mimi

  1. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Nionavyo Mimi: Huwezi kuwa na mwanamke mkali wasikupigie

    Najiuliza kwanini? Yaani anaweza kuwa mwaminifu mwanzoni, ukampa Kila kitu na bado wanapigwa na watu. KULIKONI?
  2. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ujinga tulioufanya mimi na rafiki wa Ma Mdogo wangu unanitesa sana

    Serious Issue Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie Siku ya pili tokea mapokeo yangu, kulikuwa na sherehe ya birthday kwa rafiki wa Ma Mdogo wangu, basi bhana...
  3. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

    Sikubaliani na kanisa kuhalalisha dhambi badala ya kukema dhambi. Kuanzia leo mimi si Mkatoliki tena, ninamkataa shetani na kazi zake zote. Wasinizike wala kunipa huduma zozote wanazodhani ni za kiroho. Sitahamia kanisa lolote, bali nitaendelea kumuabudu Mungu katika roho na kweli Waefeso...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Natamani kila mpangaji angekuwa kama nilivyokuwa mimi

    Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi. 1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima. 2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo...
  5. Muki1

    JamiiForums Tanzania Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana. Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Jana nimepigwa ngumi na mke wangu na amesema anajuta kuolewa na mimi

    Hivi nifanyeje? Na ukizingatia nimetoa mahari kubwa na kuna kiasi bado na nadaiwa kule kwao na ukizingatia mwanamke mwenyewe ndiyo huyu yaani nilivyotegemea na niliyokutana nayo ni vitu viwili tofauti Kosa ni kumuambia kwanini unamtumia picha zako mwanaume mwingine? Aisee akanyanyuka juu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda binti wa chumba cha jirani

    Wakuu nimwambie au nimyuti tu nisije nikalizua, kuna mtoto wa kike chumba Jirani na Mimi namzimikia kinoma naogopa kufikisha ujumbe kwakua ni nyumba moja na wife asije akajua ukawa ugomvi. Au mfano akinichomolea itakuaje naombeni ushauri nife na tai shingoni au nijilipue kiunaume tu.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini mimi si Mtanganyika bali Mtanzania

    Tanganyika ilianzishwa chini ya wakoloni wa Kiingereza mnamo mwaka 1921 mara baada ya vita ya Kwanza ya dunia kuisha. Nchi hii ambayo toka ilipochukuliwa na Mjerumani mwaka 1885 iliitwa German East Africa Colony. Hii ikimaanisha Kabla ya hapo hatukuwa na Tanganyika wala hakukuwepo nchi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa na tabia ya mkono wa birika? Natoa sana kwa watu na nahonga sana. Uhongaji utanifilisi

    Wakuu habari za jioni. Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani. Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu. Hili sio kwa wanawake tu, hata...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM naomba unipendekeze kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa

    Astrid.
  12. Doto12

    JamiiForums Tanzania Mimi almaarufu madevu, huu uchebe wa vijana wa siku hii mimi basi imetosha

    Ufugaji wa ndevu ninaamini tuliuanza miaka kadhaa. Kabla yetu walifuga wazee wetu. Nimeamua kukata na kuwa na kidecu na mdogo kama uch.i wa mbuzi. Kunyoa ndevu zote kunafanya unakuwa sura kama ya mbuzi. Mdogo na kidevu ndio kabsaaa. Siku hzi vijana wameiga yaani inaboa na haivutii nahisi tangu...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

    Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga. Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja. Kwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Mimi nilikataa Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kujengwa Jangwani, Sikuwa na Madaraka ya Kuzuia

    Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliefanana jina la mama yangu ama mama mdogo wangu hachomoki na ananipenda kweli ni hadi mimi nimwache, kuna nguvu za kiroho ?

    nikiwa shuleni kulikuwa na binti anafanana na jina la mamdogo wangu, sijisifii lakini kiukweli alikuwa anafanya sana jitihada tuwe karibu japo nilikuwa domo zegei, alishajaribu kunipa vizawadi kadhaa, kunitetea mara kadhaa, n.k japo nilimuangusha sana wengine wakamchukua Nilipoanza chuo...
  16. Objective football

    JamiiForums Tanzania Washkaji wamejipata mimi niko vilevile

    Nimerudi nyumbani huu mwisho wa mwaka kama ilivyo jadi yetu tulio wengi. Nimewakuta Baba na mama hali si shwari, nikicheki madogo all eyes on me, na mmoja anashughulikia mikopo ya elimu ya juu mwaka huu ila mambo bado tafrani. Juzi tulivyoenda ibadani kukatokea mchango wa ujenzi na ukarabati...
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Sikujua kichaa anayelala nje ya jengo langu ni mpelelezi anayemtafuta gaidi wa Kizungu niliyemuoa bila mimi kujua ni gaidi

    SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳🔥 Sehemu ya Kwanza ( 1 ) *************** KILA Mtu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Ilikuwa takribani siku nne zimekatika tangu nianze kumuona mwanaume kichaa nje ya jumba langu akiwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Na Mimi nataka kuwa Mfalme wa hili Jukwaa la Michezo hapa kama GENTAMYCINE sijui nitaweza? Mniombee....

    Najua GENTAMYCINE ni Mwamba ila popote alipo ajue kuwa nami MINOCYCLINE sasa nimekuja rasmi Kuupindua Ufalme wake hapa Jamiiforums kwa kuja na Taarifa za Ndani, Uchambuzi na Kulichangamsha Jukwaa na naamini mpaka atoke BAN yake atakuta Mimi sasa ndiyo Natamba hapa na hata Tuzo ya mwaka huu...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia mafanikio yangu?

    Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia maisha na haya mafanikio yangu kidogo niliyonayo afya njema aliyonipa Mungu. Eti kwakuwa mzazi au mlezi wangu hana, mafanikio kama ya kwangu. Huu kwangu ni ubinafsi tu na ninaamini kila mmoja ana bahati zake katika safari yake ya maisha. Mfano Diamond v/s...
  20. Objective football

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

    1.Nurdin Bakari 2.Abdi Kassim Babi 3.Joseph Kaniki 4. Niko Nyagawa 5. Fredrick Mbuna 6. Juma Jabu JJ 7. Meshack Abel 8.Shamte Ali 9. Said Bahanuzi 10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa 11.Mrisho Khalfani Ngasa Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
Back
Top Bottom