Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

Jugado

JF-Expert Member
Oct 28, 2021
1,449
3,135
Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe.

Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo au supu ya buku!

Twendeni kwenye mada humo ndani wengi wana familia zao isipokua dada fulani anaigiza kwenye tamthilia (Nilijua hivyo kupitia wife).

Huyu dada ni mzuri sana ana Kila kitu na hajawahi leta mwanaume pale kwake. Mara moja moja namuona akipiga gambe.

Sasa issue ni hivi nilimfukuzia miezi zaidi ya sita ni bila bila tena alinitukana matusi mazito na hataki kuongea na Mimi hata luku nikimlipia hataki!

Sasa jana kanitext nimpleke live band ijumaa hii ila hataki uhusiano wa kimapenzi!!!

Sasa napanga kumtoa ila nasita nitafaidika vipi? Yaani nikatumie kama laki tatu hivi then nitokee bila bila. Wazee wa kazi hii imekaaje Sina uzoefu sana na mademu wa njee.
 
Slay queen wanapenda kuendeleza Maisha yao ya Hadhi Kwa gharama za wengine.

Niamin, utampleka na Bado hatokupa Mbususu, Kwa sababu hujawah Kumfanya avutiwe na wewe kingono.

Ipo hivi, Kwa sekundi kumi za mwanamke kuzungumza nao, Huwa tayari wameshamua kama ukiwatokea, watakupa Mbususu au hawakupi !!..

Sasa fanya Ivi, mpeleke Laivu band, alafu hakikisha UNAMLEWESHA POMBE VYAKUTOSHA.

AKISHALEWA, NENDA UMPIGE MITI.
 
Loh hi mbona hatari nitafanya Kila namna akubali mwenyewe tena siku hiyo hiyo! Hiyo ya kumla kisa kalewa mbona naona nitajisikia vibaya
 
IMG_0140.jpg
 
Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe.

Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo au supu ya buku!

Twendeni kwenye mada humo ndani wengi wana familia zao isipokua dada fulani anaigiza kwenye tamthilia (Nilijua hivyo kupitia wife).

Huyu dada ni mzuri sana ana Kila kitu na hajawahi leta mwanaume pale kwake. Mara moja moja namuona akipiga gambe.

Sasa issue ni hivi nilimfukuzia miezi zaidi ya sita ni bila bila tena alinitukana matusi mazito na hataki kuongea na Mimi hata luku nikimlipia hataki!

Sasa jana kanitext nimpleke live band ijumaa hii ila hataki uhusiano wa kimapenzi!!!

Sasa napanga kumtoa ila nasita nitafaidika vipi? Yaani nikatumie kama laki tatu hivi then nitokee bila bila. Wazee wa kazi hii imekaaje Sina uzoefu sana na mademu wa njee.
Kati yenu kuna mmoja kuanzia kichwani hadi kiunoni ana umbo kama la chupa ya bia.
 
Mvulana mdogo anakwenda kutumika kuvuta attention ya mwanaume Fulani huko live band,(take care ,be smart,acha uzinivu una mke nyumbani na anakupenda sana sana,uki

Mvulana mdogo anakwenda kutumika kuvuta attention ya mwanaume Fulani huko live band,(take care ,be smart,acha uzinivu una mke nyumbani na anakupenda sana sana,ukiugua Yuko tayari kukupa Figo

Kati yenu kuna mmoja kuanzia kichwani hadi kiunoni ana umbo kama la chupa ya bia.
Which means what
 
Achana nae anajiona staa kisa muigizaji
Ana wewe unataka uanze maigizo huku ukijua hakukubali.
Ujinga pro max.
Hiyo 300K tumia kumla
Umesema unakaa uswazi take away ?
 
Back
Top Bottom