mgao wa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kukosa umeme kutwa nzima kwa siku kunaathiri vipi shughuli zako za kujipatia kipato?

    Wakuu, Tunajua "Upungufu wa Umeme" bado upo, na ratiba inafuatwa vilivyo! Wengi wetu shughuli za kutupa michuzi ziko mchana na kwa kiasi kikubwa zinategemea umeme. Hii inafanya kukosekana kwa umeme kwa siku nzima kutupa hasara kubwa na kwa namna fulani kuturudisha nyuma kwenye harakati zetu...
  2. Lord denning

    Bila kufanya haya, tusahau suala la kuondokana na Mgao wa Umeme

    Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii. Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti zinazohusu masuala ya Mazingira napenda kuwaambia hawa watu wakiwemo viongozi wetu kuwa inawezekana wakawa...
  3. Erythrocyte

    Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  4. Lord denning

    Malalamiko ya kuendelea mgao wa Umeme! Kumbe shida sio January Makamba?

    Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta. Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua. Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona...
  5. C

    Hizi mvua zote kwanini bado TANESCO wanakata umeme?

    Au ni mimi tu siyo sielewi chanzo cha huu mgao unaondelea sasa mwezi Novemba umeanza? Sasa hivi wamekata tena umeme na utarudi baada ya giza. -
  6. The Burning Spear

    Pamoja na ujio wa Dotto Biteko Makali ya Mgao wa Umeme Yameongezeka

    Makamba alitolewa Tanesco kupunguza makelele tu. Ila kiuhalisia sasa hivi mgao wa umeme ni mkali kupita kiasi.. Swali linabaki pale pale bwana yule aliwezaje kutuepusha na hii dhahama...Samia is a failure. Nawashangaa sana wanaowaza kumwongezea muda.
  7. P

    Takwimu za athari za mgao wa umeme zikoje?

    Taifa letu limekuwa kwenye changamoto ya kutokuwa na umeme wa uwakika toka enzi na enzi. Serikali imefanya jitihada kubwa kusambaza umeme mijini na vijijini. Tuwapongeze viongozi kwa hilo. Kutokana na maendeleo ya teknolojia, uchumi, rasilimali tulizonazo, maendeleo haya hayaendani na ukubwa na...
  8. comte

    Mgao wa umeme: Tumeambiwa mitambo, je mafundi tunao?

    Walitwaliwa miongoni mwetu, tumesoma nao katika vyuo vyetu. Je, wafanyakazi na mafundi wetu wa TANESCO wana uwezo na weledi wa kuiendesha, kuitunza na kuikarabati miundo mbinu ya umeme? Au nao wana mchango wao katika janga hili la mgao wa umeme kama ukame na mitambo?
  9. mtwa mkulu

    Kumbukizi ya Dkt. Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme

    Kumbukizi ya Dr Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme.. unaniamsha unajua nimelala vipi uhuni huo.
  10. Roving Journalist

    Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  11. Mapensho star

    Mgao wa umeme ni moja ya mambo yaliyofanya CCM ichukiwe jiji la Dar Awamu ya Nne

    Jiji hili shughuli nyingi za uchumi zinategemea nishati hii ya umeme kukosekana kwa umeme kunaenda kumuathiri mwananchi moja kwa moja kwanzia mama ntilie, wauza juice, kazi za kulanda mbao,magarage,wenye biashara za saloon na barbershop hizi ndio biashara pendwa jiji hili na zimetapakaa kila...
  12. Hukumuzuku

    Kesho kutakuwa na Mgawo wa Umeme Tena Bahari Beach, Ununio, Boko, Mbweni, Bunju?

    Ukiwapigia TANESCO Call Center watakwambia ni "emergency" imetokea kwenye vituo vyao vya kusambaza umeme, na mafundi wao wabobezi wanalishuglikia tatizo. Wakimaliza marekebisho ya dharura umeme utarudi muda wowote. Wadau walipa LUKU tujiandae kisaikolojia kwa "emergency" ya kesho ya umeme...
  13. S

    Ratiba ya mgao wa umeme

    Wadau Mimi nina mashaka Sana na suala la mgao/upungufu wa umeme? Hivi Kuna mgao mkali au kuna upungufu mkali? Kama hapa Mwanza Mjini ratiba haileweki usiku au mchana. Nimekaa wilaya ya Magu umeme kila siku kuanzia saa kumi na moja jioni wanakata. Huu Ni mfano hata Mwanza Katikati ya Jiji sehemu...
  14. Mama Amon

    Mgao wa Umeme, IPTL, Kinyerezi IV, na Pan African Energy Tanzania (PAET) Ltd: Kwa nini tunarudia makosa ya enzi za Rais Kikwete?

    Mhe. Doto Biteko , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Tangazo la serikali kuhusu mgao wa umeme unaoendelea limekuja wakati ambapo kuna maswali mengi juu ya "upungufu wa umeme" pamoja na sababu za kusimamishwa kwa Mradi wa Umeme wa Kinyerezi IV, ulioasisiwa na hayati Magufuli. Pia limekuja...
  15. live on

    Kwa huu mgao wa umeme unaondelea Hayati Magufuli alikuwa sahihi kuziba masikio na kujenga bwawa la Mwalimu Nyerere

    Nawasalimu Kwa jina la JMT Kwa kweli hakuna kitu kinachokera kama mgao wa umeme unaotokana na upungufu wa uzalishaji wa umeme Mabwa yetu yanayozalisha umeme ni ya kizamani na uwezo wake ni mdogo hivyo hi shida ya upungufu wa umeme Ina mda mrefu hapa Tanzania. Ilipokuja gasi ya Songosongo na...
  16. T

    Je, kuna mgao wa umeme au ni nini hiki kinachoendelea?

    Inasikitisha sana hali ya umeme ilivyo, mjini ukipita kila mahali generator zimewashwa mnashindwa mchana kutwa na kelele za generator Unarudi nyumbani jioni unakuta giza mtaa mzima, hapa napoandika ujumbe huu Niko gizani. Hivi tunaelekea wapi?
  17. Chachu Ombara

    TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  18. TheChoji

    Mgao wa umeme unaivua nguo Serikali

    Hakuna haja ya salamu. Unajua kuna vitu unaweza kupiga siasa, ukapiga porojo, ukatia nakshi nakshi, ukatetea nk na watu wakakuelewa. Ila inapokuja kwenye vitu ambavyo vinaonekana wazi na vinaathiri maisha ya watu MOJA KWA MOJA kunakua hakuna kiasi cha porojo, siasa, mbwembwe wala maneno matamu...
  19. Egifrid12

    Athari za mgao wa umeme Arusha

    Subject: Kukabiliana na Tatizo la Kutatizwa kwa Umeme Arusha - Wito wa Uongozi na Ushirikiano 🔌🏙️ #ArushaCrisisYaUmeme 🏙️🔌 Wapendwa Wananchi wa Arusha, Tunaingia katika hali inayohitaji umakini na hatua za pamoja. Kutatizwa kwa umeme mara kwa mara Arusha kumegeuka kuwa suala la wasiwasi, na...
Back
Top Bottom