu alikuwa mzuri mno kumuacha kirahisi rahisi.

But you are betraying friendship, unless ungekuwa unaona anafaa kuoa, mimi siwezi kutembea na mtu ambaye najua 100% anatembea na mtu mwingine, leave alone a friend, that meana your penis have been meeting in her vagina, uchafu.
 
There are 2 ways to look at it, either I have betrayed our friendship or I have saved his marriage by not letting him cheat on his wife.

As for our penises meeting in her vagina, go back and read my comment, the night they came to my place would have been the 1st time they would have had sex had the wife not intervened.

For as long as umetembea na wanawake ambao si bikra basi elewa kuwa ushatembea na wanawake wengi tu wanaotembea na wanaume wengine. Ubaya zaidi K haina mileage kusema uta track katembea na wangapi.

Anyways to each his own, I have no regrets in what I did, it's an incident of over a decade ago and life goes on.
 
Siwez mwazima mtu get ata siku moja yaani akatombane kwenye kitanda changu af na mimi nije nilale no bi uchafu ulio pitiliza
 
Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu.

Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta denti wa form 2 ananiambia alianguka kifafa kaamka jamaa hayupo, nampigia jamaa simu hapatikani, Yule denti nilimpa buku 2 akaondoka, baada ya siku 2 jamaa akapokea, katika kumlalamikia ndio nikajua yaliyotokea.

Nakumbuka nilipokuwa chuoni nikiwa Mbeya nilipanga geto kitaa mitaa ya Foresti wakati, kulikuwa na muuza duka tulizoeana na alikuwa ananikopa bila tatizo mambo yakiwa magumu, sasa huyu best siku 1 akanipigia simu usiku "oya kuna dem nataka nijivinjari nae, Kesho asubuhi ukienda chuo nimwachie funguo"

Kweli asubuhi nilimwachia funguo nikaenda chuo kumbe kavusha mwanafunzi wa fomu 2 tena kavaa sale za shule, jamaa kafanya yake, sasa demu akawa anasubiri muda wa kutoka shule arudi kwao, wakalala hapo kusogeza muda ila kumbe huyo denti ana kifafa, kikampanda kika mbeba wee jamaa inafika saa 9 anamwamsha hamki, anapiga simu sipokei nipo class, akiwaza amwambie Maza hausi au watu nje anaona hii kesi, basi wazo likamjia la kukimbia akatoroka akarudi kijijini kwao huko wilaya ya karibu, alifunga chumba aliponipigia nilipatikana akanileta funguo chuoni,

Sasa narudi jioni namkuta Yule demu amesha amka ana msubiri jamaa, nampigia jamaa simu apokei Yule demu Nika mwambia ukweli jamaa apokei simu sijui kitu kumbe anataka ela, nikampa 2000 akasepa.

Baada ya siku 2 jamaa anapiga simu kaka huko vp, nilimwambia anatasakwa na mtendaji na polisi, hakurudi tena!! Alikua anauza duka kubwa, kazi aliiacha na laptop yake aliiacha geto siku anatumia na denti nmebak nayo na katoni 3 za sukali na chumvi 1 na kreti za soda 5 alikua anavusha usiku za bosi wake dukani ili auze

Kwa sasa analima mahindi huko kwao, nilishamwambia anatafuta kesi mahakaman akija kuthubutu kurudi hapo mjini. kuna kipindi alianza kuwa mkali kudai laptop yake nilimpa makavu akiendelra kunidai pc nitaamchomesha, asije kuthubutu tena, mtu unapata wapi nguvu ya kudai pc ya laki 7 wakati umemwachia mwenzako mzigo wa kunusurika chupu chupu lwenda mahabusu miaka 15 ?
Basi vifafa vinatofautiana, wengine vinakuwa vya muda mfupi tu, Ila inataka ujasiri kweli Kama hujawai kuwaona wagonjwa wa matatizo hayo unaweza kimbia, na baada ya kumuwekea peni mdomoni au kumgeuza asilalie pua, wengi wanatoka nduki.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2012 nilitembelewa na rafiki yangu gheto, kibaya zaidi alinambia kuwa yuko around so atafika kubadili nguo then aende misere nje, hiyo ilikuwa ni kama kwenye muda wa saa moja usiku, kwahiyo nikaendelea na mishe zangu kufika saa tatu usiku nikaenda zangu gheto lengo iliknikajipumzishe lakini kufika nje ya chumba nikaanza kusikia sauti za kimahaba (mzagamuano). Dah aisee! Ikabidi nimpigie simu mshikaji ili nijue kama ni yeye au muhuni mwengine kaingia ghetoni kwangu. Nilipiga sana simu pasipo majibu ndipo nikaamua nimpe muda Nikasubiri hadi alipotoka, aibu niliona mimi maana nilipoingia ndani nilikutana na kondomu zilizotumika zaidi ya 10, nilijiuliza sana lakini kilichonisikitisha zaidi ni uchafu na kushindwa kwake kufanya usafi. Ilinikera sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom