mgao wa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Doto Biteko kapelekwa Wizara ya Nishati kipindi cha Mgao wa umeme, achunge yasimkute ya Lowassa

    Kumpeleka Ndugu yetu Biteko pale Nishati na kumwondoa Makamba kipindi ambacho Makamba amevurunda siyo picha nzuri kwa mwanetu huyu. Sisi watu wa kanda ya ziwa tunazungumza na miungu yetu mvua inyeshe shetani asipate nafasi yakumwaibisha Mwanetu. Hizi royal family za Pwani si familia nzuri sana...
  2. U

    Maharage Chande, mgao huu wa umeme wa mwezi wa saba haukubaliki

    Kwanza nianze Kusema kuna Mgao wa umeme. Narudia tena kuna Mgao wa umeme. Napenda kuhoji kwanini Chande Maharage hajatangaza huu mgao wa umeme, ni mara chache mno tunakuwa na mgao wa umeme mwezi wa saba, tunategemea kuwa na mgao kuanzia mwezi wa 10 maana ndo kiangazi kikali kinaanza. Huyu...
  3. Wakili wa shetani

    Tetesi: Je, kuna mgao wa umeme? Mbona kama umeanza mapema sana mwaka huu?

    Mwezi wa saba ni mapema sana kuanza kugawa umeme. Mwezi wa kumi sijui itakuwaje.
  4. aka2030

    Huu mgao wa umeme ni rasmi?

    Huku nilipo wanakata umeme kila kutwa nauliza je ni mgao? Halafu kama maji mbona mvua bado zinanyesha
  5. ChoiceVariable

    TANESCO: Pamoja na mvua kunyesha bado maji hayatoshi kuzalisha umeme wa uhakika

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini bado hazijasaidia kutoa kiwango cha juu cha maji kinachoweza kupata umeme wa uhakika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Shirika hilo Elihuruma Ngowi, wamekagua mabwawa mbalimbali ya...
  6. Black Opal

    TANESCO Tegeta mnakata na kurudisha umeme mara nne ndani ya dk 1, mnataka mtuunguzie kila kitu?

    Mnakata na kurudisha umeme ovyo oyvo namna hii, si mzime kabisa tujue moja? Mvua yenyewe iko wapi kwa kutufanyia michezo hii? Yaani manyunyu haya ndio matukatia umeme namna hii? Ingekuwa mvua kubwa iliyoambatana na radi si ndio tungepata na shoti nyumba zikawaka moto? Mnapata na kisingizio...
  7. maukijunior

    Tabora umeme unakatika sana, kuna mgao wa umeme?

    Wakuu habari za muda huu, kwanza poleni sana na majukumu binafsi sio mwandishi mzuri saana lakini ntajitahidi kafli niwezavyo kuwakilisha ujumbe huu. Wiki iliyopita nilikua mkoani Tabora kuna mitikasi fulani nilikua nafanya ili mkono uende kinywani, wakati nimefika tu siku ya kwanza nimeamka...
  8. Kwitogelo

    MGAO WA UMEME BADO UNAENDELEA?

    Ni wiki sasa na siku kama tatu hivi hapa DSM,ubungo maeneo ya external,riverside,mabibo,NIT,mansese na njia ya kuelekea kimara kuna shida sana ya umeme. Usipokatika jioni basi utakatika asubuhi. Au kuna matengenezo yanaendelea ambayo hayana taarifa kwa umma?
  9. T

    Mgao wa umeme unaoendelea unasababishwa na nini?

    Inasikitisha sana kuona bado kuna mgao wa umeme wakati tumeambiwa maintenance imekamilika na mvua zimeshajaza mabwawa, sasa huu mgao unaoendelea unasababishwa na nini?
  10. saidoo25

    Waliofilisiwa biashara zao kwa mgao wa umeme 2022 watafidiwa na nani?

    Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wamefilisika na biashara zao nyingi zimekufa na kupoteza wateja hasa zile biashara zilizokuwa zinategemea nishati ya umeme chini ya uongozi wa Waziri Januari Makamba(MNEC). Watu wa biashara za saluni za kike na za kiume...
  11. saidoo25

    Mgawo wa umeme ulivyowaachia umasikini watanzania 2022

    12 Septemba 2021 ni siku ambayo Tanzania iliingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi baada ya kuteuliwa Januari Makamba(MNEC) kuwa Waziri wa Nishati. Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wa hali ya chini wamefilisika na wengine biashara zao nyingi zimekufa na...
  12. Mystery

    Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande asema pamoja na kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Nyerere, watanzania tutegemee migao zaidi!

    Nilishangazwa Sana na kauli aliyoitoa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande, eti pamoja na mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere, kukaribia kukamilika, watanzania tutegemee mgao zaidi wa Umeme, Kwa kuwa mahitaji ya Umeme wa nchi hii ni Megawatt 60,000😎 Maneno hayo aliyatoa katika mjadala...
  13. Mwl Athumani Ramadhani

    Mgawo wa umeme na maji na tozo mbalimbali zimeamua matokeo ya NEC

    Nimetafakari kwa kina matokeo ya NEC nikaona umeme, maji na tozo ndio sababu kuu zilizotuletea matokeo hayo. Nawashukuru wajumbe kwa matokeo mazuri sana! Wahusika wajitafakari kwa mstakabali wa maisha yao ya kisiasa ndani na nje ya chama! Mungu ibariki Tanzania nchi yetu.
  14. Idugunde

    Ni aibu kwa chama tawala chenye asili ya ukombozi kuwa na Wazee kama Yusuph Makamba ambao hawana huruma juu raia wanaoteswa na tozo na mgao wa umeme

    CCM ni chama kikubwa hapa Africa na dunia nzima. Bahati nimezunguka mahala pengi hapa duniani. Ulikiwa ukienda Botswana, Zimbabwe au hata South Afriaca ulikuwa ukikutana na raia wa huko lazima wakuukize juu ya CCM ya akina Hashim Mbita (RIP) maana kilikuww ni chama kilichojaa utu na nia thabiti...
  15. The Burning Spear

    Asikwambie mtu, Mgao wa umeme wamiliki wa viwanda wanaisoma Namba

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kwa ufupi, hali ni mbaya sana kwa wamiliki wa viwanda Tanzania tangu kuondoka kwa uncle mambo yamebadilika sana. inawezekana baadhi ya wawekezaji walifurahia kuondoka huyu mwamba ila wakati wanaopitia kwa sasa mungu mwenyewe anajua. iko ivi viwandani huwa...
  16. B

    TANESCO: Mvua zikiendelea kunyesha katika mabwawa, changamoto ya upungufu wa umeme itapungua

    Changamoto za Upungufu wa umeme Kupatiwa Ufumbuzi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Bw. Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari leo December 2, 2022 kuhusu hatua za muda mfupi na muda mrefu kumaliza upungufu wa umeme . Mkurugenzi ameongeza kuwa mvua zinazonyesha muda huu nchini bado...
  17. Kyambamasimbi

    Unapolalamika mgao wa umeme jiulize wewe una miti mingapi kwako ya kuvuta mvua ili mito isikauke na kupata umeme?

    Ifike mahali sio kitu Ni kulaumu Serikali na kusahau kwamba wewe ndie muuaji maarufu wa miti na zaidi unakuta kwako hauna mti hata mmoja. Tubadilike mama Samia haleti mvua bali tutunze mazingira tutunze asili sio kuangamiza miti na kuamini kuwa ni uchafu.
  18. MakinikiA

    Kwahiyo Watanzania tumekubali mgao wa umeme na maji ndiyo mfumo wa maisha yetu?

    Hakika hii nchi takatifu sana kwa mazito niyaonayo Mimi lakini Watanzania masikini na unyonge wao hawana la kusema hata kumtaka MTU flani aondoke madarakani hakuna. Kama haya yanavumilika basi nchi ni takatifu sana. Kuna nchi mkate ulipanda bei wakaamua kwenda kula mikate ya kiongozi wao. Mimi...
  19. aka2030

    Sehemu ambazo hazipaswi kuwa na mgao wa umeme

    1. Hospitali 2. Kambi za jeshi 3. Vituo vya polisi 4. Magereza 5. Public installation
Back
Top Bottom